Angekuwa yule msalimia vivuli angehutubia masaa mawiliHii ndo unasikiaga kauli ya kiume sasa, fupi ila nzitooo..
" ITS NOT THE TIME" PUTIN
Halafu anakata simu anaendelea na mambo yake.
Zelensky kama anauza nchi hiviView attachment 2240210
State Duma Vice Speaker Pyotr Tolstoy: Historically, it seems to me that both Ukraine and Ukrainians will return home, to Russia, to Great Russia. And accordingly, both Little Russia and New Russia will join us together with Belarus. Here is such a program.
TajaMkuu umezaliwa lini Kama hujui mchango wa Russia katika ukombozi wa kusini mwa jangwa la sahara⁉️ I see siwezi tena kubishana nawe.
Niweke kwenye msafara siku ikifika chief.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikir walilala wakadamka teari mambo yamekwiva? Happana kila jambo zuri linahitaji kusanifiwa kwa umakini na ustadi wa hali ya juu... Kila safari ina changamoto zake usipojiandaa kwazo basi ni sawa na kusema kua hujajiandaa kwa safari hiyo.
Nina mengi kifuani kuyasema yote si hekima. Ila ipo siku nitawatafuta baadhi kama nyie na wazee wenzangu sio tu kwasababu ni Pro-Russia happana, Bali ability to understand.
Tuone kama tunaweza safirisha baadhi ya abiria kwa mashua nje ya Siasa na mwelekeo wa Madaraka cuz naamini ku-make changes ni utayari na hali (passion) sio lazima uwe politician au kiongozi. NJIA ZIPO NYINGI.
mrusi anatumia soviet made za zaman ukraine inatumia silaha za kisasa kabisa ambazo ndo silaha tegemez kwa nato na bado kichapo anapewa kubalin test silaha zao ni weak tu hazina faid ndo maana walikula kona pale afghastanMisaada tumeiongelea kama refference tu baada ya nyinyi kujifanya amuhutambui umuhimu wa west japo kwa 10% kwenye nchi yenu,kuhusu ushindi mnaoupata tayari walishacalculate na wakajua kitakuja kutokea iki kinachoendelea subiri waanze kupewa nao silaha kama mnazotumia nyinyi, adi apa alipofikia ukraine anastahili pongezi yani kupigana vita na visilaha vya kuokoteza kwenye full scale war..Slava ukraini..
Naona kitendo cha urusi kuwaacha hai Askari waliosalimu amri naona kinaanza kuleta matunda wengi wakiona hawana msaada kutoka Kwa wakubwa zao wanasalimu amri, maana Wana uhakika wa kuishi na kuhudumiwa, na urusi atakuja kuwaachia huru hawa baadae Hali ikiwa shwariView attachment 2239767
‼️ANOTHER UNIT REFUSE TO BE CANON FODDER‼️
Another unit of Ukraine that is not ready to perform its tasks, the commanders threw them, there was no training, there is no comprehensive provision, weapons and ammunition as such
Lini, wapi umeibiwa dhahabu za trillion badala yake ukapewa vyandarua? Toa reference. Ni rahisi kusema maneno yanayo sound nice masikioni lakini kumbe hayana ukweli wowote.Tukiwaambia nyie proNATO ni miyeyusho mnasema tumewatukana.
Uchumi wa US ni 20T usd
Uchumi wa urusi ni 1.5T usd
Kwa jinsi ulivyosoma wewe mahesabu darasa la tatu b ndio ulifundishwa 1.5 x 1000 unapata 20 sio!?
Acheni kupenda misaada. No freelunch in the world. Unaibiwa dhahabu za trillion unapewa chandarua cha laki bure ndio nini sasa
HAYA NDIO MAZUZU ALIYOSEMA NYERERE,pro Russia niwakumbushe kuwa adi ndugu zetu uko kinijini wanaokunya porini wametengenezewa vyoo kwa msaada wa USAID
nimetaja Russia? Unajua kusoma kweli wewe?Kwa ufinyu wa uwezo wako wa kufikiri unadhani kila anayeiunga mkono Russia yuko upande flani wa dini, kama hujui wapo wamarekani wenyewe wenye nchi yao ambao wanaunga mkono Russia alichofanya acha nyie wamarekani wa mitandaoni
Tanks za mamilion ya dolar vinakuja kuunguzwa na vijeverin vya lakiCountries by number of tanks
- Russia 12270
- USA 6612
- North Korea 6000
- China 5750
- India 4614
- Syria 4156
- Egypt 3044
- Turkey 3017
- Iran 2842
- Pakistan 2735
View attachment 2240275