rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Pro nato sijui wamejificha mahandaki ya wapiPro Russia ni vichwa "kwerikweri".
Kwa kifupi humu jukwaani Pro Russia na Pro NATO na sawa na mwalimu na mwanafumzi.
Ingekuwa breaking news ya mieziHivi ingekuwa ndio warusi wamejisalimisha kutoka kwenye mahandaki ya Mariupol Hali ingekuwaje jamani kuhusiana na taarifa za vyombo vya habari vya magharibi?!?!
Hao walitakiwa wapewe mateso makali sana, yaani wawaue taratibu. Putin taka taka kabisaPutin kweli kadhamiria kuwarubuni wanajeshi wake, yaani wanauawa kishamba sana....
The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.
Satellite images collected by geospatial intelligence firm BlackSky show
Russian army ‘lose entire battalion’ trying to cross Ukraine bridge
British intelligence says Russian forces are likely to redeploy to eastern bank of Siverskyi Donets riverwww.independent.co.uk
Germany leo wameziamuru kampuni zao kufungua akaunti za Ruble ili waendelee kunua gesi toka Russia. Hivo viji mitungi katika meli haviwezi kutosha mahitaji ya gesi kule Ujerumani
Wakileta ukinga watafunga viwanda na kuwa miaka 50 nyumaGermany leo wameziamuru kampuni zao kufungua akaunti za Ruble ili waendelee kunua gesi toka Russia. Hivo viji mitungi katika meli haviwezi kutosha mahitaji ya gesi kule Ujerumani
Ha ha ha.,...wakenya wanamatatizo Sana mkuu[emoji4]unaokoteza habari toka kibera uko unaleta jf stupid one from machakos.
Jamaa namuelewa Sana,Kadyrov: Our President Vladimir Putin protects the Ukrainian people and Ukraine more than all Ukrainians, and Azovstal is one of the proofs of this. I very much ask those who are resisting today in Severodonetsk, Lisichansk, around these settlements, so that they come to their senses and lay down their arms until they are driven into a corner, until they are destroyed and wounded. They have families at home, children, wives are waiting. By this they must show that Russia and Ukraine must live in peace and harmony. Otherwise, we are cruel: we will not spare anyone who takes up arms.
Tumesahau kupeana habari za mapigano field tumebaki na gas gas gasJamaa namuelewa Sana,
Yuko very straight, afu hataki masiala.
Tangu kapewa in charge ya mariupol, odesa na viunga Vyake. Jamaa anawanyoosha mno Ukraine.
Aisee,Kadyrov anafanya kazi nzur Sana vitani[emoji4][emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app