NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
PepetiHivi ni Kwa nini anafikilia ku export chakula wakati nchi yake hipo vitani na wananchi wake wanakihitaji pia icho chakula....
Anafanya exchange ya chakula kwa silaha... Labda wananchi wake watakula hizo Javelin na Tocha UHivi ni Kwa nini anafikilia ku export chakula wakati nchi yake hipo vitani na wananchi wake wanakihitaji pia icho chakula....
Hauna number ya huyu mtoto jomba 😂😂😂... Kajasiri af kajanja ka ngaboruZzzzzzzzzz VvvvvvvvvvvvView attachment 2234347
Unachonga huku umekanyaga Z tutaitikisa umdondekee Mchechen akuchane rinda bila weseKipigo wanacho pokea warussi Ukraine kina fika mpaka kwa warussi wa mchamba wima wa JF.
Propaganda...
May the Lord protect us allKwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...
Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.
Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======
View attachment 2233331View attachment 2233333
Yani Nchi inapoteza askari kibao, afu mtu anakuja na kauli dhaifu ivi.
Reharsal wakati askari wanakufa na vifaa vinateketewlzwa!? aisee nimejikuta nacheka pekeangu! hasara wanayoipata Russia kwenye vita hii, wasingekuja na kauli nyepesi kiasi iki!
Propaganda in its work
Hahah ngoja nikupambanie hio no.,khs kesi sababu ngaboru Ni pisi Kali ya chuga atakua Hana paringi arifu
Hivi unajuwa kuwa Russians alishataka kujitanua kuweka kambia zake Cuba ukawa mgogoro mkubwa mpk kutishia vita ya nuclear mwisho ndio wakakubaliana Russians akiondoka Cuba na wao USA+NATO hawatojitanua kueleke kwa Russia Lakini wamekiuka mkataba wamemponza aliyewakaribisha nchi imebaki magofi tupuKama Russia angekuwa na uwezo nae angejitanua kuelekea karibia na USA, ungeona Moto
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Hakuna cha zaidi ya propaganda...Jikaze siku umoja uchangie hoja kama Warusi wenzako wa kwa Mtongole, hehehe hilo neno moja "propaganda" kwenye kila jibu lako halitoshi.
Unachonga wakati umekanyaga Z ngoja tuitikise udondoke ukutane na Mchechen kaupaka mafuta ya pamba akuchane toboUrusi alianza kwa mzuka sana, akawa na limsafara la kilomita 60, tukajua Ukraine kwisha habari yake, nyuzi humu zikarindima kila uzi ukituahidi namna show itaisha kwa siku chache, ila Mrusi akasahau hamna kitu kigumu duniani kama kujaribu kupiga watu kwao hususan wenye uzalendo na nchi yao, utaanza kwa nguvu ya soda ila mwishoye utasubiriwa uanze kuhema na ndio kimemkuta Mrusi, leo hii anahemeshwa na kutafuta pakutokea.....
Hii ramani hapa inaonesha alivyokuwa amekaba maeneo, ila yanavyomtokea puani.....
In recent weeks, Russia has lost substantial ground that it initially captured after the start of its invasion in Ukraine.
When Russian President Vladimir Putin ordered the invasion in February, the Kremlin anticipated a quick takeover of Ukraine. However, Russia was met with surprisingly strong resistance from the Ukrainian people, who have put up an intense fight to protect their country.
As the invasion has continued, Russian military forces have largely been confined to the eastern part of Ukraine, including the Donbas region, with a report released Sunday by the British Ministry of Defence stating, "Russia's Donbas offensive has lost momentum and fallen significantly behind schedule."
Maps Show Where Russia Has Lost Ground in Ukraine
Ukrainian fighters have retaken several key areas in recent weeks.www.newsweek.com
View attachment 2232150
kamanda wa kikosi cha Azov akiwa dhoful hal.Wale makamanda wa awali walifanya njama na Urusi na kukimbia
Kamanda mkuu wa kuilinda Azovstal Denys Prokopenko ambaye alibaki kwenye mahandaki baada ya kundi kubwa la askari wake kujisalimisha nae ametoa tamko rasmi la kukataza upinzani wa aina yoyote dhidi ya jeshi la Urusi akitoa sababu ili kuokoa maisha na kulinda siha za waliobaki hai.Wakati huo huo amesema wamo katika juhudi za kuwatoa wenzao ambao ni maiti ili wakazikwe.
Kwa upande mwengine jeshi la Ukraine limetangaza kuwa jeshi la Urusi limesonga mbele kwa kasi katika mipaka yote ya jimbo la la mashariki la Donest.Kauli hiyo inaenda sambamba na msemaji wa jeshi la Urusi ambaye muda mfupi uliopita amesema jeshi lake liko karibu kabisa kulidhibiti eneo lote la Luhansk huko huko mashariki ya Ukraine ambalo kwa wiki mbili sasa limekuwa kitovu cha mapigano makali.