Kwa Mykhailo Podolyk, Mshauri wa Rais wa Ukraine. Tazama taarifa zote za habari duniani za vyombo vikubwa wameripoti.Taarifa ya mwisho iliyotoka Russia ni kuwa hawako kwenye mazungumzo yoyote na Ukraine!Sasa wewe hayo umeyatoa wapi?
Zalensky mwenyewe hajasema kuwa amepewa demands hizo,alichosema ni kuwa Ukraine haitakubali mazungumzo ya kumaliza vita yahusishe kuachia sehemu ya ardhi yake!Swali kwako,wewe hizo demands za Russia umezitoa wapi?
Bado umeendelea kuandika imetupilia mbali wakati kiuhalisia hakuna kilichotupiliwa mbali kwani hakuna taarifa ya mazungumzo ya pande zote mbili kuendelea!Taarifa mbona nimeleta kama ilivyo au hujaisoma umeishia heading tu. Na kama umeishia heading hilo ni tatizo lako huenda labda haina umuhimu kwako.
Hujui unachoandika rocket na anga . Hivi nani anamiliki anga hao Nato wanarusha ndege ama drone ngapi na zinasalimika ngapi. Russia ni baba yao .Hapana sijui kwamba Urusi iko mbele katika tekinolojia ya kijeshi.
Mimi si mtaalamu katika mambo haya. Nimefuata habari za roketi kidogo. Hapa naona katika tekinolojia kwamba Urusi inaendelea kutumia vyombo kama Soyuz vinavyoendelea bila mabadiliko makubwa tangu miaka 40 hivi... Vilifanya vizuri, wakati MArekani ilishindwa na Space Shuttle. Lakini sasa kuna tekinolojia mpya ya roketi zinazorudi ili zitumiwe tena na hapa hakuna dalili hata kidogo Urusi kuna kitu kama hicho...
Nimeangalia habari za kifaru T14 Armata. Ilisifiwa kama kifaru bora duniani, kumbe wana mahandisi bora! Ila kifaru hakipo hali halisi walishindwa kukitengeneza, wengine wanasema ni kiuchumi hawana hela,, wengine wanasema ni vipuli kutoka Marekani ambako Urui ilipoigwa vikwazo tangu 2014...
Nimeangalia wachambuzi wanaodai eti Urusi wana mahandisi wazuri lakini tasnia ya silaha ina matatizo kutoa silaha bora, wana matatizo ya kuhakikisha ubora. hii sababu kwamba hawana roketi nyingi za kisasa. Basi kama ni kweli tutaona karibuni kama wataishia roketi na grenedi za kisasa zinazolengwa kwa GPS.
Ila inaonekana kuna tatizo nzito maana Urusi imeshindwa kudhibiti anga. Wengi wanashangaa maana wote walitegemea watamaliza swali hili kwenye siku ya pili au ya tatu baada ya uvamizi (jinsi Marekani walivyofanya Iraki na Afghanistan).
Hapa kuna swali kama ni kasoro za tekinolojia au uongozi??
Kwa sasa wanaendelea kwa kutumia mkakati akma zamani. Wanaleta mizinga mingi mbele, wanasaga kila kitu halafu wanasogea mbele kidogo.
Tuone itakuwaje mara Ukraine wanapeleka idadi ya mizinga ya kimarekani mbele ambazo zipiga mbali zaidi kuliko zile za kirusi, tena wamepata idadi kubwa ya grenedi za GPS.
Ile kujigamba dhidi ya Uingereza ni kitoto. Maana Urusi isingepiga Uingereza peke yake. Ingepata jibu la NATO kwa jumla na hapa isingekuwepo Urusi tena. Wanaijua. kwa hiyo ni kazi ya wanasiasa kupiga kelele tu... (pamoja na usharika wa waumini wa putin kuitikia..)
