Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Kama unajua kusoma vizuri, nimekujibu swali lako. Au una majibu yako unayoyahitaji?Kwanini niende ubalozini wakati Pro-Russia wamejaa humu?...au na wao hawajui kuhusu hili?
Russia iliingia kiushikaji na alikuwa anataka kumuadhibu Ukraine kiushikaji, sasa tatizo wahuni wameingilia mechi na wamekuja na visilaha vgao na kutangazia ulimwengu kuwa ni za kisasa na zitaleta uwiano ulio sawa kwenye uwanja wa vita. Sasa wanashangaa kuona drones zao zinaungua tu zenyewe bila kuguswa na kitu chochote. Russia imewaogopesha sana nato kwa hii technologyKwanini Urusi hawakuitumia hii silaha ya laser 'zadira' tangu awali ili kupunguza madhara ya vifo na majeruhi upande wao ?
T14 Armata mohamedidrisa789 Gwappo Mwakatobe Kalamu1 Kichuguu
lee van cliff
Zinatumia umeme na zinabidi ubadili components mara kwa mara. China sijajua ila Marekani makampuni yake yako na testing. Israel anatengeneza air defence system ya laser ya kuzuia maroketi na inatakiwa iwe na range ya kilomita nyingi kiasi. Drones hazina speed kama missiles au rockets na zina delicate components kuliko. Ni rahisi kuzuia drones kuliko rockets kwa kutumia laser.Hizo silaha za laser hazitumii nishati yoyote ? T14 Armata
One step ahead kama ya kampuni flani hivi ya kutengeneza movie hapa bongo enzi hizo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]From tomorrow, Russian banks will be able to sell to citizens any foreign currency in cash, except for US dollars and euros, without restrictions, the Central Bank said.
View attachment 2230885
Foot soldiers=infantryNATO haitokubali kumuondoa Uturuki ndani ya NATO hata wafanyeje.
Wakifanya hivyo itakuwa ni strategic blunder itakayo waumiza kwa muda mrefu.
Tatizo la waturuki ni vigeugeu Toka zamani enzi za Ottoman empire mpaka hawa wa Sasa.
Huwezi kuliondoa Taifa lenye idadi kubwa ya askari baada ya Wamarekani.
Lakini pia strategic location iliyopo pale ni muhimu sana kuencounter meli za kirusi.
Kuzuia wahamiaji kutoka middle east kwenda Ulaya, na kama mnakumbuka na hii Erdogan huitumia kama siraha kushinikiza mipango yake kule Ulaya.
Idadi yake ya watu ni Milioni 80 halafu uswidi ni Milioni 10 na yule mwingine mfini ni Milioni 5.
Utaona hata mchango wao kwenye foot soldier hautakuwa mkubwa kwa kiwango hicho.
Nchi zote zinazokuwa na silaha ambazo ziko kwenye testing phase ikitokea vita zinawezazitumia. Ndio maana Russia iliwahi sema imefanya deployment ya Su-57 nchini Syria wakati huo hawana hata Su-57 moja iliyokuwa commissioned.Kwanini Urusi hawakuitumia hii silaha ya laser 'zadira' tangu awali ili kupunguza madhara ya vifo na majeruhi upande wao ?
T14 Armata mohamedidrisa789 Gwappo Mwakatobe Kalamu1 Kichuguu
lee van cliff
UN Secretary General Guterres: There is no effective solution to the food crisis without the reintegration of Ukrainian production into world markets. And also without products and fertilizers from Russia and Belarus. Russia must ensure the unhindered and safe export of grain from Ukrainian ports, and Russian products and fertilizers must have full and unrestricted access to world markets.
Acha iendelee kunyesha MKUU tutaona wapi inapovuja !!!!!Naona wanaojiita "International Community " wameanza Kulia kuhusu njaa. Leo media zao zote zinapiga kelele kuhusu kumuomba Putin aruhusu kusafirisha grains from Ukraine.
Mkuu wa WFP anamuomba Putin ainusuru Dunia na balaa la njaa.
#Winter is coming....
Hawaaminiki hawa, wakibanwa vizuri kipindi cha baridi wanaweza badili misimamo, Ila wakiweka nuke hapo watapigwa hao na nuke ipo hapo hapo kibaya zaidi ikilipuka hayo mataifa yatatoweka dunianiWadau hawa ngungu marwa hawaeleweki wanataka nini 😂.
View attachment 2230844
Finland PM says no nuclear arms or NATO bases on Finland's soil even after membership (Wanajua kitakachowapata 😂)
🔹Finland’s Prime Minister Sanna Marin has dismissed the possibility of deploying nuclear weapons or establishment of NATO military bases on her country's soil, saying the alliance itself has not expressed any interest in placing nuclear weapons or permanent bases in Finland.
Uingereza kaambiwa umepeleka SAS kaogopa balaa..Panya waliotoka pangoni watasema .Mzee wa mia tisa itapendeza alisimulia RIPMkuu iamini Urusi kuliko unavyoiamini US, wakati Kamanda Putin anatangaza kuwa hao panya waliondani ya kiwanda waachwe ila wahakikishe hata inzi hatoroki watu wengi walitilia shaka kuwa huenda hao panya wakaendelea kuchimba mashimo chini kwa chini na kutokea mbali na kuweza kutoroka.
Leo kiko wapi, kuteka askari zaidi ya elfu na kuwatibu na kuishi nao wakiwa hai sio mchezo, kumbuka wengi ni Makamanda na wakufunzi wa kijeshi.
Zaidi ya nchi ya 30 zikiongozwa na Marekani wanavikosi hatari vya uvamizi na uokoaji umeona inchi yoyote iliyojaribu kutaja tu hata kikosi chake maalum...
Urusi,NATO/US wanafahamiana vyema kabisa, sema NATO wako mbele kwa propaganda.
Kuna wale Proo fulani ngojea wajeHii nimekutana nayo huko twitter, nimecheka kinoma yaani. Hakika hakuna rangi tutaacha kuiona. Bush kama Bush amejamba hadharani huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amina mkuu.Moja ya Picha bora sana na Yakuvutia
Mungu ibariki Urusi
Medvedev: I spoke about this today with the President of one of the African countries - Namibia. Our African friends, by the way, understand this. And they understand that rich countries impose sanctions to make the poor poorer.Songa nayo 😂
Medvedev: The UN Secretary General, various Sullivans and Blinkins, who suddenly appeared like the devil out of a snuffbox, the “grain seven” (obviously not magnificent), some other particularly miserable Europeans spoke like the unforgettable Kisa Vorobyaninov: Je ne mange pas six jours!
This was to be expected. And that's why, Countries that import our wheat and other food products will have a very difficult time without supplies from Russia. And on European and other fields, without our fertilizers, only a juicy weed will grow. Well... that's sad. They themselves are to blame.
Kiendere ....ijabadilisha...ukran...atua. Mambo mengine muwe mnaacha kuchangia tu, kama mtoto wa darasa la 3A Yani.MNALIA NINI SASA .! KICHAPO KIENDERE NA BADO UKRAN IJABADILISHA ATUA,
BADO TUPO ATUA YA KWANZA RUSSIA WAPO ATUA CJUI YA TANO .
MNAANZA KULIA LIA MAPEMA IVIView attachment 2230671
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app