Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Propaganda zinakusaidia nini hapo Mbagala?? Hii habari imeandikwa na Reuters, Shirika la Habari la Uingereza. Tena Reuters wanaripoti kile kilichosemwa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. Nimesoma habari nzima na kusikiliza video. Hakuna sehemu ambayo Marekani inasikitika. Ama unaripoti toka hapo gheto kwako, walikutembelea Wamarekani weekend hii? Tuache kueneza hisia zetu na kujifanya eti ni habari. Kwa kweli haya ni matumizi mabaya ya JF - Moderator
 
Acha kulialia na kujitia 'ukichwa maji' wewe mMarekani wa 'Mabwepande'...Ina maana hujaona kuwa mie nimeitoa habari hiyo toka kwenye chombo cha habari cha Marekani (U.S. News) au hiyo U.S .News ni chombo cha habari cha ukoo wenu hapo Mabwepande?!

Link ya article hiyo hii hapa 👇👇

 
Sarmat tena? Inabadilisha nini??? Haibadilishi kitu chochote. Tangu miaka mingi kila upande kati ya Urusi na Marekani una uwezo wa kuharibu upande mwingine mara 100. Urusi inaweza kuangamiza nchi ndogo zaidi kama Ufaransa na Uingereza mara mia kadhaa, lakini hao wanaweza kuangamiza Urusi angalau mara 2.
Kila jenerali ya Urusi anajua kwamba anamaliza nchi yake akishambulia Marakani au Ulaya magharibi kwa kutumia silaha za nyuklia.
Hata wakati nchi moja imeshaangamizwa kabisa, bado nyambizi zake zinabeba roketi za kutosha kumharibu aliyeshambulia.

Sarmat haibadilishi kitu, ila inafaa kwa mahubiri ya wanasiasa na majenerali wa kitandani wakihitaji kujugamba.
 
Umenichekesha kwa kusema Wana mateka mmoja TU,Tena dogo ndio wanazurula nae.

Umenikumbusha kiongozi mmoja hapa nchini alikua anazurula na mtu mmoja akidai alimwagiwa tindikali na watu wa chama Fulani.
Huyo bwana alikua ameharibika usoni.
Sema yule kiongozi anasiasa za kimafia sana....
 
Marekani yaripoti kwa huzuni kuwa jumla ya drones 977 za Ukraine zimedunguliwa na kwa kuchomwa na majeshi ya Russia.

Katika drones hizo zimo zile drones za Turkey za Bayraktar TB2 ambazo Pro-NATO walikuwa wakizipigia 'makelele' humu jukwaani kuwa zafanya vizuri kwenye uwanja wa vita. La kushangaza ni kuwa hatima ya huko kunakodaiwa 'kufanya vizuri' imekuwa ni kujisalimisha kwa wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 2400 waliokuwa wakijificha kama panya kwenye mashimo huko Azovstal, Mariupol.

Habari hiyo ya kuchomwa kwa drones hizo imekuja sanjari na tarrifa kuwa majeshi ya Russia yanatumia silaha ngeni na zisizofahamika (secret weapons) za mionzi mikali ya laser kuchomea drones zinazomiminwa na Marekani na NATO/EU nchini Ukraine.

Link: https://www.usnews.com/news/world/a...a-pounds-ukraines-donbas-and-mykolaiv-regions


 
⚠️‼️Russia will soon put about 50 new RS-28 "Sarmat" intercontinental ballistic missiles on combat duty - Dmitry Rogozin‼️⚠️

Earlier, he said that the Ministry of Defense will receive Sarmat missiles by the end of autumn.

It is planned that the intercontinental ballistic missile will be in service until the 2070s.
 
Naudia tena katika habari hii yote, hakuna sehemu Marekani inasikitika. Wala Marekani haijahusika vyovyote vile. Tuonyeshe sehemu ambayo Marekani inasikitika ama sehemu ambayo ofisa wa serikali ya Marekani anahojiwa na kusikitika. Badala yake unatoa picha ya mtu aliyevaa kofia "Save America" eti kama ushahidi wako. Hii inaonyesha kiwango cha akili yako kilivyo kidogo.

Narudia tena. Habari hii ni Reuters wanaripoti kilichosemwa na Wizara ya Ulinzi ya Russia. It has got nothing to do with the US. Huu ni upotoshaji Moderator.

 
Biden ameenda South Korea, Wakorea wameandamana kuwa hatutaki ziara yako umekuja kutugombanisha na ndugu yetu NK.

Ameenda Japani, Wajapan wameandamana kuwa hatutaki ziara yako umekuja kutugombanisha na jirani yetu China.

Nadhani kupitia hii operation ya Urusi Dunia kwa kiasi kikubwa wameshajua siasa za Marekani na NATO kuwa ni unafiki na ugombanishi...

Acha tuendendelee kumwombea Kamanda Putin azidi kuifungua dunia na Unafiki wa Marekani.
 
Acha kulialia mie nimekuwekea link hii hapa


Haya sema kuwa hicho sio chombo cha habari cha Marekani (U.S. News) kinachoripoti hiyo habari...

Kwa akili yako unadhani Marekani anaripoti habari hiyo huku anafurahia?!

Moderator hebu mwambieni huyu Omusolopogasi atulie, aache kupaniki...huo ndio uhuru wa habari...asitake kutuletea mambo ya kuminya habari fulani hapa JF kama wafanyavyo BBC, CNN n.k.

Bwana Utam, Galip Vrl, Washawasha njooni mumuone Pro-NATO mmoja wa 'Mabwepande' amepaniki vibaya, anataka kurusha ngumi hapa jukwaani😆😆🤣🤣😇😇😇

 
Wewe mmarekani wa Mchambawima unataka uambiwe na nani ndio ukubali!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…