Mimi mwenyewe nimeangalia BBC na Aljazeera,alichokisema ni kuwa Ukraine haitakubali kuachia sehemu ya ardhi yake kama sehemu ya kumaliza vita!Kwa Mykhailo Podolyk, Mshauri wa Rais wa Ukraine. Tazama taarifa zote za habari duniani za vyombo vikubwa wameripoti.
Kwanza nashukru umekiri wameripoti , kwahiyo hapa ni unabishana tu.Mimi mwenyewe nimeangalia BBC na Aljazeera,alichokisema ni kuwa Ukraine haitakubali kuachia sehemu ya ardhi yake kama sehemu ya kumaliza vita!
Hiyo amesema kama precaution tu na sio kwamba Russia wamemwambia demands zake ni hizo!Muwe mnasikiliza vizuri taarifa kabla ya kuja kuandika hapa!
Bro USA ndo nchi ya Kwanza kufanya testing ya laser weapons, tatizo nadhan ni sababu jamaa hawapendi Sana kuzinadi silaha zao Kama nchi za kikomunisti wanavyofanya ili kutisha mataifa mengine Kama vile kila siku wanavyotishia nuclear utafikiri wanayo peke YaoHata wao hii technology wanadai hawaifahamu (wanasema ni imaginary)
Coz inatumia mionzi kuchoma drone iliyo umbali Zaid ya km 5
Hii Vita inaweza kuonyesha uhalisia wa silaha za ajabu walizonazo RUSSIA
Russia ndio mzalishaji namba Moja wa ngano duniani,Ukraine ni wa 5!Russia amezuiwa meli zake kutia nanga kwenye nchi za EU na US!Tafadhali utueleze namna gani ni vikwazo vya magharibi? Urusi inazuia meli za ngano kutoka Odessa. Au ni NATO inayozuia ngano ya Ukraine kufika masoko ya dunia???
Unachekesha sana wewe, kwahio atapiga ifakara shinyanga babati mbeya iringa na sehemu kadja Wa kadha kinapo toka chakula cha nchi? Yaani pro NATO mnaongeaga utumbo mpaka mnapitiliza, Mwafrika hategemei ngano pekee kama ndio chakula kikuuPutin anaanza kuua Waafrika kwa njia ya njaa kwa sababu ameshambulia Ukraine. Nafaka za Ukraine haziwezi kupelekwa tena kwenye masoko ya Dunia. Bei zinapanda. Watu maskini wanaona njaa. Hasa nchi kama Ethiopia, Somalia na Kenya zinazotegemea misaada kutoka mashirika ya kimataifa ambayo yanakosa hela kulipa bei mpya.
Waumini wake wanaendelea kumwabudu . . .
Amesema Ukraine haitakubali Mpango wowote wa kuimega ardhi yake kama sehemu ya kumaliza vita!Kwanza nashukru umekiri wameripoti , kwahiyo hapa ni unabishana tu.
Wewe ndo usikilizi vizuri, nazani Unatakiwa uongeze umakini zaidi wakati wa kusikiliza, pili usiishie kusikiliza tu, bali isome pia hiyo taarifa.
Mwisho umeambiwa amekataa mpango huo na sababu zake ni hizo, sasa hapo unachobishia ni nini au kipi hujaelewa.
Sielewi hata unabishana nini, Majibu aliyoyatoa Mykhailo Podolyk yanathibitisha wameambiwa hivyo kwenye mazungumzo hayo.Amesema Ukraine haitakubali Mpango wowote wa kuimega ardhi yake kama sehemu ya kumaliza vita!
Hakuna mahala popote ambapo amesema kwamba Russia wamedemand hivyo!Kumbuka mazungumzo ya Ukraine na Russia yalikwama kuendelea kabla hata Russia hajaikamata Mariupol!
Sasa nauliza,hizo demands za Russia zimepatikana kwenye kikao kipi?
Sio Zalensky Wala mshauri wake waliosema kwamba wameambiwa hayo!
