Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazo lako ni hakika kabisa.
Na ndio maana ya kua na ma Aircreftcarriers mengi,wakati Urusi anasema yeye Hana haja yaa aircraftcarriers mengi kwa sababu makombora yake yanaweza kupiga popote kutokea Russia.

Urusi ana ndege inaweza kwenda juu Zaid na umbali mrefu zaidi kuliko ndege yoyote ya kivita aina ya bomber TU 160 Black jack
 
Hapana , sababu kubwa ya Urusi kutokua na aircraft carrier ni kutokana na uwezo wao mdogo wa kiuchumi hivyo hawataweza kuzihudumia na kuziendesha.

Urusi ana ndege inaweza kwenda juu Zaid na umbali mrefu zaidi kuliko ndege yoyote ya kivita aina ya bomber TU 160 Black jack
Soma kuhusu US B2 stealth bomber
T14 Armata Root dudus Tsh Jackal
 
Na hayo maneno yamenifanya nimkumbuke King Julian, the king without Kingdom. 🦦
 
Sasa mipango gani inakuwa ktk internet ???????
Hahaaaaa
 
Unajua Pro NATO wengi ni HK au KLF.
Pro Russia wengi ni PCM, PCB, PGM EGM nk.
Hii ni sawa na kusema Lissu alikuwaje bora kuliko mawakili wa serikali.
Kumbe ikapelekea mpka Magu amteue mwalimu wa sheria wa Lisu Kabudi aende kujibizana na Lissu bungeni.

Kumbe inshu haikuwa Lissu kuwa clever saaaaana Ila ilikuwa upande aliouchagua Lissu ulikuwa wa haki na hivyo alikuwa na njia nyingi za kuidai hiyo haki.
It's not about HK kunani au KLF. Ni upande upi mtu kachagua.
 
Katika taifa ambalo sio lakuliekea dhamana basi hawa TURKEY
Jamaa hawa hawaeleweki kabisa kabisa dakika mbili wanachange
Ingawaje kwahili naungana nae kafanya lamaana sanaa
FINI na SWED wasahau kujiunga na NATO tena wasahau khaswaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…