rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,122
- 1,313
Huyo jamaa kwenye profile yako ni mpiganaji wa mma ni mrusi anaitwa khabib ni htr sn alinipigia vby sn mc Gregory baada ya mc Gregory kumtukania baba ake na kusema vby dini yake (Islam) putin aliwahi muita white House kumpongeza kwa kazi yake nzr jamaa hajawahi kupigwa huyo Anawachuki vby sn wazunguWanazi wameshindwa
Una uhakika?Huyo jamaa kwenye profile yako ni mpiganaji wa mma ni mrusi anaitwa khabib ni htr sn alinipigia vby sn mc Gregory baada ya mc Gregory kumtukania baba ake na kusema vby dini yake (Islam) putin aliwahi muita white House kumpongeza kwa kazi yake nzr jamaa hajawahi kupigwa huyo Anawachuki vby sn wazungu
Tuma namba PM nikutumie ya apple punch🤣Uchumi umebana nakunywaje sasa
Hivi hapo Stalingrad ndo hadithi yake imetengeneza ile movie ya An enemy at the gate?Wakati vita vilianza,kuna watoto waliozaliwa juzi wakasema atapigwa na Ukraine,nikawaambia,Mjerumani anajua mziki wa Mrusi pale Stalingrad,yaani toka siku hiyo, Mjerumani hana hamu na Russia.
Nimeisikia Jana hii, haya pro NATO endeleeni kusifia hao washenzi.Marekani anapendekeza sheria ya kuziadhibu nchi za Afrika zinazoshirikiana kijeshi na Urusi..
Huu ni uonevu wa wazi kabisa baada ya kumshindwa kidume Putin kukimbilia kwa sisi wanyonge huku.
Kazi iendelee.Mkuu unahisi wanapeleka PESA (CASH)??? Hiyo wameiconvert katika pesa, ila kinachopelekwa hasa ni Vifaa vya kijeshi, Madawa, na kiasi kidogo katika kununua chakula, sio kwamba inaenda ndege inashusha box za fedha mzee.
100%coz nina mfatilia vby mnooo mnoooUna uhakika?
Nyie ndiyo mnaiharibu jf .... takataka tupuTaarifa za muda mchache uliopita zinaonyesha hali inazidi kuwa mbaya kwa jeshi la Urusi, kwa sasa ina upungufu mkubwa wa wapiganaji, kutokana na wanajeshi wengi wa Urusi kuuawa kwenye Vita ya Ukraine, hali hiyo imepelekea Bunge la Urusi kujadili mswada utakao waruhusu wazee na Raia wa Kigeni kujiunga na Jeshi kwa ajili ya Vita ya Ukraine. Hii ni fedhea kwa Jeshi la Urusi ambayo inajinasibu kuwa na Jeshi kubwa duniani.
Safari hii lazima Putin Afundishwe adabu na ndo kwaanza mapema kabisa hadi November nazani akili itakuwa imemkaa sawa.
________________________________________
Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.
Hatua hii ni ya Russia kuimarisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, baada ya kupoteza wanajeshi kadhaa katika vita vinavyoendelea.
Taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti wa habari za serikali ya Russia, Duma, imesema kwamba hatua hiyo ni ya dharura, inayolenga kutumia ujuzi wa watu wazee wenye uwezo wa kivita.
Kwa sasa, wanajeshi wenye umri wa kati ya miaka 18 na 40 ndio wanaoruhusiwa kujiunga na jeshi la Russia.
Russia imepata pigo kubwa sana kwa kupoteza wanajeshi na silaha katika vita vya siku 86 sasa, ambapo Ukraine umefanikiwa kuwashawishi raia wake kupigana na kupinga uvamizi wa Russia.
Japo Russia imedhibithi Mariupol, imeshindwa kufikia malengo yake katika vita hivyo pamoja na kushindwa kudhibithi Donbas, mashariki mwa Ukraine.
Wakati huo huo, waziri wa ulinzi wa Russia Sergei Shoigu amesema kwamba Russia imeanda kuunda vikosi 12 vya jeshi katika sehemu za magharibi, kwa matayarisho ya kile ametaja kama vitisho vinavyoongezeka katika sehemu hiyo, akisema vinatokana na Finland na Sweden kuomba kuwa wanachama wa NATO.
Chanzo VOA
View attachment 2232267
Alisikika mlevi mmoja wa kiembembembuziNATO wanamkimbiza mdogo mdogo non stop wanajua pumzi itakata tuuu
Sina muda. Niletee weweNenda katafute!
Wanasema Putin atashindwa vitaTuanze na TBSiii.. wanasemaje?
Kweli wewe mwenyewe huna akili na siyo kosa lako maana ww ni uzao wa ectopic pregnancy.Annunaki kijana wangu wanaokujibu kwenye huu uzi hawana akili kama wewe...
Sina time hiyo!Sina muda. Niletee wewe
Takataka ni wewe manii ya nguchiro. Au hujuhi kuwa huu mtandao unafadhiliwa na sisi Magharibi, kwhy kama vp kaanzishe wako, punguani mkubwa ww.Nyie ndiyo mnaiharibu jf .... takataka tupu
Unatumia macho mangapi kuona?Tunaomba source of information please, isiwe ni habari ya kutunga. Miaka 40 sio mzee.
Unazani ushindi wa vitani unapatikana kirahisi hivi, kama ulivyotapika uharo wako huu.View attachment 2232150
kamanda wa kikosi cha Azov akiwa dhoful hal.Wale makamanda wa awali walifanya njama na Urusi na kukimbia
Kamanda mkuu wa kuilinda Azovstal Denys Prokopenko ambaye alibaki kwenye mahandaki baada ya kundi kubwa la askari wake kujisalimisha nae ametoa tamko rasmi la kukataza upinzani wa aina yoyote dhidi ya jeshi la Urusi akitoa sababu ili kuokoa maisha na kulinda siha za waliobaki hai.Wakati huo huo amesema wamo katika juhudi za kuwatoa wenzao ambao ni maiti ili wakazikwe.
Kwa upande mwengine jeshi la Ukraine limetangaza kuwa jeshi la Urusi limesonga mbele kwa kasi katika mipaka yote ya jimbo la la mashariki la Donest.Kauli hiyo inaenda sambamba na msemaji wa jeshi la Urusi ambaye muda mfupi uliopita amesema jeshi lake liko karibu kabisa kulidhibiti eneo lote la Luhansk huko huko mashariki ya Ukraine ambalo kwa wiki mbili sasa limekuwa kitovu cha mapigano makali.