Unaandika vya kuambiwa? Huna hoja Kaa pembeni jamaa!tuache wengine tujifunze yaliyo kweli, unatulisha uongo!Mimi si mtaalamu katika mambo haya.
Kila siku Biden anaomba pesa , unafikiri Iraq ilikua hivi? huyu Ndio Putin kiranja mkuu wa ulimwengu anae pambana na Ukraine pamoja na sponsors wake na bado wanalia lia kama Mbwa
Tafadhali usome ninachoandika na utafakari vema. Tanzania kwa bahati nzuri ina mazao yanayoweza kuuzwa nje. Tunaona matokeo katika kupanda bei ya unga wa ngano (Tanzania inanunua kiasi nje) na mafuta maana Ukraineni namba 1 kuzalisha mafuta ya alizeti duniani.Unachekesha sana wewe, kwahio atapiga ifakara shinyanga babati mbeya iringa na sehemu kadja Wa kadha kinapo toka chakula cha nchi? Yaani pro NATO mnaongeaga utumbo mpaka mnapitiliza, Mwafrika hategemei ngano pekee kama ndio chakula kikuu
Shirikisha akili japo kwa mbali, ukraine anatumika Kama Dalali wa aliyejaribu kuwa mwenyeji wa maadu wa urusi, huo ugomvi wanaopigana ni USA wakipiga corabo na NATO VS RUSSIA. Uzuri RUSSIA ina Assumptions zote yanaweza tokea na taadhari zake, ndio maana sanctions na Mambo mengine hayana effects mbaya Kama West walivyofikiri, risks na mitigations hii vita Russia walishafanya..hapo ni kusali tu imalizike kwa adabu.
Kaka unaamini yeyote anayechangia hapa ni mtaalamu?? 🙄Unaandika vya kuambiwa? Huna hoja Kaa pembeni jamaa!tuache wengine tujifunze yaliyo kweli, unatulisha uongo!
Sijakana Urusi inauza pia . Hakuna anayezuia meli za Urusi kubeba ngano yake isipokuwa kwenye nchi za NATO zinazoweka vikwazo dhidi ya Urusi (sina uhakika kama kuna vikwazo dhidi ya chakula kutoka Urusi - je unazo habari za uhakika??)Russia ndio mzalishaji namba Moja wa ngano duniani,Ukraine ni wa 5!Russia amezuiwa meli zake kutia nanga kwenye nchi za EU na US!
Canada naye yupo top 5 Kwa uzalishaji ngano,Sasa hapo huoni tatizo linaanzia Kwa muweka vikwazo?
Kama ambavyo Russia amewekewa vikwazo Ili uchumi uyumbe na ashindwe vita,na yeye Ndivyo anvyoiminya Ukraine Ili iwe unbalanced na ashindwe vita kirahisi! Matokeo yake ndio hayo!
Niliwaambia hapa vita Russia kashinda baada ya Mauripol .Russia ameongeza dozi kidogo sio yote tayari wameshika adabu. Ni namna ya kutoa kombe tu . Zelensky atoke mwenyewe au USA wamalize kisha waingie makubaliano na Russia. Zelensky kesha tumia fedha ya Watu lazma awajibike yeye binafsi.Biden katumia fedha ya walipakodi USA lazma awajibike.Sielewi hata unabishana nini, Majibu aliyoyatoa Mykhailo Podolyk yanathibitisha wameambiwa hivyo kwenye mazungumzo hayo.
Hujagusa yale nilyosema kuhusu roketi. Kama Urusi ni baba au babu au nini sijali,Hujui unachoandika rocket na anga . Hivi nani anamiliki anga hao Nato wanarusha ndege ama drone ngapi na zinasalimika ngapi. Russia ni baba yao .
