Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani Aircraft carrier ni silaha?
Kuna ndege moja ya Marekani tuliambiwa ni stealth,lakini kule Serbia ilionekana na ikapigwa.
Warserbia wakatuma ujumbe kwa Marekani ukisema"
"Samahani sana hatukujua kama haionekani."
 
Wapiganaji wa mwisho wa Ukraine waliojibanza katika eneo la kiwanda cha chuma cha Azovstal cha mji huo sasa wamejisalimisha, maafisa wa Moscow wamesema.

Kwa miezi kadhaa vikosi hivyo vilikuwa vimezingirwa katika jengo hilo kubwa, na kuizuia Urusi kuwa na udhibiti kamili wa mji huo.

Uokoaji wa siku ya Ijumaa unaashiria mwisho wa kuzingirwa na uharibifu zaidi wa mji wa Mariupol ambao sasa umesalia magofu.

Mji huo na kiwanda chake cha chuma sasa "umekombolewa kabisa" baada ya wanajeshi 531 wa Ukraine kuondoka katika eneo hilo, wizara ya ulinzi ya Urusi imesema.

"Vituo vya chini ya ardhi vya kiwanda hicho, ambako wanamgambo walikuwa wamejificha, viko chini ya udhibiti kamili wa majeshi ya Urusi," iliongeza katika taarifa.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema walinzi wa mwisho waliosalia kaika eneo hilo wameruhusiwa kuondoka.

"Leo wapiganaji hao walipokea ishara ya wazi ya amri ya kijeshi kwamba wanaweza kutoka nje na kuokoa maisha yao," aliiambia kituo cha televisheni cha Ukraine mapema Ijumaa.

Kwa wiki kadhaa eneo hilo la Azovstal ilikuwa limezingirwa kabisa.

Vikosi vya Urusi vilizuia misaada yote ya kibinadamu kuingia, na kulishambulia eneo hilo kutoka angani na kuwataka watetezi wake waliobaki kuweka chini silaha zao na kujisalimisha.

Wengi wa wale waliokwama ndani walikuwa raia, ikiwa ni pamoja na wanawake, watoto na wazee. Mapema mwezi huu waliondolewa baadhi kufuatia mazungumzo magumu yaliyoratibiwa na Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu ambayo yalidumu kwa wiki kadhaa.

Lakini kuendelea kukataa kujisalimisha kwa wapiganaji hao wa Ukraine kulimaanisha Urusi haikuweza kuwa na udhibiti kamili wa mji huo wa bandari ya kimkakati.

Kwa raia wengi wa Ukraine, inawaona wapiganaji hao wa Azovstal waliojisalimisha kuwa mashujaa wa kitaifa ambao walionyesha upinzani wa ukaidi wa nchi dhidi ya Urusi.

Mamia ya wanajeshi waliojificha kwenye mahandaki ya kiwanda hicho ni pamoja na wanamaji, Jeshi la Ulinzi la Taifa (ikiwa ni pamoja na kikosi cha Azov), walinzi wa mipaka, polisi na vitengo vya ulinzi wa eneo.

Walipiga kambi na kupungua kwa vifaa vya chakula na hakuna maji, waliishi kwa wiki katika bunkers chini ya ardhi na mahandaki bila kuona mchana.

Chanzo:BBC
SASA WE PIMBI NJOO UBISHANE NA WANAGHARIBI WENZIO
 
Pole sana mdau, japo uko mweupe sana ila tunaku-ahidi kupajaza kadri ya uwezo wetu hadi pajae 😌
 
Oneni Hii mtu Ikitoka Hapa Inaenda Kuanzisha Mada Urusi inachapika
yaani Team Mashogo Asilimia kubwa ni Vilaza wakutupwa
 
Tutamuomba mama Samia atuwache vijana tuende Mariupol tukusanye skrepa kwanza halafu tuhamie tuzaliane huko.
 
Tunaanza kuleta updates

πŸš€πŸš€πŸš€The head of Crimea proposed to send captured Ukrainian nationalists to work on the restoration of Donbass.
"Those captured Nazis who will not be shot by the verdict of the tribunal should be sent to the blackest and hardest work to restore the cities of Donbass destroyed by them," Aksenov said.
He added that "there will be places for them in the Crimean colony. Here they will receive a "warm" welcome, lessons of the Russian language and anti-fascism, which they will remember for the rest of their lives."πŸš€πŸš€πŸš€
 
NATO na US niwaoga sana wanamuogopa Putin kama moto.

Nakwakweli wakosawa,Putin ni mtu mwenye roho nzuri na huruma lakini ni mtu katili sana ukimvuruga.

Walimpuuza maranyingi tu katika mijadala ya mwanzo kuhusu usalama wa Russia sasa mambo yamekuwa magumu sana kwao.
This time NATO na US wana option mbili tu, 1,waingie vitani direct kuzichapa,ama waufyate Putin aidhibiti Ukrain yote mbaka Kiev.

Putin hata kubali kukaa kwa tabu katika majimbo aliyoyateka kwa kuvumilia ambush kutokea kiev, ataamua kwenda kumng'oa Zelensky, niswala la mudatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…