Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Labda umwombee Putin afya maana nasikia mara nyingi afya yake si njema.Biden ameenda South Korea, Wakorea wameandamana kuwa hatutaki ziara yako umekuja kutugombanisha na ndugu yetu NK.
Ameenda Japani, Wajapan wameandamana kuwa hatutaki ziara yako umekuja kutugombanisha na jirani yetu China.
Nadhani kupitia hii operation ya Urusi Dunia kwa kiasi kikubwa wameshajua siasa za Marekani na NATO kuwa ni unafiki na ugombanishi...
Acha tuendendelee kumwombea Kamanda Putin azidi kuifungua dunia na Unafiki wa Marekani.
Sasa unataka nikujibu unavyotaka wewe!? Hebu tuambie hao UK watalizuia vipi dude kama hilo!?Rejea post #43,044
Unajua speed ya Sarmat!? Hao NATO kwa Russia ni sisimizi. Wanabweka tu.Hilo sio jibu la swali nililokuuliza, na unajua fika kuwa the moment hio Sarmat inatua UK, the military mighty ya NATO inatua Urusi. Sasa hivyo vigraph vyako, vilinganishe na vya NATO yote.
Nataka nikutoe tongotongo huenda wewe ni mgeni wa dunia hii. Hakuna kitu NATO wanakiogopa kama Russia.Rejea post #43,044
Una tatizo gani ndugu? Mbona nimekuuliza swali rahisi tu wewe unajibu kingine.Unajua speed ya Sarmat!? Hao NATO kwa Russia ni sisimizi. Wanabweka tu.
Haonekani anafikiri, anatumia kila nafasi kuimba sifa ya mungu wake putin . . .Wakati Sarmat iki destroy UK, unafikiri Moscow na miji mingine mikubwa ya Urusi itabaki?3
Kwani umeambiwa kuwa lengo lao ni kuzuia hilo dude?Sasa unataka nikujibu unavyotaka wewe!? Hebu tuambie hao UK watalizuia vipi dude kama hilo!?
Bado hajaelewa kwamba takwimu hizo ni bila maana. Zinaonyesha overkill . . . . . pande zote.Nataka nikutoe tongotongo huenda wewe ni mgeni wa dunia hii. Hakuna kitu NATO wanakiogopa kama Russia.
Usiichukulie Russia kama Finland.
Wajumlishe wote NATO hapo. Sijakuambia tu kujisi Tsar nuclear Bomb.
View attachment 2234651
Za Urusi simnajaua idadi yake. Si kila siku mnasema Urusi kapoteza zaidi kuliko Ukraine ndio mtuambie sasa ngapi kwa ngapi. Maana ndio kwanza leo ndio tunasikia hasara ya upande wa Ukraini.Unamaanisha idadi ya drones za Ukraine ambazo urusi imeharibu toka vita ianze au vipi?, Na Ukraine kaharibu za Urusi ngapi?
Za google hizo mwamba nilikuwa nafanya joke kwa jombaa hapo kuhusu Tanks (Vifaru)Nope Bei za tank pm, naweza kukuungisha pro-russia mwenzangu
Watu wengi hawajui hii mambo kubwa ya Urusi.TUTAONA MENGI. KUMBE HATA NUCLEAR TECHNOLOGY WANATOA URUSI.
🇪🇺The uranium embargo for the EU will be worse than the oil embargo.
According to the German television channel N-TV, Europe depends on the supply of enriched uranium more than on oil or gas. It buys about 40% of its nuclear fuel from Russia and Kazakhstan.
At the same time, the EU receives from Russia not only raw materials, but also technologies.
“Over the years, the Kremlin has invested billions in improving the technological process of uranium enrichment and has been able to achieve success: Russian installations are considered among the best in the world,” the @ino_tv channel quotes.
In addition, there are 18 countries in the EU where Russian nuclear reactors are located: two in Bulgaria, six in the Czech Republic, two in Finland, four in Hungary and four in Slovakia.
Journalists note that Rosatom has not yet been sanctioned, although it is a state concern and a very suitable target for restrictive measures.
Sasa turejee kwenye msingi, maana nakuons unajitoa ufahamuKwani umeambiwa kuwa lengo lao ni kuzuia hilo dude?
Haelewi maana ya silaha za nyuklia na overkill. Hata kama Urusi inaangamiza Uingereza 100%, nyambizi za Kiingereza zenye silaha za nyuklia zinabaki , zinatosha kufuta miji ya Urusi.Mzee unata tuanze kubishana!? UK kwa Russia ni sisimizi.
Ukraine inayopewa msaada na NATO WA HALI NA MALI kuipa upinzani Urusi pia si habari. Muache double standards!Ukraine kupigwa na Urusi si habari, habari ni Ukraine kuipa upinzani Urusi.
Hatakuelewa hapo.Bado hajaelewa kwamba takwimu hizo ni bila maana. Zinaonyesha overkill . . . . . pande zote.
Kaka unanichanganya! Urusi si Irak au si Zimbabwe???Watu wengi hawajui hii mambo kubwa ya Urusi.
Urusi ndio inaendesha uchumi wa EU .
Urusi sio Iraq.
Mwenye imani thabiti hahitaji kuelewa ila kitu. Anaamini.Hatakuelewa hapo.
Aloo!⚠️‼️Russia will soon put about 50 new RS-28 "Sarmat" intercontinental ballistic missiles on combat duty - Dmitry Rogozin‼️⚠️
Earlier, he said that the Ministry of Defense will receive Sarmat missiles by the end of autumn.
It is planned that the intercontinental ballistic missile will be in service until the 2070s.