Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Naunga mkono hoja 100%Mkuu T14 Armata nilikuwa nakuheshimu na naendelea kukuheshimu ila kwa msaada wa elimu unaotupa jukwaani, lakini tangia kuanza mgogoro wa Russia na Ukrain umekuwa shallow na sio kwa udhaifu wahoja zako lakini pia mahaba kwa team Pro NATO.
Kiufupi mdau alimaanisha wataalamu wa umoja wa mataoifa wanaotumika kuchunguza silaha hatari ndio huvujisha taarifa ya silaha hizo kwa mataifa mengine.
Nakiri mmimi ni pro Russia ingawa si mchangiaji ila natambua na nakupokea kama mwalimu wangu.
Ulimuondoa kwenye kundi shabiki la madikteta?kama ni hivyo huko aliko ana furaha sana!Toka ulipofurahia kifo Cha Magufuli nilikuweka kwenye kundi tofauti kabisa la binadamu
MKUU ngoja uje kutolewa akiliInawezekana hufahamu vizuri hii issue.
USA alitumia taasisi ya UN ya nguvu za atomic Duniani chini ya Mkuu wa taasisi hiyo bwana Mohamed El Baradei kupitia kamati ya uchunguzi wa WMD kwa Iraq.
USA ilipenyeza majasusi wake kujua uwezo na udhaifu wa Iraq kijeshi na ndio ikapata urahisi wa kuivamia Iraq.
Viongozi wa kamati hiyo kwa nyakati mbili tofauti walikua ni Bwana Joseph Butler na mwingine Bwana Hans Blix .
Mmoja wao baadae alikuja kukiri kutumiwa na USA kuipeleleza Iraq kwa manufaa ya USA .
Jana tumeua jenerali wa kirusi vipi hapoNgano,bandari,majimbo,Mateka,drone kuyayuka usitukumbushe huko acha tujifariji na vifaru!
Aende kuzimu
Utapingwa MKUUKwani hujui kua baada ya vita vya Iran na Iraq kuisha, Iraq ya Sadam huseini ilkua na mahusiano makubwa sana na Urusi pia?
na ikawa na mahusiano mabaya ya USA .?
Unafikiri ni Nini kilifanya Waka chukizana?
Unafahamu baada ya vita vya Iraq na Iran,Iraq ilinunua silaha nyingi sana kutoka Urusi na hata baadhi ya miundombinu ilojengwa na Warusi?
Unafahu Urusi ilikua na wataalamu wa kijeshi na teknolojia wakiijenga Iraq?
Unafahamu Iraq ilipewa kibali na Urusi kubadilisha kombora la Urusi aina ya Scud B na kulimodifai na kuanza kuzalisha kombora hilo?
Na unafahamu wakati wa vita Desert Storm Iraq alitumia kombora la Scud kupiga Kambi ya jeshi la USA iliyokua Saud Arabia na kombora linguine ndani ya Telaviv Israel?
Kwa hiyo nataka kusema Iraq ilikua na silaha ambazo USA hakua na uhakika nazo ilibidi atumie Timu ya UN kutoka taasisi ya Atomic Duniani kuichunguza Iraq.
Baada ya USA kupata mteremko huo Ikataka UN itume Tena timu yake kwenda kuchunguza kwa Norty Korea.
Lakini NOKO ikashitukia mchezo ikakataa.
Hii ni habari kamili sio mawazo yangu.
babu na mjukuu
dyzle
Hata russia ana washirika ila ndio hivyo tena madikteta ni wasiri sana.Kama kuna nchi za kidikteta unazijua basi Putin ni mshirika wao wala haihitaji fikra nyingi kujua.Kwa ushahidi upi?, Nitajie Vita aliyopigana marekani akiwa pekee yake bila ya washirika na akashinda
Ile yake admiral kuznetsov inatosha moshi kama inaendeshwa na jiko la kuni 😂😂😂Ukitaka kujua zaidi pita hapa ujue mengi kuhusu mtu kuitwa Military Super Power....
Mrusi ana Aircraft carrier 1 tu wakati US anazo 11. Bei ya Carrier moja ni USD 13 Billion. afu eti Mrusi ni Super Power !!
Vita dogo tu hii inaendelea kumtoa kamasi.
View attachment 2238180
Us ndo anaongoza kutoa misaada ukrine kwa sasaNATO hawapo pamoja wanaona ni ishu binafsi ya US . Mfano wengine wanaahidi misaada na hawatoi kwa wakati. US kama ni mbabe kiuchumi atoe misaada mwenyewe
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Elensky imekula kwake[emoji23][emoji16][emoji23]Hata mimi nisingepeleka.
Nchi imetumia mapesa mengi kutengeneza hizo MANIPAD halafu zikapigwe na Russia. Hapo hapo stock yetu ni ndogo. Huyo Ukraine hana analolijua ktk ku operate MANIPADS zikipigwa soko sina.
