Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Unanikumbusha UP. Kwenye mechanics Physics. Ulikuwa unaweza solve swali moja tu kati ya maswali kumi.Naam Jombaa, vile vile a body can become weightless if its accelerated at constant velocity, kwamba changes ya Velocity inakua zero hivyo Acceleration inakuwa zero vile vile... Ukija kwenye W=ma.
Bila kusahau Weight inaeza kua negative since Weight is Vector Quantity, direction lazima iwe considered unlike Mass ambayo ni Scalar quantity.
NATO hawapigi Urusi kwa sababu si umoja wa uvamizi ni umoja wa kuteteana. Ilhali Ukraine si mwanachama wa NATO, katika kanuni zao hakuna sababu ya kuvamia Urusi.Mbona wanaogopa kumpiga wakati kavamia Ukraine kama hazibadilishi kitu? Ww unajifanya mjuaji kuliko NATO!
Umekuja kunogesha ligi!NATO hawapigi Urusi kwa sababu si umoja wa uvamizi ni umoja wa kuteteana. Ilhali Ukraine si mwanachama wa NATO, katika kanuni zao hakuna sababu ya kuvamia Urusi.
Ila katika tishio la kinyuklia hakuna kilichobadilika kutokana na roketi hizo mpya.
Tafadhali usichanganye mambo.Mshaa anza kulia lia eeh!Si mlimuwekea vikwazo Russia mkajua yeye atakufa njaa matokeo yake nyie ndio mnalia njaa[emoji1787].Nyie si mlisema Russia wanajeshi wake hawana chakula duuh kweli machoko safari hii moto mnapelekewa.Putin ongeza kupaka mkongo...
Hawezi thubutu kwenda huko, kawaida ake na tamaduni ya US ni kuingiza wengine kwenye machafuko. Hata Ukraine alipewa ahadi kede kede wako wapi hivi sasa?USA kapata dhaifu wake wa kumpumulia kisogoni, miezi mitatu maneno haya hayajazungumza Ukraine. Mjerumani mwanzoni kabisa alikuwa na maneno ya vitisho kwa Russia kilichotokea Mrusi akasema maneno ya ujerumani ni tishio kwa usalama wa Urusi na warusi tutawapa jibu, muda si mrefu mbabe wa vita PUTIN akaagiza vikosi vyote viwe tayari kwa uvamizi kutoka Ujerumani hapohapo Germany akafyata mkia.
Ujerumani akaona hatari kubwa Russia ana hasira na WANAZI na Russia anapoiona Ujerumani taswira inayomjia ni HATARI YA WANAZI kwa ajili ya usalama wa nchi ya Urusi watakuwa tayari kutumia biological,chemical,nuclear na laser weapons kujilinda dhidi ya WANAZI.
China anapumuliwa kisogoni anakubali kweli USA kapata saizi yake.
🖕Mtaalamu wa silaha wa kidenzi wa kitanzania🤣🤣🤣. Eti naye anajua technology ilyotumika kuengeneza silaha inazoziunguza hizo drone. Mahajabu ya dunia bado yanaendelea kutokeaWanajitoa akili tu.. waijua hiyo teknolojia vizuri tu, kama ilivyo RADAR(Radio Detection And Ranging) kuna teknolojia mpya inaitwa LADAR(Laser Detection And Ranging) hiyo hufanya kazi kama Radar lakini yenyewe ina more accuracy sasa hapo Rusia niwamefanya modification kwa kuongeza intensity ya hiyo laser light tu nakuifanya hiyo LADAR kuwa weapon
Kuna uwezekano mkubwa hata mmarekani akawa nayo sema kwakuwa kaamua kuifanya hii vita kama njia ya kuchunguza nguvu ya Mrusi amejifanya anahamaki yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha kitaaambo ase 😂Unanikumbusha UP. Kwenye mechanics Physics. Ulikuwa unaweza solve swali moja tu kati ya maswali kumi.
Kaka unaepukana na maswali yangu:Hivi unafikiri kwa nchi zetu maskini ni rahisi kufanya biashara na adui wa USA?
Africa wanatamani kwenda urusi kununua mbolea na mafuta lakini wakimkumbuka usa wanakua wadogo,
Ina maana mpaka sasa hujui lengo lake lilikuwa lipi [emoji3][emoji3][emoji3]Ule msafara wa vifaru wa kilometa 64 uliosambaratishwa na vikosi shupavu vya UKRAINE ulikuwa na lengo Gani?[emoji848]
We Bwana Mkubwa mwenye hekima, unasema kweli Afrika kuna ardhi yenye rutba. Kwa bahati mbaya rutba inajificha wakati hamna mvua. Kwa hiyo mavuno huko Kenya, zaidi Ethiopia na Somalia (pamoja na vita) yalifeli. Tokeo ni njaa na haja la kutafuta chakula nje.Mtoto wa kiume wewe acha kulialiaa si mlime vyakula vyenu?? Kwani mmekatazwa??Africa tuna ardhi yenye rutuba lakini tunashindwa lima. Hizi ndo akili za waafrica hatuwezi kujitegemea. Kwa comment kama hii inaonesha jinsi ulivyo dhaifu kiakili.
Unajitegemea kweli wewe? Au bado upo home. Comments zako nyingi nikisoma kuna mambo 3 unayo
1. Mahaba na US
2. Bado una amini propaganda Unashindwa kung’amua taarifa unazosoma kwa kujua ukweli au uhalisia wa hio taarifa zinatolewa.
3. Bado una utoto mwingi [emoji706][emoji706][emoji706]
Siwezi kukulaumu sana ila nafikiri bado hujawajua vzr hao watu unaowaabudu na agenda zao hapa duniani.
Hongera sana kwa kutuonyesha vilindi vya elimu yako. Nikiruhusiwa kurudi kwenye mwanzo wa majadiliano:Na mimi naomba nijazie nyama mdau,
Mass ya kitu haibadiliki bali Weight hubadilika kwasababu ya variation ya Gravitational Force kwenye Point tofauti tofauti kwenye uso wa dunia...
A man can become weightless akiwa exposed kwenye Zero Gravitational force i.e W=mg ila never ever huezi kuta mahala binadam au kitu kikawa na tungamo (Mass) zero.
Raha ya uelewa tofauti na kukariri au kufanya au kuzungumza kwa mazoea ni uwezo wa kutofautisha na Utambuzi.
Team Russia, Team Easterners kwa hili hamna mashaka wadau wangu 🤗
Mwanamkiwi one man army
😂
Hawa BAE ndio walituuziaga Radar ya mchongooo enzi za Chenge 😅😅