lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Halafu kuna viji watu vinakuambia Russia ni dhaifu kijeshi.
Pro NATO na USA sijui kama wanafahamu juu ya taarifa hii.View attachment 2237524
🇷🇺⚔️🇷🇺❗️Russian electronic warfare systems are the best in the world! They are capable of literally blinding the entire NATO navigation system.
Electronic warfare "Bylina" is the latest electronic warfare system capable of analyzing the situation on the battlefield in real time without the participation of operators, searching for and classifying targets.
Literally in a matter of seconds, the complex recognizes radio stations, communication systems, radars, early warning aircraft and even enemy satellites, after which it suppresses them with lightning speed. The low-power individual radio stations used by saboteurs will not escape the attention of Bylina.
And that's not all, all new developments and capabilities of Russian electronic warfare systems are classified.
Therefore, today we see how NATO is trying to find alternatives to the GPS navigation system due to possible threats from Russian electronic warfare.🇷🇺
Naunga mkono hojaTuanze kutumia lugha nzuri wa wenzetu. Neno ***** sio sahihi wala zuri kwenye mijadala hii.
mfano wa madrid na simba umekosea au umesahau game na sevillaTuombe vita iishe tu mkuu, raia wanateseka na kufa ovyo. Ukraine by any means hawezi kuishinda urusi. Kama ni mpira ni sawa na First squad ya Real Madrid Vs Simba si hata bila kipa mtu atapigwa 30-0
Ukisikia uchambuzi wa ki Great thinker ndio huu.Hapa ndipo ninagundua anayesababisha viendelee kwa muda mrefu ni mrusi na Siyo NATO
Ukiangalia Kwa umakini urusi inataka marekani na NATO wapeleke silaha za kisasa Ukraine ili na yeye atumie silaha za kisasa kuzidhibiti
Kinachotokea baada ya hapo ni urusi anataka atawale kwenye soko la kuuza silaha, kiufupi kwenye Vita hii marekani anapoteza ushawishi kwenye soko la silaha
Muda Siyo mrefu hata hawa watu wa ulaya watahitaji silaha kutoka urusi na Siyo
marekani,
angalia ilipo silaha ya kirusi, mmarekani hapeleki silaha zake, lakini mrusi Hana mipaka yeyote anayehitaji atamuuzia Kwa kuwa ana uhakika na silaha zake zitaperfom Kwa kiwango Bora Kwa muda Wote, kiufupi hata marekani mwenyewe hajiamini kwenye silaha zake
Nakumbuka mwanzoni kuna drone za marekani walizitumia wafuasi wake wakasifia Sana kwamba mrusi Ali hack hizo drone musk akaingiza software mpya ambayo mrusi Hana 🤣🤣🤣🤣🤣 lakini Leo kiko wapi?
Kwenye Vita hivi marekani anaenda kuanguka kwenye kila eneo alilokuwa ana dominant,
Uchumi unaenda kushake na dollar inaenda kupoteza nguvu duniani ni swala la muda tu
Safi.
WaTaiwani ni waTaiwani. Hiyo Taiwani ni China ni propaganda tu za Mchina. Hata Wakorea wanafanana na WaJapan ila kila mmoja ana utaifa wake.Kwani wataiwani siyo wachina ,,, nina mashaka kama unajua chochote ...taiwani ni china toka zamani
Chakuongezea tu hapo NATO haina jeshi lake la kudumu ambalo lipo tayari muda wowote kwajili ya Vita, hivyobasi ikitokea wakaingia vitani na urusi itawabidi wapate muda wa kufanya army mobilization kwanza kwa kila mwanachama kutoa wapiganaji na vifaa vita kwa hiari yake.Mkuu Proved heshima kwako.
Swali hili limeshajibiwa sana humu.
Ila NAMI nitalijibu Tena.
Hata hivyo kabla ya kulijibu nitakuuliza swali lkini sio lazima unijibu.
