Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na kwenye hoja hakuchomoa hata moja... zaidi ya ilienda ilirudi yote ujue kwanini? Kwasababu ya kile kilicho akilini mwake.

Leo hii nenda pale Kigoma, nenda na Jiwe la jekundu ukifika waulize hii nini, wakisema hawajui waambie ni dhahabu.

Kisha ondoka, baada ya mda akienda mtu na dhahabu halisi, hawatoikubali kamwe. Ujue kwanini? Kwasababu ya kile kilichopo akilini mwao juu ya taswira ya dhahabu.

Baadhi katika hao watakubali kupokea Idea mpya kuhakiki waliyonayo kama ni sahihi au Laa... kuna wengine ambao huwa nawa classify katika kundi la wajinga. Hatokubali mtizamo mpya ili aweze kuulinganisha na ule alio nao kama ni sahihi au la.

Hivyo ndivyo akili ya binadam ilivyo na inavyofanya kazi, ukiitambua haikupi shida kabisa.

So kuhusu kijana Tsh namfaham... zaidi imebaki kuenjoy tu coz ndivo most ndivo walivyo.

Na huezi mbadilisha mtu fikra ambae hayupo ready kuzibadilisha zile alizonazo pasipo kuzizingatia zile alizonazo kama ni sahihi au sio sahihi.
 
Dah noma sana... nimemkumbuka pia bibingi sijui alipotelea wapi huyu mwamba... Kuna Venus Star nae sijui yu wapi.
 
Hahaha. Mkuu kwann umeamini kuwa mm ni kijana? Inawezekana ni mzee na hapa JF kunanichangamsha nisijisikie mzeeπŸ˜€.
 
Ni wapi wameandika watamgeuka Zelensk?. Siyo mnaleta propaganda hapa. Mimi hiyo taarifa nimeisoma ikiwa na dakika 15 tu imetoka kuchapishwa. Sijaona popote walipoandika USA n NATO watamgeuka Zelensk.
Hii vita imetuharibu sana. Ona jinsi unavyochukia na kughadhabika unaposikia taarifa za kushindwa kwa Ukraine/NATO. Yaani unaghadhabika kuliko hata Pentagon na Whitehouse
 
Pro Russia katika uwezo Bora kabisa wa kujibu hoja kikamilifu.
 
Yani mswahili mmoja kutoka mtambalaswala unajifanya unajua kuliko mageneral wa hizo nchi za NATO hivi mna nini nyinyi wakulima wa mihogo?

Watu wana experience ya miaka mingi jeshini bado wewe mlima viazi unabeza wanachofanya? Hivi ni vichekesho zaidi ya comedi ya masanja.
 
Halafu sasa haya mambo ya shule yanasababisha vijana wetu wengi hawawezi kusonga ugali wakala wakashiba. Ingawa Mm nimesoma fedha na uchumi mpaka elimu ya juu sana,lakini nikushauri kitu, usiapply kila ulichosoma kwenye maisha, itakuondolea Ego ya MM NAJUA. Ni ushauri tu.
 
Hahaha. Mkuu kwann umeamini kuwa mm ni kijana? Inawezekana ni mzee na hapa JF kunanichangamsha nisijisikie mzee[emoji3].
[emoji23][emoji23][emoji23] hatare, au kama nilivomchanganya jana ngaboru jinsia hadi kufikia hatua ya kunisahihisha.

Anyway kuna baadhi ndio huwa nawaza wana harufu ya utu uzima kama 1954 na babu na mjukuu

Kwako we nakuita kijana tu kutokana na matendo yako ya bakuli la supu. Maana wazee hizo mambo washaacha kitambo.
 

Ha ha ha aise we jamaa uko vizuri sana.
Umeiunga mkono hoja yangu sentensi kwa sentensi,ama kweli Pro Russia mnatumia elimu zenu kwa manufaa ya wengi.
Nimependa uungaji wako mkono.
Tuendelee kuelimishana.
 
Msameeee aiseee asije akajimwagia supu yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sio kwa spana hizo.
 

Kama ulisoma uchumi basi uko shallow sana... na kama ulisoma fedha haishangazi kua upo na baadhi ya Characters unazozionesha... yangu ni hayo twendelee kula mtori nyama tutazikuta chini. sorry kama nimetumia lugha mbaya... but haraka haraka naweza kukwambia hivyo.

Unfortunately, hiyo EGO pia sina, niko huru kujifunza kila uchao... wala sio miongoni mwenu mnaotaman kusikia yale yanayoendana na yaliyomo vichwani mwenu pekee [emoji38]
 
Hili nimelifanya sababu najua sina muda sana humu ninarudi kwenye majukumu na NITAWAMISS SANA. Ningeweza kuweka picha kabisa ila sasa itakuwa balaa.πŸ˜ƒ
 
Uwe na amani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…