Kama nchi nitalazimika kutafuta siraha nyingine kwa haraka...hapo ni kutenga bajeti ambayo haikuwepo kwa ajili ya RD jeshini au niende kununua kwa Russia...oops no USA ambaye naye hatumi siraha zake direct kwa kuogopa kushushwa soko na Mrusi.
So unapostpone to July, then to October unasema bado federation inapitia mchakato...then unasema tutatuma kabla ya Xmass then imeiiisha hiyo
Hii op badobado kwani mpaka msimu Wa Baridi upite kwanza alafu ndio ifanyike tathimini nani karudishwa miaka 10 nyuma,pia na $$ tuisahau kwenye hela za dunia hapo op itakua imekwisha kabisaOP ingeshakwisha kitambo
[emoji845]MULTIPOLARITY IN THE MAKING[emoji845][emoji116][emoji116][emoji116]
Africa enjoys growing authority on the world stage and plays an increasingly important role in addressing issues on the international agenda - Lavrov
Russia will continue to fulfill its obligations regarding the export of food, fertilizers and other goods to Africa — Lavrov
MORE FOOD FOR AFRICA[emoji110][emoji110]
Kipondo ni kikali sanaBBC News
Skip to content
Sections
Meanwhile, Luhansk Governor Serhiy Gaidai accused Moscow of adopting a "scorched-earth approach" in its efforts to capture the city of Severodonetsk.
"Every day they are trying to break the line of defence," Mr Gaidai said. "They are simply systematically destroying the city. Everywhere is being shelled constantly."
A map showing the location of Severodonetsk
The city of 100,000 people sits on a strategic position on the Donets River, with UK defence officials saying it has likely become one of Russia's "immediate tactical priorities".
Mr Gaidai warned that Russian forces have destroyed all but one bridge across the Donets river and said that the city is at risk of being cut off.
He also accused Russian tanks of firing on residential buildings during fighting in the city and of seeking to erase Severodonetsk "from the face of the earth".
Ukraine's human right's ombudsman, Lyudmyla Denisova, said the city risks suffering the same fate as Mariupol - being surrounded and pounded into submission.
"The enemy threw all his forces to storm Severodonetsk, on the outskirts of which there are constant battles," Ms Denisova wrote on Telegram.
2px presentational grey line
Analysis: Russian war effort shifts to Severodonetsk
by Jeremy Bowen in Donbas
We visited the Ukrainian front line yesterday and the main thrust of the Russian activities at the moment is at Severodonetsk. Kyiv's soldiers have told us it is largely surrounded and they are undoubtedly under pressure.
They've taken serious casualties and a Ukrainian military source said one unit that went into combat with 240 men returned with just 135 - the others killed, wounded or taken prisoner.
The Russians have taken some territory - villages and little towns - but it's a very heavily defended area. They've been fighting around there since 2014 and there are concrete Ukrainian positions that are hard to overcome.
A couple of days ago in Moscow, the ministry of defence said they would take the whole of the Luhansk region.
If Vladimir Putin can seize the whole of Luhansk and then do something similar in Donetsk, he could then say to Russians: "This is a victory guys."
It would be nothing like the victory he sought when all this started in February, but one he could declare anyway. The Ukrainian authorities are very anxious that doesn't happen.
2px presentational grey line
Elsewhere, at least seven civilians were killed and eight others were wounded in Sunday's bombardment of the Donetsk region, according to the Ukrainian army's Facebook page.
Shelling and missile strikes have targeted Kharkiv in the north, as well as Mykolaiv and Zaporizhzhia in the south, officials said.
The UK's Ministry of Defence has said that Russia has likely suffered a similar number of casualties in Ukraine as it did during the entirety of the Soviet war in Afghanistan.
It said "a combination of poor low-level tactics, limited air cover, a lack of flexibility, and a command approach which is prepared to reinforce failure and repeat mistakes officials" had contributed to the high figures.
It is unclear exactly how many casualties Russia has suffered in its invasion.
Moscow, which says it launched a "special operation" to demilitarise its neighbour, has not updated its official figures since March, when defence officials said some 1,351 troops had been killed.
Meanwhile, the United Nations has said the global number of forcibly displaced people has risen above 100 million for the first time.
Officials said Russia's invasion of Ukraine has contributed to the grim milestone. More than 14 million people are thought to have fled their homes since the war began on 24 February.
The UN's High Commissioner for Refugees, Filippo Grandi, said the announcement should serve as a wake up call for world leaders.
"The international response to people fleeing war in Ukraine has been overwhelmingly positive," Mr Grandi said. "But ultimately humanitarian aid is a palliative, not a cure.
"To reverse this trend the only answer is peace and stability so that innocent people are not forced to gamble between acute danger at home or precarious flight or exile."
line
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app