Okey, sasa umeshahitimisha kwa kuweka seal juu ya uwezo wangu wa kufikiri kuwa umeishia sehemu ambayo unaniwezesha mm na familia yangu kula na si zaidi ya hapo. Naamini hiyo ni baraka tosha. Ningekuja nikiwa na njaa hapa sijui ingekuaje.Bado tu jomba, lakini anyway ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo... maadam familia yako inakula inashiba shukuru Muumba tu haya mengine sio size yako kabisa 😂
Rejea kwenye swali la ngaboru
Unaelewa maana ya Neutral? Huijui wacha nikusaidie majibu ndugu yetu.
Mtu akifaham namna gani ubongo unachakata "Information" hapati shida wala kujua sampuli yako ni watu wa aina gani.
Nikusaidie mawazo tu, ukitaka kua "Neutral" (Kitu ambacho unatamani na bahati mbaya huezi kua kamwe). Kwanza jipambe na mambo haya.
1. Fikra huru...
2. Less "Huba", Less "Chuki"...
3. Fact oriented sio Emotional oriented...
Ukijipamba na hizo sifa kuu tatu kidogo walau tunaeza kusema yaliyomo yamo... Otherwise we ungana na wenzio tu usiwakane 🤗
Huezi jikuta neutral ilhali unachakata taarifa kwa mlengwa wa upande mmoja, Huo ni utoto wa kiwango cha makopo... Utawahadaa wenzio tu ila sio sie.
Jipe matumaini hewa tu na hivyo vistori vyako toka kwenye magazeti ya Kyiv ya kufungia maandazi...Hawanyongwi
Yaaaa. Inaweza ikawa ujuha kulingana na scenario uliyotoa sasa mm nakupa scenario hii Wewe ni machester United halafu mancherster city na Livepool wanashindana? Utakapoichagua timu utakayoichagua ishinde kwa wakati huo, itaamanisha una mahaba ya kudumu na hiyo timu?Niko poa kabisa pambania kombe wenzio mzigo unawaelemea.
Ngoja niwaeleweshe wenzio unachokifanya ww ili waelewe.
Huu n mfano tuu:-
Mnaenda uwanjani kushabikia mpira kati ya timu z na t alafu ww unasema mm n shabiki wa refaa(neutral) 😂😂😂😂sasa kama sio ujuha huo n nn? Ila timu z ikifunga unafura.
MM SINA MAHABA NA NCHI ZA ULAYA NA PUTIN KUIVAMIA UKRAINE KAFANYA UJINGA.
Mdau tufanyie ihsani ya kutuelezea huo Ujinga na sisi tuujue.MM SINA MAHABA NA NCHI ZA ULAYA NA PUTIN KUIVAMIA UKRAINE KAFANYA UJINGA
mi nitajitolea kumpa tuition bureWewe utakua mwanafunzi wetu wa kwanza na utasoma bure kabisa
Huu n mfano tuu:-
Mnaenda uwanjani kushabikia mpira kati ya timu z na t alafu ww unasema mm n shabiki wa refaa(neutral) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kama sio ujuha huo n nn? Ila timu z ikifunga unafura.
Halafu ukitumia akili yako kubwa uliyoniambia unayo utaona kwann nakazia sana hili suala la kuwa nutral na kutokuwa na mahaba na Ulaya. Akili kubwa huwa inauwezo wa kuilewa akili ndogo kwa haraka sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mr Neutral kwenye Ubora wako... haya tumekusikia Genius, na tunakushukuru kwa kuuona huo ujinga... Ubarikiwe sana Mr Neutral wetu.
Duuu aiseee mwalimu wako alipata tabu sanaa kukufundisha,kulingana na majibu yangu n kuwa haufai kuwa neutral kwa sababu umeonyesha mahaba yako yameelemea upande mmoja.Yaaaa. Inaweza ikawa ujuha kulingana na scenario uliyotoa sasa mm nakupa scenario hii Wewe ni machester United halafu mancherster city na Livepool wanashindana? Utakapoichagua timu utakayoichagua ishinde kwa wakati huo, itaamanisha una mahaba ya kudumu na hiyo timu?
Dominika njema ...nimetoka zamani miss ya Kwanza ....Unalazimisha mambo kulifanya hili liwe jambo binafsi..
Habari za asubuhi, kumekucha napeleka watoto kanisani, j2 imeanza vizuri kwa upande wangu nipo na familia, vp ww umeamka na hali gani huko kwenye ushindi bwana mtoto wa nzi? Tujuliane kwanza hali😀
[emoji23]Baada ya kuuelezea huo ujinga zikitolewa hoja uzijibu kama zilivyo.
Hizi spana n kama za RUSSIA kwa nato na EU kwa Ukraine saga......Halafu ukitumia akili yako kubwa uliyoniambia unayo utaona kwann nakazia sana hili suala la kuwa nutral na kutokuwa na mahaba na Ulaya. Akili kubwa huwa inauwezo wa kuilewa akili ndogo kwa haraka sana.
Sasa hivi hakuna mtu ananitag habari za wale mabwana na jambo lao. Mambo yanayofanyika Ulaya yasiyohusiana na hii vita/ Op ya Urusi hakuna anayenitag.
Kuna daraja limevunjwa huko askari km 10000 wa Ukraine wametengwa na wenzao hakuna silaha hakuna chakula wala tiba.Kuna convoy ya Km 11 ya Russia inaenda kuongeza nguvu huko . Mpaka huruma Donbass haina muda its Mauripol part 2 .
Russia wanajindeshea malori yao mavifaru hiyo ni baada ya kuyeyusha drones kama 100 hivi za adui. Saizi vifaru kama WW2 vonatamba tu drone zinamulikwa zinayeyuka
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu, mbona kama maelezo yatakuwa marefu sana. Anyways, mm naona URUSI ana nafasi kubwa ya kiushawishi pale Ukraine kuliko USA na hapo ndipo ujinga unapoanzia.Mdau tufanyie ihsani ya kutuelezea huo Ujinga na sisi tuujue.
Baada ya kuuelezea huo ujinga zikitolewa hoja uzijibu kama zilivyo.
Karibu mdau utueleze.
Muoneee huruma Joti wa Ukraine we jamaa ....Mlokozi.
Tunamsubiri Puttin aache kutumia makombora aje asimame na Z wapigane mshindi apewe ardhi.
Usiseme uko Neutral sema una'puyanga' kila upande... naweza kusema unakwepa madudu yaliopo upande ulioegemea na si kingine.Halafu ukitumia akili yako kubwa uliyoniambia unayo utaona kwann nakazia sana hili suala la kuwa nutral na kutokuwa na mahaba na Ulaya. Akili kubwa huwa inauwezo wa kuilewa akili ndogo kwa haraka sana.
Sasa hivi hakuna mtu ananitag habari za wale mabwana na jambo lao. Mambo yanayofanyika Ulaya yasiyohusiana na hii vita/ Op ya Urusi hakuna anayenitag.
Okey. Huenda hilo neno neutral lina ukakasi. Tufanye mm sina mahaba na Ulaya na pia sikubaliani na maamuzi ya Putin. Tuachane na neno neutral.Duuu aiseee mwalimu wako alipata tabu sanaa kukufundisha,kulingana na majibu yangu n kuwa haufai kuwa neutral kwa sababu umeonyesha mahaba yako yameelemea upande mmoja.