ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Tupo KarkivUko donbass sehemu gani?
Tumekuelewa we mwenye dini ya upinde wa mvuaMadogo wa dini ya mnyazi mungu mkiwa huko mnapeana sumu juu ya US wakati serikali yenu inapokea misaada ya kutosha.
Mtaumia bure tu kuchukia US wale wameshashika njia za uchumi.
atakua ni MgiriamaNimekuuliza swali wewe ni mkenya wa Nakuru au Turkana!?
Eeeeeeehh unajisikiliza kinachotoka kwenye medulla oblongata yako umezungumza maji na mafta taaMnakosea kulinganisha misaada ya US, na uwezo wa russia kutoa misaada, russia hana uwezo huo maana kiuchumi kazidiwa mara 1000, angalau hata mchina tunaona amewekeza sana hasa sector ya miundombinu
Sawa muandishi wa kujitegemeaTupo Karkiv
Aibu ni sisi kushindwa kujenga hivyo vyoo au sisi kujengewa bure ?Nasomaga huu uzi sijawahi kujibu lakini huyo mpuuzi amenifanya niandike hapa.. Bila aibu anashangilia vyoo, mtu wa ajabu kabisa huyu
Hata mimi nakubaliana na wewe. Anaebisha atuambie mbona kaweza kuwafanya wote wanaomshabikia kuwa wapenzi wa mapenzi ya jinsia moja. Urusi anapinga lakini kashindwa kumzuia kuwageuza mashogaNawakumbusha tu Pro russia kuwa yale makombora yali hit target zote zilizopangwa na USA na story zilizoelezeka ni kuwa Assad na famili yake wote walihamishiwa kwenye base za Russia . narudia tena USA akihamua jambo lake hakuna binadamu anayeweza kulizuia
Miaka kama 12 hivi iliyopita enzi hizo na mie nazinduka usingizini kuona tunavochezewa. Niliiingiwa na shauku sana ya kua mwana harakati kuamsha wengine waliolala ila kila ukiwatizama unaotaka kuwapigania sasa [emoji23]...Nasomaga huu uzi sijawahi kujibu lakini huyo mpuuzi amenifanya niandike hapa.. Bila aibu anashangilia vyoo, mtu wa ajabu kabisa huyu
Bora uyo anaekupa wakati wa dhiki, mrusi hakupi kitu. Scholarship za Lumumba ndio wanaongelea ila ni chuo cha waafrica wanao fundishwa kunywa vodkaAibu ni sisi kushindwa kujenga hivyo vyoo au sisi kujengewa bure ?
Company ni platoon 3 ama 4 . Platoon ni section 4 ama 5Another #Ukrainian group, this time the 2nd company of the 46th separate rifle battalion, complains about the lack of weapons - supplies, inadequate bosses, etc.
The guys went to #Zaparozhye, but in the end they ended up plugging the front near #Popasna.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Huwa unazunguka mara kwa mara mtaani kuwaangalia hawa watoto zao la Covid kweli? Ha ha ha bora hawa wakina fuso hicho kizazi kijacho ni size ya bajaji ama bodaboda ukizidisha lazima upate ajali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa iyo tusubiri vitukuu vyetu vinaweza kututoa kimasomaso au ndio basiii
1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora uyo anaekupa wakati wa dhiki, mrusi hakupi kitu. Scholarship za Lumumba ndio wanaongelea ila ni chuo cha waafrica wanao fundishwa kunywa vodka
Huo ni Mtazamo wako hakuna atakae kubadilisha.story yako aiondoi shaka kuwa Russia bado sana kwenye ground force
Nakushukuru Mkuu,kitu ninachokijua kwa uhakika hua Siachi mtu awapotoshe wasiojua.Your name is Lee Van Cliff [emoji18]
Ujue nasoma hii post as if nakusikia unaongea sio maandishi tena [emoji23]... endelea kuwatia spana watoto wazuri hawa.
Origachi mmoja wa kirusi aishie UK, aliiambia UK baada ya kushikilia mali zake kuwa "ni ujinga pekee kufikiri kuwa maorigachi wa kirusi wanaweza kuzuia mikakati ya serikali ya Russia anaefikiria hivo atakuwa haijui vizuri Russia na namna inavyoendeshwa"Putin sio Urusi baba,
Putin atakuja kufa lkn Urusi Itabaki palepale.