Mara kadhaa USA na Allies wake wamekua wakizisaidia nchi zinazopigwa na nchi kubwa kwa kuingiza majeshi kamili wala sio misaada ya fedha na silaha kama inavyofanya Sasa kwa Ukraine.
Nchi ambazo USA na wenzake waliingia majeshi kamili ni
1).Kuipiga Iraq ilipoivamia Kuwait,
2). USA NATO kuipiga Yugoslavia ilipowapiga wa waliotaka kujitenga wa Kosovo,Bosnia na Herzegovina.
3).USA na Ufaransa kuipiga Libya ilipokua ikipigana na waasi.
4).USA,UK na France kujaribu kuipiga Syria ilipokua ikipigana na waasi .
Kama walikua wanazisaidia nchi au watu waliokua wanapigwa na majeshi yenye Nguvu zaidi Yao,kwa Nini wao NATO wanashindwa kuingiza majeshi kamili nchini Ukraine kuisaidia kwa kua inapigwa naUrusi kama walivyofanya kwa nchi hizo nilizozitaja?Iraq, Yugoslavia, Syria na libya?
USA ni ileile,NATO ni ileile na EU ni ileile.Kimabadilika Nini Hadi wakawa wanatoa silaha na fedha TU badala ya kuingiza majeshi kamili.?
Sasa najibu swali lako.
Naamini kabisa Kabla ya OP hii Urusi alijua fika kuwa USA na NATO watamsaidia Ukraine kwa njia mbili.
1) watatoa misaada ya silaha,fedha na Intelijensia,au
2) wataingiza majeshi mazima.
Ndio maana Putin akasema nchi yoyote itakayomsaidia kijeshi ataipa vita ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Na kusema kweli tamko hilo limesaidia sana na hata asingetoa tamko hilo bado hakuna nchi Ingekua tayari kuingia vitani na Urusi kati ya nchi za NATO kwa sababu ya kuogopa vita kubwa sana kuweza kutokea.
Biden mwenyewe aliwaambia raia wake kuwa hatuwezi kupeleka jeshi letu kupambana na Urusi kwa sababu "safari hii tuadili na Jeshi kubwa sana hapa duniani,Urusi sio mtanado wa kigaidi kama tulivyoziea." .
Lakini pamoja na maneno hayo bado wanatoa silaha na fedha kwa Ukraine.
Hivyo Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuingiza jeshi kamili la nchi kwenda kupigana na nchi nyingine kuisaidia nchi nyingine,tofauti na kutoa silaha kwa nchi moja ili kuisaidia kupigana na nchi nyingine.
Kwa kifupi ni kwamba Urusi alionya nchi itakayojiingiza kijeshi mazima kuisaidia Ukraine itakiona Cha moto,lakini kuhusu kupeleka silaha hiyo haikua hofu ya Urusi.
Urusi sio wajinga ndugu yangu,waliyajua yote,hawakukurupuka,walikua wanaenda kuipiga Ukraine kibaraka wa NATO Tena mpakani kabisa na NATO anaeitenganisha kimpaka NATO na Urusi,alijua itapata misaada TU ya Kila Hali hilo asingeweza kulizuia lakini alijua ata Dili nalo vipi.na ndio maana unaona silaha zinateketezwa na kuchomwa Kila siku.
Pia alijua kua Kuna nchi au NATO Watataka kuingia kijeshi ,ndio akatoa tamko like.
Ndugu yangu hii sio mara ya kwanza kwa Urusi kupigana na nchi moja na nchi hiyo kusaidiwa kwa kupewa silaha.
USSR iliipiga Afghanistan, afghanistan ilisidiwa na NATO wote ongeza china,Pakistan,Saudi Arabia,na vijinchi mingine vingi.lakini alodili nao sambamba.