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Duuh,Kuna eneo umeonekana uko shallow halafu unajiita mtaalam!Hivi unaelewa kinachofanyika Ili hizo rocket engines zije kuwa reused?Ni kwamba zamani Ilikuwa baada ya kufika height fulani,zinaachwa zianguke free fall ,hizo kazi yake ni kuipa shuttle initial take off velocity!Ikifika height fulani zinajitenga na shuttle na kuanguka ardhini hivyo kuharibika!Sasa US walivyofanya ni kufunga mfumo wa parachute kiasi kwamba wakati zinaanguka basi Parachute inajifungua!Ikijifungua,Kwa juu Kunakuwa na kama kile kichuma Cha Cha buchani Cha kutundikia nyama,baada ya hapo helcopter inaenda kudaka kile kichuma na hivyo kuipeleka hiyo engine sehemu salama na kuitua!Hapana sijui kwamba Urusi iko mbele katika tekinolojia ya kijeshi.
Mimi si mtaalamu katika mambo haya. Nimefuata habari za roketi kidogo. Hapa naona katika tekinolojia kwamba Urusi inaendelea kutumia vyombo kama Soyuz vinavyoendelea bila mabadiliko makubwa tangu miaka 40 hivi... Vilifanya vizuri, wakati MArekani ilishindwa na Space Shuttle. Lakini sasa kuna tekinolojia mpya ya roketi zinazorudi ili zitumiwe tena na hapa hakuna dalili hata kidogo Urusi kuna kitu kama hicho...
Nimeangalia habari za kifaru T14 Armata. Ilisifiwa kama kifaru bora duniani, kumbe wana mahandisi bora! Ila kifaru hakipo hali halisi walishindwa kukitengeneza, wengine wanasema ni kiuchumi hawana hela,, wengine wanasema ni vipuli kutoka Marekani ambako Urui ilipoigwa vikwazo tangu 2014...
Nimeangalia wachambuzi wanaodai eti Urusi wana mahandisi wazuri lakini tasnia ya silaha ina matatizo kutoa silaha bora, wana matatizo ya kuhakikisha ubora. hii sababu kwamba hawana roketi nyingi za kisasa. Basi kama ni kweli tutaona karibuni kama wataishia roketi na grenedi za kisasa zinazolengwa kwa GPS.
Ila inaonekana kuna tatizo nzito maana Urusi imeshindwa kudhibiti anga. Wengi wanashangaa maana wote walitegemea watamaliza swali hili kwenye siku ya pili au ya tatu baada ya uvamizi (jinsi Marekani walivyofanya Iraki na Afghanistan).
Hapa kuna swali kama ni kasoro za tekinolojia au uongozi??
Kwa sasa wanaendelea kwa kutumia mkakati akma zamani. Wanaleta mizinga mingi mbele, wanasaga kila kitu halafu wanasogea mbele kidogo.
Tuone itakuwaje mara Ukraine wanapeleka idadi ya mizinga ya kimarekani mbele ambazo zipiga mbali zaidi kuliko zile za kirusi, tena wamepata idadi kubwa ya grenedi za GPS.
Ile kujigamba dhidi ya Uingereza ni kitoto. Maana Urusi isingepiga Uingereza peke yake. Ingepata jibu la NATO kwa jumla na hapa isingekuwepo Urusi tena. Wanaijua. kwa hiyo ni kazi ya wanasiasa kupiga kelele tu... (pamoja na usharika wa waumini wa putin kuitikia..)
Angekuwa kasha shinda Putin angekuwa kashatangaza kumalizika kwa Vita. Vita bado inaendelea.Niliwaambia hapa vita Russia kashinda baada ya Mauripol .Russia ameongeza dozi kidogo sio yote tayari wameshika adabu. Ni namna ya kutoa kombe tu . Zelensky atoke mwenyewe au USA wamalize kisha waingie makubaliano na Russia. Zelensky kesha tumia fedha ya Watu lazma awajibike yeye binafsi.Biden katumia fedha ya walipakodi USA lazma awajibike.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app