NATO haitokubali kumuondoa Uturuki ndani ya NATO hata wafanyeje.
Wakifanya hivyo itakuwa ni strategic blunder itakayo waumiza kwa muda mrefu.
Tatizo la waturuki ni vigeugeu Toka zamani enzi za Ottoman empire mpaka hawa wa Sasa.
Huwezi kuliondoa Taifa lenye idadi kubwa ya askari baada ya Wamarekani.
Lakini pia strategic location iliyopo pale ni muhimu sana kuencounter meli za kirusi.
Kuzuia wahamiaji kutoka middle east kwenda Ulaya, na kama mnakumbuka na hii Erdogan huitumia kama siraha kushinikiza mipango yake kule Ulaya.
Idadi yake ya watu ni Milioni 80 halafu uswidi ni Milioni 10 na yule mwingine mfini ni Milioni 5.
Utaona hata mchango wao kwenye foot soldier hautakuwa mkubwa kwa kiwango hicho.
Si wana nguvu za kiuchumi na kijeshi wafanye tu kutuma vikosi vyao vya NATO vikachukue hizo grains ukreini si urusi anachapika na wanajeshi wake hawana chakula cha kutosha.Naona wanaojiita "International Community " wameanza Kulia kuhusu njaa. Leo media zao zote zinapiga kelele kuhusu kumuomba Putin aruhusu kusafirisha grains from Ukraine.
Mkuu wa WFP anamuomba Putin ainusuru Dunia na balaa la njaa.
#Winter is coming....
Dunia.ilipoa sanaqPale Muanzisha Ugonvi akizidi kuongeza speed kuelekea kwenye makorongo 🤣 Amani nayo taratibu inaenda inarejea wadau.
Songa nayo 👊
Afghan Taliban "brokers" peace talks between Pakistan and Pakistani Taliban. (NB wale wadau wangu wa "English sio size yangu" hiyo brokers sio kuvunja ni slang ya udalali yenye maana ya kusimamia)
View attachment 2230818
🔹Afghanistan's Taliban group says it is hosting peace negotiations between the Pakistani government and Tehreek-e-Taliban Pakistan (TTP) in an attempt to end more than two decades of deadly conflict between the two sides.
sijaona ukijibu swali mkuu zaid ya kuimba taarab , nmeweka alama ya kuuliza hapoPunguza ujuaji Kama hujui yanayoendelea Lugalo au Ngerebgere ndio unataka uonekane unayajua yote ya Kapustin yar
Tusaidie data za uwezo wa kiuchumi na kijeshi wa hizo nchi tano za BRICS ukilinganisha na 35 za NATO.Nakukubali sana Jamaa yetu, Uchambuzi makini kutoka kwa mtu makini.
Watu wasio smart hujali Quantity more than Quality. Note Moja ya Sh 10,000 ni kubwa kuliko Note 10 za Sh 500.
Isipoeleweka hiyo tunatoa mfano mwingine watu wangu. Katika mchezo wa karata zipo Cards 52, kila card ina value yake.
Ukimpaa mtu smart karata 52 atachukua zile chache tu ambazo zina thaman like Ace A, 7, (maarufu kama mali) less like King K, Jack J na Queen Q na magharasha atayaacha.
So 4 "A" card and 4 "7" Card zina value of 84 out of 120 in total. Swali, will the one with more cards left win the game? Jibu ni NOOO.
Therefore, ni Mpumbafu pekee atasema yule mwenye karata hizo nane kashindwa na yule mwenye karata nyingi (Gharasha) zilizobaki kashinda.
Always smart actions are easily noticed by smart people while being interpreted as a joke kwa wapumbafu walio wengi.
Take another example katika "Union" za Mataifa zilizopo duniani kote. Hakuna taasisi duniani yenye back up kubwa ya Raia kama BRICS. We can call this Smart Selection. Ndani ya BRICS alone unazungumzia Population ya 3.2Billion out of 7.9Billion, this is 42% of World Population.
View attachment 2230409
For that case alone, Russia is supported by more than 42% of world Population. Mind you, There, we are talking about 5 countries only.
Latvia, Lithuania and Estonia, all three countries match a single City of our country, in term of Population Dar es salaam of 6Mil People. The whole Europe, Australia, Canada, United state and Japan, These are More than 35 countries account for the Population of 1.37Billion, a 18% of world Population.
View attachment 2230425
Quick Comparison of Population
42% Stand With Russia (taken from BRICS only)
18% Stand with Ukraine/NATO
40% Opt for neither side (Ila moyoni waswahili tunajuana 😂)
Hey my People, Kuna Mmoja alisema Dunia Ipo na Ukraine. Atufafanulie Dunia Ipi.
To sum up, Pro Russia mbali na ushabiki mlio nao. Mna kitu special kwenye vichwa vyenu. Analysing skills.
I salute you three times by "shouting" Urrrraaaa, Urraaaaa, Urraaaaa.
Viva V, Viva Z, much love to you My people.
Mr Hola hola hapa 👊
tunza maneno ya akiba , hamchelew kujisahaulishaHao ni waoga vibaya, wao wanachoweza ni kuzivamia nchi dhaifu tu kina Iraq, Syria na Libya...hizo ndo size yao
ndo maana wanaishia kubweka wakiwa maofisini mwao tu bila hata kupeleka mgambo wao kwenye operation ya Putin zaidi ya raia wao kujipeleka wenyewe kama masenari na siyo official state's order.
