Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna chenga moja Russia kawapiga Ukraine na Nato watu hawajaona! especially wenye upeo hafifu. Mwanzoni wakati Ukraine anavamiwa uelekeo ulikuwa Kyiv so tunjemba tukajikusanya Kyiv kulinda mji.Kumbe hesabu za Russia zilikuwa kwenye kinu cha nyuklia na Bandari.
na miji muhimu kiuchumi ambayo wameshaidaka
sshv Ukraine wataanza kulipia umeme wao wenyewe
 
Ndugu yangu mwenyenacho ataongezewa na asiyenacho atanyang'anywa atakile kidogo alichonacho....huwezi ilinganisha Tz na USA bro......
Bado unajidhihirisha hivyo hivyo ulivyodokezwa.Wewe hujui kuwa Mungu hubadili Qadar kwa dua na juhudi. Tanzania ikitia akili inaweza kuipiku USA japo miaka 100 ijayo na si mbali.
 
Kwa kifupi ni kwamba wanasiasa wanawavuruga Sana raia Ila japo la watalaamu wao wa uchumi walijifungia na kutoka na misimamo tofauti na wanasiasa ambao wao ni kumsikiliza Biden anasemaje POLE YAO laiti wangejua hi ni ajenda ya mmarekani ku neutralize uchumi wa ulaya na asia POLE YAO 🤣🤣🤣Poland na Burgaria wametolewa mhanga
 
Ndugu yangu mwenyenacho ataongezewa na asiyenacho atanyang'anywa atakile kidogo alichonacho....huwezi ilinganisha Tz na USA bro......
Sasa hao hao si ndio wametufanya tuwe maskini hivi hadi leo unafikiri wasinge mkata Babu yako mkono au wasinge iba madini na wasingepandikiza ukristo wakinafki kwa maslahi ya matumbo yao leo hii ungewategemea
 
Sawa
Ukatuandalie na maigizo mengnine jioni njema
 
Tusaidie data za uwezo wa kiuchumi na kijeshi wa hizo nchi tano za BRICS ukilinganisha na 35 za NATO.
Sio.kila kitu kinahitaji data mkuu uchumi ulioshikilia na MTU nao ni Uchumi,hizo UE countries zinaitegemea Urusi-so ili wananchi wake waendelee Ku survive bila Urusi hawawezi sasa unatakankufanya comparison ya nini kwa vitu vilivyo wazi??
 
Sasa home boy unaonaje siku nyingine ukawa na utulivu unapotaka kuhabarisha wadau.

Heading na content ni kama havina ushirikiano au ulikuwa unatoa mtazamo wako binafsi wa kinachoendelea huko duniani.

Sema kwa uandishi huu sidhani kama utakuwa unaweza kupata taarifa sahihi ya ambacho kinaendelea.Mwanzo nilijua source ya habari hii ni zile Trust me bro lakini bado nayenyewe sio.Sema nini! asante kwa kutuhabarisha
 
LPR DPR and UKRAINE
Kweli RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, hili gazeti/jarida la ufaransa limeamua kujilipua 🤣

Headline inasema hivi
Gas: "Europe imeingia mtegoni, mtego ambao mshindi mkuu ni PUTIN"
Gas: "The Europeans have fallen into a trap, the main winner of which is Putin."


The French newspaper Les Echos writes that a sharp rise in gas prices provides record revenues for Moscow in the face of a reduction in purchases from Europe.

The publication claims that Russia will receive $100 billion from Europe for gas this year. This is twice as much as in the past.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…