Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Da aloo,Urusi wako vizuri sana aisee.
Wako vizuri jamani tuache ushabiki..
Wamezishambulia silaha mpya za USA Hadi zikatafuta maficho msituni,wakazifuata msituni na kuzimalizia.
 
Zunachomwa bana.
Lazer ya Urusi inaziunguza mbaya.
 
Hii dunia inachezewa sana, kwanini hizi lab hawazifungui Mexico, Cuba, Nicaragua, na nchi zingine nyingi jirani kwake hadi watembee maelfu ya miles jirani kww Urusi kuzifungua?

πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡―πŸ‡΅Biden announced the opening of a biolaboratory of the US Centers for Disease Control and Prevention in Tokyo.

To strengthen preparedness "in case of new pandemics," the American president explained.


Kwanini hasimu wa Amani anatukuzwa namna hii wala haonekani kukutwa na makosa?
 
Waambieni NATO warushe jiwe Moscow!

Anayewashwa washwa ni huyo Mrusi, yeye ndiye ametoka kwake kwenda kuparamia kainchi ka watu kakamshinda, katia limsafara likafyekwa lote, sasa hivi anatafuta pakutokea......alishindwa Kiev akaenda kufuata kamji ka huko mbali Marioupol, ni kama leo ujaribu kuivamia Tanzania kwa kuparamia Dar, ikushinde ugeuze uende kuhangaika na Katavi hukooooo!!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na huezi kusoma Physics ukaielewa kama huna logical reasoning...

Ase ndio maana Pro-Russia mnafanana, kumbe background zetu ni kama "Nyeupe" na "White"... Kasoro lugha tu ila "mambo" ni ile ile
Unajua Pro NATO wengi ni HK au KLF.
Pro Russia wengi ni PCM, PCB, PGM EGM nk.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Show kali!

πŸ“ Russia and Turkey are starting a new phase of negotiations on the replacement of Western brands leaving Russia, writes HΓΌrriyet.

We are talking about replacing them with Turkish brands, the newspaper reported.
 
US wanatamani wangepata upenyo nyingine wakaenda kuweka pale Chechen. Russia anawapa homa sana 🀩
 
Baadhi ya aina ya vifaru wanavyotumia Ukraine ni vile vile anavyotumia Urusi!! Hii imemrahisishia Ukraine kufanya propaganda!! Vifaru vya ukraine vikiharibiwa anavipiga picha halafu anasema vifaru vya urusi ndio vimeharibiwa!! Sasa watu hawashangai kama maelfu ya vifaru vya urusi vimeharibiwa mbona amefanikiwa kukukalia jimbo lote la Kherson na asilimia 95 ya jimbo la DONBAS?
Tatizo la propaganda ni kwamba huwa haina uhalisia kwenye uwanja wa vita!!
 
Vipi fungu lako kiasi gani kwenye huo mgao jomba...??? Wazee wa british Fund πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mtaambiwa nn kuhusu Western kibaya mukielewe...
 
Km ni hvyo basi wamekufa wanajeshi wengi sana wa Ukraine maana hvyo vifaa ulivyo vitaja vyote ukivilipua lazima kuna watu walikuwa wanavi operate except drone au km zilikuwa store
 
Ukraine inamaana tangu Vita ianze hawakua na siraha km hzo ?hzo zitashambulia siku moja au mbili zinageuzwa scrapers
 
usijitoe ufahamu, NATO imeshasema inalinda inchi moja ya wanachama wake, Mrusi ajaribu basi ashuhudie kipondo.

Achana na NATO, kwa sasa tujikite vita ya Ukraine ambayo sasa wiki ya tatu inakwenda hiyo goma bado bichi.

Kwahiyo mpaka waungane ndo wajilinde?? Huo ni udhaifu mkubwa sana. Mpaka sasa uamini Russia ni superpower mpaka waungane ndo wajilinde vitu vingine ni aibu[emoji28][emoji28][emoji28]
 

Hao mashoga US ni kelele tu hawana effect hata kwa Russia walianza hivohvo mwisho wa siku mwanaume Putin akaingia wakaanza kelele na propaganda za media zao kama BIBISIII. China ataingia na hakuna atakachofanya.
 
Oneni hii mtu ya Kibera hahaha
 
Na nyie uvamizi wenu Somalia uliishia mkoa gani? Wakenya mnajikutaga wanachama wa NATO sanaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…