Kwa maana hiyo Urusi alionya kuwa,kama Kuna nchi itakayojiingiza kijeshi kuisaidia Ukraine ataipa vita sio ya Dunia hii,hakumaanishi silaha,kwa sababu silaha zinaweza kuingia hata kwa njia za panya au ki magendo.
Na ndio maana hata NATO na uwezo wao wote wa kijeshi,kiuchumi na kiteknolojia lakini na wao wameishia kutoa misaada ya silaha na fedha TU. Badala ya kuingiza majeshi kama kawaida Yao.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO ,NAMI ntakuuliza je Kuwait, Syria, Libya, Yugoslavia nao walikua ni Wanachama wa NATO?
Je unajua kua Ukraine ndio nchi pekee duniani iliyopata misaada mingi sana ya silaha na fedha kwa ajili ya kutumika kwenye vita?
Hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kupewa misaada ya silaha na fedha kiasi hikinkwa mda mfupi na umoja wa NATO kama Ukraine.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu NATO imewauma sana.
Sasa je kwa Nini. NATO isiingie kijeshi kama kawaida yake?
Jibu lake ndio jibu la hoja yako.
Kuwa hawawezi kuingia kijeshi kwa sababu Urusi katoa onyo na anasubiri nchi hata moja TU ya NATO irushe risasi moja kwa moja kutoka kwenye ardhi yake hiyo nchi ya NATO kwenda kupiga jeshi la Urusi.
Kuwait, Syria , Libya na Yugoslavia wametokea wapi hapa!? Naona unajaribu kuleta mkorogo tu usio na maana yoyote.Mkuu Proved heshima kwako.

Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.
Hiiii baghosha!!Marekani yashangazwa na sarafu ya Ruble kupanda thamani zadi dhidi ya dola (USD) na kufikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa ndani ya miaka 4 iliyopita (1 USD = 57 Ruble)
View attachment 2237427
View attachment 2237496
Hii nzuri sana.Chakuongezea tu hapo NATO haina jeshi lake la kudumu ambalo lipo tayari muda wowote kwajili ya Vita, hivyobasi ikitokea wakaingia vitani na urusi itawabidi wapate muda wa kufanya army mobilization kwanza kwa kila mwanachama kutoa wapiganaji na vifaa vita kwa hiari yake.
So hapa wanaona wakitangaza vita na urusi kuna hatari ya muungano huo kugawanyika, wapo watakaokuwa tayari kutoa majeshi yao kwajili ya NATO pia wapo ambao hawatakuwa tayari ili kuepuka madubwasha ya urusi kutua ardhini mwao.
Kuna nchi nyingi sana humo NATO zimo kama Chawa tu na zimeenda kuongeza idadi ya namba tu, nchi kama Estonia, Latvia, Lithuania, montenegro na Luxembourg idadi ya raia wake wote haifikii hata idadi ya wakazi wa Jiji la DSM, kwahiyo nchi kama hizo zikitunisha vifua mbele ya Mrusi zinaweza kufutwa kwenye uso wa dunia kwa Surmat missiles 3 tu.
Hao kina USA, UK, German, Turkey, French, spain na nk hofu yao nikufutwa katika uso wa dunia kwa nukes bombs au kurudi kiuchumi miaka 50 nyuma na ndo maana tunaona wanaishia kutokotota tu wakiwa kwao.
URUSI KWENYE NYANJA YA KIJESHI NI NEXT LEVEL
Kwa lugha yetu ya kigiriki tunasema;
Russia(1unit) > NATO(30units)
Hakuna tena zile story za majeshi ya Uktaine kuyashinda majeshi ya Russia. Naona ni vita ya upande mmoja tu sasa. Pamoja na kupokea misululu ya misaada ya fedha na silaha, Ukraine wameanza kukubali hali ni ngumu. Hata propaganda za West kimyaaaaaa
Umeona ramani ya Ukraine au rusia imebadishwa
Putin anajipa moyo tu.Iddi amin alijaribu mtukula kagera aliipata