Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Raia wa United state na Viongozi wao

Tareh 19 May, US Congress walikataa kuidhinisha $48B aid Package kwa wahangwa wa Uviko-19, Tareh 19 May, siku hiyo hiyo wakaidhinisha $40B ya aid ya Silaha kwenye Vita visivyo na Tija. Fedha za walipa kodi wao wanazitafuna balaa,

Wadau wangu wa nguvu, kama haya wanaweza kuyafanya kwa Raia wao wenyewe akija huku tunafikiri wanatupenda sana eh? Wenzetu mjitafakari sana mnachokishabikia.

Songa nayo:
About priorities. The US Senate has blocked a $48 billion aid package to American restaurants and small businesses affected by the COVID-19 pandemic.

The Hill writes about this in an article dated May 19.

The same US Senate approved the allocation of $40 billion for weapons for Ukraine. Also on May 19.

The publication points out that such a result of the vote probably means the death of the bill on assistance to American business. Additional funds were needed to prevent the closure of "many debt-laden small businesses."
 
Si tulikubaliana tunachukua kile kipande kinachotupendeza? Well mm kimenipendeza hako ka kipande ka kutaka vikwazo vitolewe. Hivyo vipande vingine nikivileta sasa si nitakuwa najishambulia? Au hujui kuwa Putin mm namuombea afeli arudi Urusi?
Hivi huwaga unajisikiliza kinachotoka kwenye medulla yako usikute ubongo wako ushakusaliti.
Kama sio tafuta maana ya neno neutral alafu ubaki hapo apart from that kuwa Pro kamili acha kuwategea wenzio.
 
Embu twende taratibu. Kwani mara ya mwisho mm na ww tulijadili hoja gani maana una kahasira fulani hivi nikienda nako kwa mtindo huu uliokuja nao katapanda zaidi nataka ukashushe.
 
Kifuani chuuuu mapajani mkia πŸ˜‚ natania tu lakini...
 
Acha wakamuane tu πŸ€—
 
Hapa sasa ndipo unaponifurahisha Galip. Umenogewa mwenyewe, vicheko vya style tofauti, vimoji vinageuka juu na chini vya njano njano. Unapendeza mwenyewe na tumachozi twako.
Sana, nimekosa cha kijani tu hapo.... Mr Dictionary ya Mzee Putini... Kwa tafsiri hizo tunaanzaje kununa sasa ilhali uko na comedy talent kuzidi yule shujaa wenu Gasho Zele.
 
Embu twende taratibu. Kwani mara ya mwisho mm na ww tulijadili hoja gani maana una kahasira fulani hivi nikienda nako kwa mtindo huu uliokuja nao katapanda zaidi nataka ukashushe.
πŸ€—

Huezi kuyaficha mahaba kijana, we kua mpole tu unafiki uueke kando, hakuna Gereza la ProNATO hapa unachoogopa nn mwamba...
 
Sana, nimekosa cha kijani tu hapo.... Mr Dictionary ya Mzee Putini... Kwa tafsiri hizo tunaanzaje kununa sasa ilhali uko na comedy talent kuzidi yule shujaa wenu Gasho Zele.
Kwa kweli usinune maana na tutamachozi twako Unapendeza sana.
 
Em tupa uongo wako kule, Chechnia wenyewe wako mbioni kujiunga NATO
 
πŸ€—

Huezi kuyaficha mahaba kijana, we kua mpole tu unafiki uueke kando, hakuna Gereza la ProNATO hapa unachoogopa nn mwamba...
Oooh, nimekuelewa sasa. Kumbe tatizo ni hili. Well nchi za Ulaya zina sera ambazo zinanifunga nisiwe na mahaba ya moja kwa moja ya kufa na kuzikana, wakati huo huo Puttin kafanya jambo ambalo sikubaliani nalo, ni hilo tu otherwise kwani nani anaweza nifanya nn humu nikichagua upande?

Ukiniita pro NATO kwa kigezo cha kuitetea Ukraine na hili linaloendelea ni sawa tu, ila ukiniita Pro NATO kwa kigezo cha nina mahaba na hizo nchi utakuwa unalazimisha jambo lisilokuwa sahihi.
 
Si tulikubaliana tunachukua kile kipande kinachotupendeza? Well mm kimenipendeza hako ka kipande ka kutaka vikwazo vitolewe. Hivyo vipande vingine nikivileta sasa si nitakuwa najishambulia? Au hujui kuwa Putin mm namuombea afeli arudi Urusi?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tsh
Bado tu jomba, lakini anyway ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo... maadam familia yako inakula inashiba shukuru Muumba tu haya mengine sio size yako kabisa πŸ˜‚

Rejea kwenye swali la ngaboru

Unaelewa maana ya Neutral? Huijui wacha nikusaidie majibu ndugu yetu.

Mtu akifaham namna gani ubongo unachakata "Information" hapati shida wala kujua sampuli yako ni watu wa aina gani.

Nikusaidie mawazo tu, ukitaka kua "Neutral" (Kitu ambacho unatamani na bahati mbaya huezi kua kamwe). Kwanza jipambe na mambo haya.

1. Fikra huru...
2. Less "Huba", Less "Chuki"...
3. Fact oriented sio Emotional oriented...

Ukijipamba na hizo sifa kuu tatu kidogo walau tunaeza kusema yaliyomo yamo... Otherwise we ungana na wenzio tu usiwakane πŸ€—

Huezi jikuta neutral ilhali unachakata taarifa kwa mlengwa wa upande mmoja, Huo ni utoto wa kiwango cha makopo... Utawahadaa wenzio tu ila sio sie.
 
Embu twende taratibu. Kwani mara ya mwisho mm na ww tulijadili hoja gani maana una kahasira fulani hivi nikienda nako kwa mtindo huu uliokuja nao katapanda zaidi nataka ukashushe.
Niko poa kabisa pambania kombe wenzio mzigo unawaelemea.
Ngoja niwaeleweshe wenzio unachokifanya ww ili waelewe.
Huu n mfano tuu:-
Mnaenda uwanjani kushabikia mpira kati ya timu z na t alafu ww unasema mm n shabiki wa refaa(neutral) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa kama sio ujuha huo n nn? Ila timu z ikifunga unafura.
 
Hivi vita Russia ndiye atakaye poteza, hataweza kuikalia ardhi ya Ukraine kama anavyofikiri. Kuna kinachopangwa kufanywa dhidi yake na ndio itakayommaliza kabisa.
Pole Sana tena kwa maumivu unayopitia Sasa lakini subiri nikuambie ukweli Urusi ndio nchi tegemeo kwa uchumi wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…