Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sahii kabisa,
Kwanza hayo makambi yanawagharimu Sana kuyandesha.
 
[emoji1082] Croatian MEP has publicly proposed the EU to impose sanctions against the US and Saudi Arabia.

“The incredible lie and hypocrisy that sanctions against oil and gas from Russia will help stop the fighting in Ukraine. If we were the ones really fighting for peace, then we should immediately impose sanctions against Saudi Arabia, which has been fomenting war in Yemen for several years. It would also be necessary to impose an embargo on oil and gas from the United States, which took part in more wars than any other European country,” said Mislav Kolakusic
 
Ubabe na ujinga wa urusi
Eti Huyu naye ambiwa ni Great thinker [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uhuni wa CIA huo,
Ndo machafuko tuyayoyaona kila sehemu
 
Nadhani ndani ya miaka 10-15 itakuwa sokoni tayari maana ana vision ya S-550 Ipo kwenye mchakato

Hawa jamaa itafikia hatua wataanza kuunda silaha za kuvamia mbinguni
Kamati ya sayansi ya silaha ya Russia Ni kiboko.

[emoji117]Lile bomu la Hypersonic Ni kichomi,
Ukilisikia,ujue limekukosa. Huombi hata maji.

[emoji117]Ile Laser ya kutungulia drone, Ni komesha.
Drone zinayeyushwa Kama uji

[emoji117] Kuna ile ya kujam ndege Ni balaa na nusu,
Helicopter na ndege zikikatiza vyuma vinaumana kwenye engine mpk inadondoka yenyewe.

[emoji117]Bado Yale mabomu ya kumtoa mnyoka pangoni, wanaita thermoballic balistoc. Likipigwa unakohoa Hadi ulimi, unatoka mwnyw uko ulikojificha.

Hawa jamaa kijeshi tuwaache TU,
Ndo maana USA wanahangaika Sana kumpunguzia Kasi[emoji4]
 
Uyo Poland ndo kiherehere mkuu kwenye Hii Vita. Alitakiwa kua top nafs yangu isuuzike
 
Uko West Kuna wapuuzi wanafaidika na Hii Vita kwa gharama ya maisha ya wa-ukraine[emoji26]
 
Ile bomber Ni balaa,
Inakupiga bomu, unaliona linashuka linatokea mawinguni kabisa.

Dege linakopita Hata mlio wa ndege hausikiki ukiwa ardhini.
 
Uko West Kuna wapuuzi wanafaidika na Hii Vita kwa gharama ya maisha ya wa-ukraine[emoji26]
Hata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.
 
Sasa mipango gani inakuwa ktk internet ???????
Hahaaaaa
Kuna vichwa vingine maji mkuu,badala ya kuficha siri,yeye kaona sifa Wamarekani kuwa upande wao.Ila kwa watu wa leo sioni ajabu.Wakati mwingine US officials wana expose their millitary secrets kama walivyofanya sasa,ikawa picked up by Ukraine officials.Wakati mwingine UK wanafanya makosa hayo,hasa Boris Johnson,Russia na hata China.Kwani sasa si tunajua China wana mpango wa kuivamia Taiwan na US wamesema wakivamia na wao wata-respond millitarily!So nadhani hii ya Ukraine official sio ya ajabu sana,ingawa ni kweli ka-expose millitary secrets.
 
Urusi aache utoto, ajikite kujenga nchi yake
 
Hata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.
Bora Putin kuliko uyo USA wenu aliepigana afghanistani na wanamgambo (sio wanajeshi) wa TALEBAN miaka zaidi ya 20 (2001-2021), akaambulia patupu.

Na bado akashindwa Vita na kuondoka kwa aibu, wanamgambo wakachukua serikali

Putin miez anaepigana na wanajeshi wa nchi nzima, sahv zimeongezeka zimekua Ni nchi zaidi ya 38 na Ni mwezi wa 3 huu unakuja kupiga makelele hapa
 
NATO yote imeamia Ukraine sasa unataka aguse nini? nyie endeleeni kuleta shehena za silaha kazi yetu ni kuzilipua

Kataifa kadogo kama Ukraine kamemsumbua Urusi sembuse NATO, hata haitahitajika NATO yote, kwa udhaifu ambao tumeshuhudia, taifa moja tu la NATO linatosha kumliza Mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…