Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahahah kwahio hata jamaa akilivurumisha dude kuelekea US anatega zake Jammer tu hamna missile wala ndege wala drone itaiona Moscow kweye ramani jammer ikiwa ON🤣!!!

Putin my Nigger baddd!!!
 
Ukraine kuna regime ya kingese sana, Pro-Russia kuna mda pia tusisahau kuwaonea huruma Raia hawa wa kawaida wa Ukraine. Wanaumizwa sana na hawa viongozi wao, nipo huku telegram kwenye moja ya Channel zao.

Kumbe Humanitarian Aid hasa vyakula kutoka EU vinaingizwa kwenye Masuper market wanauziwa. Kuna uhaba wa mafuta, kuna uhaba wa nishati, Winter hiyo hapo mbele inakaribia. Wanasema uharibifu ni mkubwa, wanajeshi wanaokufa ni wengi ila mamlaka zao zinaficha ukweli ili kupandisha morali ya wanajeshi na jamii kwa ujumla.

Wanasema imetangazwa Martial Law but Vigogo wote wameondoka nchini hapo, wengi wapo Dubai, UK na Paris, also Spain wao na familia zao. Wanaopelekwa frontline hawana ujuzi wowote wa matumizi ya vifaa moto, vifaa vya kivita na ofcourse ni watoto ama Vijana wa Maskini/Familia duni hupigana kwa interest za Matajiri.

Kibaya ni kua most losses by Ukraine haziingizwi kwenye kumbukumbu hivyo vijana wanaouwawa huko vitani familia zao hazitopata fidia na huenda wakachukuliwa as if walikufa kwa Covid sio Vitani.

Its too sad indeed, Story ni ndefu siwezi kopi kila text ya mtu hapa.

Na yasemekana Command zote za Frontline zinatolewa nje ya nchi, (Kutoka Western) SBU wapo kama pazia tu. Hii inatoa tafsiri ya kwanini mambo yapo hivi. Kwanini nasema hivi? Yes, Western don't care about Ukrainian. They determined to fight Russia to the last Man standing.
 
Hahahahah sasa si bora uje kwangu tu mama🤣 jamaa hata mke na watoto kashawatorosha siku mingi analala kibudu tu
Makunyazi yangu yatakutia kichefuchefu tu ndio maana nataka wazee wenzangu tunalishana tu.
 
Sibora wapigane wafe kiume .Mijanaume ya Tz mioga sana .Sasa ulitaka wakubali kutawaliwa na Putin ni kama wewe leo ukubali Kenya au Uganda wakutawale si bora ufe unapigana kuliko kutawaliwa.Yaani sijui kwa nini tunazaa mijitu kama wewe pumba kabisa
 
Update 2 hrs ago:

Ukraine will fight until it recovers all its territory, says Volodymyr Zelensky​

Pamoja na misaada mingi Ukraine iliyopewa ila hamna kitu kipya wanafanya Russia bado wanasonga mbele. Toka tumeanza kusikia misaada ya javelin na manpads mpaka leo misaada inaendelea na Ukraine bado imezidiwa.

Angalia misaada ya fedha na silaha za billion $$$ ambazo zimemwagwa hapo ukraine, Russia hapokei misaada popote alafu angalia progress ya vita nani kalemewa.

Unakumbuka wakati vita vinaanza western media zilisema uchumi wa Russia hauwezi kuhimili vita vya muda mrefu? Vipi sasa unaonaje?
 
Sijui hata kama unajua vzuri urusi na USA, historical background ya hizi nchi mbili,lakini pia vita ambavyo hizi two blocks (NATO &Russia) ungeelewa vzuri usingeandika ulichoandika, ushauri wangu soma Sana historia ya USA and Russia that's why wenye uwelewa wanasema vita ya USA & Russia hawezi kuwa na mshindi
 
Naunga mkono hoja
 
Kwa huo upinzani na hasara anazopata hapo Ukraine, hizo nguvu za kuanzisha Vita nyingine atazipata wapi ?
 
Hapa sanction ambayo marekani ataitoa ni ile ya mifumo ya malipo. Maana inamtoa kwenye ramani ya petrodolar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…