Unampa sifa , huyu Yuko Mataye huko Rukwa.Sawa myukraine wa yombo
Safi ukisusa wengine wanakulaChina is discussing with the Russian Federation the purchase of additional volumes of oil to replenish reserves, Bloomberg reports.
Nilijua tu Putin hawezi kuacha tu drones za magharibi ziendelee kutamba na kuteketeza melivita zake kizembe hivoOperation imekuwa tamu Sana, wahenga walisema subiri inyeshe tujue panapovuja. Kuna teknolojia za siri Sana Russia anazo
Ipo CSTO na wengine wameomba kujiunga kikao Cha wiki iliyopita....Yaani kwa akili zangu za Kitanzania ,ningekuwa Putin na mimi ningeanzisha NATO yangu
Haitawasaidia coz hawawezi kutengeneza anti yake kwa kipindi kifupi tu hikiWhat if NATO walitaka Ukraine iingie kwenye mpambano ili wajue Russia ana zana gani, hii hatari mno kwa russia kuanza kutumia silaha zake hizo.
Pole Sana mkuuWhat if NATO walitaka Ukraine iingie kwenye mpambano ili wajue Russia ana zana gani, hii hatari mno kwa russia kuanza kutumia silaha zake hizo.
Alisikika mwanamke mmoja aliyefunga kibwe bwe akiongea kwa hasiraUrusi hata atumie siraha za aina gani hiyo haimanishi kwamba hatapewa kichapo.
Cha mbwa koko. Kichapo kipo pale pale
Mkuu mwezi wa 3 sasa bado unaamini kwamba Russia ana silaha powerful tu? tumia kichwa chako angalau kwa dakika 1 kufikiriRussia imeanza kutumia generation mpya ya silaha za mionzi mikali ya leza (laser) kwa ajili ya kuchoma drones na silaha nyingine za wamagharibi zinazomiminika nchini Ukraine.
Silaha hizo mpya ambazo Russia imeweka taarifa zake kuwa siri, zinaitwa Zadira ambazo zina uwezo wa kuiunguza na kuichoma drones iliyo umbali wa km 5 ndani ya sekunde 5 tu.
View attachment 2229901View attachment 2229902View attachment 2229903
View attachment 2229904
Utakua ni mpumbavu unayeamini Russia anapigana na Ukraine.
tatizo lenu mmelishwa uongo na mmeukubali, kazi ya urusi ni Donbas na Luhansk. Mashambulizi nje ya hapo ni kudhoofisha resistance tu. Kaokoteni mizoga Mariupol hukoMkuu mwezi wa 3 sasa bado unaamini kwamba Russia ana silaha powerful tu? tumia kichwa chako angalau kwa dakika 1 kufikiri
1) Putin alisema anageuza vinu vya nuclear lakini ikawa kimya hadi sasa
2) Alisema atapiga nuclear ulaya endapo swenden na finland wakidhamiria kujiunga NATO
3) Alisema atashambulia marekani akigundua Marekani wanaisaidia sialaha Ukraine
4) Alitangaza Donbas ni majimbo huru lakini mpaka leo anipiga mabomu akiwa urusi ama black sea hataki kusogea sogea
5) Alisema atamuondoa Zelensky madarakan na kumuweka kibaraka wake lakini Kyiv tunaona hadi watoto wameanza kwenda shule na mengine mengi sana
Bado unahitaji muda tu kujua kwamba huyu putin ni kiongozi moga na muongo sana, mwanzo wa operation alituma msururu mrefu wa vifaru lakini vimerudi vichache vimezagaa kule ukrean kama chicha nyanganyanga
Hao wanajeshi waliojisalimisha, wanatakiwa wamshukuru sana Rais Putin kwa busara zake za kusema "wasiuliwe wakiwa ndani ya andaki". Maana yule Mkuu wa Majeshi wa Russia - Sergei Shoigu, Alitaka kuwamwagia sumu wakafilie Mbali. Washukuru sana.Wanajeshi 1730 waliokuwa wakiipigania Ukraine huko Mariupol ambamo miongoni mwao wamo kutoka nchi za NATO wamesalimu amri kwa majeshi ya Russia ili kuokoa maisha yao...
Ni wale waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal, Mariupol, wakikimbia moto wa mvua za makombora ya majeshi ya Russia
Cc: MK254 , T14 Armata , Mwanamkiwi
View attachment 2230475View attachment 2230477
Ujue mkuu uwezo wa kupambanua uko chini kwa hawa watu. Vitu vikubwa viko nje ya uwezo wao hawavielewi. Kuna mambo mazito kuwaelewesha Its like building a Motel kwa lengo la kufugia Ng'ombe ukiamini ng'ombe hao watakuwa wenyewe wasafi kuliko zizini.Mr hola kama Hola hola... Pro Russia mko brilliant sana ase. Kwamba 5 versus over 35. Kichekesho ni kua katika hao 5 mmoja wapo anawajambisha zaidi hao 35. Je ikija team kamili itakuaje
Walisahau kama mrusi anao paka wakutosha pamoja na dubu wakumwaga🚶Hao wanajeshi waliojisalimisha, wanatakiwa wamshukuru sana Rais Putin kwa busara zake za kusema "wasiuliwe wakiwa ndani ya andaki". Maana yule Mkuu wa Majeshi wa Russia - Sergei Shoigu, Alitaka kuwamwagia sumu wakafilie Mbali. Washukuru sana.
Yaani kwa akili zangu za Kitanzania ,ningekuwa Putin na mimi ningeanzisha NATO yangu
Waache nao kutatapatapa mrusi ni Kila kituo🤔Wanaume wameweka msimamo..Bora lawama za mazingira kuliko fedheha ya Putin 👇
View attachment 2230580