Huyu mwamba ni konyo... Eeenhe kwamba hakuna aliyewahi kuvuna (Grains) kwenye TV wala Internet...Medvedev: No one has yet harvested on TV and the Internet. This requires fields and agricultural machinery, fertilizers and hands accustomed to sowing and harvesting grain, and not to sign stupid decisions.
Russia knows how to do this, we have every opportunity to ensure that other countries have food, and food crises do not happen. Just don't interfere with our work.
Habari ndio hiyo wadau... JUST DON'T INTERFERE WITH OUR WORK [emoji1787]
Muda ni mchache mambo ni mengi
[emoji91][emoji91][emoji91]China proposes to start the process of BRICS expansion, the head of the Chinese Foreign Ministry said[emoji91][emoji91][emoji91]
Uyu mzee ana nondo ngumu Sana kuzimeza[emoji28]Medvedev: No one has yet harvested on TV and the Internet. This requires fields and agricultural machinery, fertilizers and hands accustomed to sowing and harvesting grain, and not to sign stupid decisions.
Russia knows how to do this, we have every opportunity to ensure that other countries have food, and food crises do not happen. Just don't interfere with our work.
Habari ndio hiyo wadau... JUST DON'T INTERFERE WITH OUR WORK [emoji1787]
Inaonekana natakiwa nitumie nguvu kubwa kukuelezea lakini haina budi nitaenda hivyohivyo.sijaona ukijibu swali mkuu zaid ya kuimba taarab , nmeweka alama ya kuuliza hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia's siege of the Ukrainian city of Mariupol stuttered towards its end on Thursday, with hundreds of fighters still holed up in the Azovstal steel works and some 1,700 who have already surrendered facing an uncertain fate.Azov has not fallen
Nisipokosei Putin ameonekana kama comedian³ wakati Zelensky amemshinda mara kadhaa katika sifa za uraisi.Usijali mkuu siku nyingine muda ukipatikana nitaanzisha uzi.
Kwa hilo bandiko nilitaka tu niwafungue kidogo akili pro-NATO wanaozani Putin ni muigizaji kama comedian Zelensky.
Ni uzembe wa kufikiri tu kumlinganisha Putin na Zelensky kwenye mambo ya kijeshi na vita. Putin kaanza mission hatari za kijeshi na KGB zelensky akiwa bado mtoto mdogo wa kunyonya, putin kaendesha mafunzo ya kijeshi hapa tanzania kwa freedom figthers wa nchi za ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara, putin kaishi ujeruman kama jasusi wa KGB, putin anaijua vizuri ukrein kuliko zelensky anavyoifahamu.
Kumlinganisha Putin na Zelensky nisawa na kulinganisha Simba na Mbwa kisa tu mbwa ana makelele mengi ya kubweka kuliko simba tena mwenda pole.
USA, German, French, UK, Canada na NATO kwa ujumla siyo wajinga kuogopa kupigana vita na Putin, wanamjua vizuri tangu enzi za ukoloni alivyo wafurusha Afrika kupitia majeshi ya freedom fighters ndo maana wanaishia kubweka wakiwa maofisini mwao tu bila hata kupeleka mgambo wao kwenye operation ya Putin zaidi ya raia wao kujipeleka wenyewe kama masenari na siyo official state's order.
Hao ni Rewters wanasema 1700 Je utabisha na bado panya kibao zimejibanza karakana. Vita imeisha .Wataalam wanakuambia Mauripol ndio kila kitu . Imevunja nguvu askari wa Ukraine . Russia ana silaha nyingi hajaItoaRussia's siege of the Ukrainian city of Mariupol stuttered towards its end on Thursday, with hundreds of fighters still holed up in the Azovstal steel works and some 1,700 who have already surrendered facing an uncertain fate.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Mtu akishakuwa na mateka wako 3000 huna kauli .Ukraine has fallen . Zelensky has goneHao ni Rewters wanasema 1700 Je utabisha na bado panya kibao zimejibanza karakana. Vita imeisha .Wataalam wanakuambia Mauripol ndio kila kitu . Imevunja nguvu askari wa Ukraine . Russia ana silaha nyingi hajaItoa
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Punguza dharau na kejeri ww mzee.Ninaiita Dini ya Putin, nikiona jinsi waumini wako wanasifu hekima, genius, huruma, ujuzi wake.... Ilhali sifa hizo hazina uhusiano na hali halisi, naona tumepata dini mpya.
Marekani lazma matumbo ya kuhara yawashike. Mwisho dollar inatakiwa igalagazwe tu tuhamie kwenye Rubble na Yuan kama Top currencies
Medved kipindi amekaa kwenye kiti cha cha nafasi ya Rais nilikuwa namuona jamaa kama mpole sana , but huyu naona ni mmbaya zaidi na mtata kuliko Putin.. angekuwa ndio Rais kwa sasa nafikiri Ukraine ingekuwa habari ingineHuyu mwamba ni konyo... Eeenhe kwamba hakuna aliyewahi kuvuna (Grains) kwenye TV wala Internet...
Pro Russia tunasema kama wapo wajaribu tuongeze maajabu ya dunia maana yale 8 yaliyopo hayatoshi hayatoshi
Ukiwa mbabe bana, unafanya lolote na hamna wa kukufanya lolote.Chukua hiyo
View attachment 2230828