Kulikua na wababe Urusi Putin ni Cha mtoto.
Kilichopo Urusi ni kuwa hawataki upumbavu.
Kulikua Kuna Marais wa Urusi hawasemi mara mbili.
Kama wangekuwepo Leo hii Ukraine Ingekua Jimbo la Urusi.
Nakupa simulizi moja ndogo TU ya unyama wa hao Marais wa Urusi waliopita.
*Magaidi wa kiarabu waliwateka maafisa wa Ubalozi wa Urusi huko moja ya nchi za arabuni.
Magaidi wakaanza kutoa masharti na madai Yao yasikilizwe la sivyo watawaua mateka.
Majasusi wa KGB wakafanya ujasusi wao, wakawajua watekaji wote.
Baada ya kuwajua magaidi nao KGB wakaenda kuwakamata au kuwateka ndugu wa magaidi hao.
Kisha wakawaambia watekaji kuwa,ndugu zenu tunao hapa,tunataka muwaachie hao Russian mliowateka,msipo waachia tutawaua ndugu zenu.
Kumbuka katika hao ndugu wa magaidi kulikua Kuna baba,kaka wadogo na ndugu wengine.
Magaidi wakazikaza shingo zao,wakakataa kuwaacha mateka.
KGB wakaanza kazi,wakaua ndugu mmoja, magaidi walipojifanya jeuri KGB wakaua ndugu mwingine.
Magaidi wakao Ohooo! haya majamaa hayatanii haya,wakawaachia mateka wote bila kuua hata mmoja.
Chezea KGB wewe?.
Usipoelewa ntakupa kisa kingine jinsi Marais wa zamani wa Urusi walikua vichwa ngumu Putin Mtakatifu.
Mgogoro wa makombora ya Urusi nchini Cuba.
Wanajeshi wa Urusi waliokuwepo Cuba na zana za nyukilia walipewa Ruhusa kabisa na Serikali ya Urusi kuweza kuyatumia makombora hayo ya nyukilia kama wataona Kuna hatari yoyote dhidi Yao na kisiwa Cha Cuba,bila kusubiri amri kutoka Kwa wakubwa zao mjini Moscow nchini Urusi.
"Hii ni Hali ya hatari sana"
Marekani kwa kujaribu kupeleleza kuhusu silaha hizo za nyukilia za Urusi ilituma mara mbili kwa nyakati tofauti ndege za upelelezi kama sijakosea ni U2.
Amini nakuambia wanajeshi wa Urusi waliokua Cuba walizipiga ndege hizo na kupoteza marubani kabisa.
Hakuna kitu USA walifanya,waliishia kupiga kimya TU na baadae kuomba mazungumzo yafanyike juu ya mgogoro huo.
Mgogoro ulikua mkali sana,ilibaki kidogo tu new York na Washington zipigwe kwa makombora ya nyukilia.
Unajua matokeo yake?
Matokeo yake ni USA ilikubali kutoa silaha zake za nyukilia Uturuki ndio Urusi nae akatoa silaha zake za nyuklia cuba.
Akifa Putin Leo, watakuja Marais watata sana Urusi, Putin Mtakatifu.
wapo watu tanzania hii bado wanajisaidia porini na kampeni ya kuwajengea vyoo ili wasinye porini ipoHalafu mkoa gani huo watu wanajengewa choo? Wako OK vichwani ? Yawezekana msaada ni kuwapeleka Mirembe sio kujengewa vyoo. Wanashindwa kutumia majembe kuchimba shimo miti na udongo kupata choo.
Unless choo unachotaka ni cha maji ambacho hata ukiingia leo suburb za Washington District of Colombia ni bado issue hasa kwa wale waishio kwa kadi .
Hivyo misaada inapumbaza haina mwendelezo.
Halafu hizo scholarship ambazo ujazaji wa gender ni option zaidi ya 5 na [emoji304] ni added advantage hapana aisee.
Kuivamia Ukraine ndio kuwaonyesha njia?Kuna ukoloni mambo leo na sababu n sisi sisi kutokujikubali kama tunaweza tena mara million zaidi ila kuna karibia kukucha Russia anatuonyesha njia.