Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky anasema Ukraine inaweza kupoteza askari 100 kila siku huko mashariki mwa nchi hiyo.

Yetu macho na masikio.

Ukraine inaweza kupoteza maisha ya wanajeshi 100 kila siku huko mashariki - Zelensky



Getty ImagesCopyright: Getty Images

Ukraine huenda inapoteza maisha kati ya 50-100 eneo la mashariki kila siku, Rais Volodymyr Zelensky alisema wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jumapili.

Alisema waliouawa walikuwa wakiilinda Ukraine katika "mwelekeo mgumu zaidi".

Zelensky hakufafanua zaidi lakini maoni hayo yanaonekana kuwa marejeleo ya hasara za kijeshi na ni ishara ya jinsi mapigano yalivyo makali mashariki.

Vikosi vya Urusi vimeongeza juhudi zao za kuteka miji ya eneo la Donbas mashariki, kwa kuzingatia mji wa Severodonetsk.
 
Anajua nini kitamkuta
 
Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
 
Ukraine sio mwanachama wa NATO, kuna mindege ya Sweden ambayo ya kisasa imemtamani sana Putin, tatizo hakuna rubani hata mmoja wa Ukraine anajua kuzitumia.
Huyo Mrusi ajifanye amekosea njia ashushe kombora kwa kataifa kamoja tu ka NATO.
Waambieni NATO warushe jiwe Moscow!
 
Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
Huyo ndiye anayefanya nchi yake inazidi kuteketea,akumbuke hata mmarekani alichajitoa kuwa yeye atakuwa na hatma ya mazungumzo na mrusi,hata Poland amemwachia uamuzi juu ya mazungumzo ya kusitisha vita na mrusi,acha akomae Hadi mrusi amng'oe ubongo🏃
 
Hakika mkuu
 
kwan yeye ndio anawaua ? mkiitwa viumbe wa mitin mnalalamika
 
Huyu jamaa inawezekana either anatumia MIHADARATI OR ana controliwa directly na Western ........coz Kuna muda anaongea fact .....pia Kuna muda anajipa matumain hewa[emoji23][emoji23]
ebu jigeuzie hiyo statement kwako , unaonesha kila dalili , mwenzio anapigania ardhi yake ww unataka aache , sasa sijui na mwendawazimu hapo?
 
Dah mkuu yaaani mtu aje kwako akutawale kisa ana nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…