Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Leo nilipomsikiliza waziri wakilimo wa RUSSIA ndio nimeelewa why jamaa wakadeal sana na DON BASS na nikajua why jamaa wamedeal na huo ukanda walodeal naoWatu wanapiga kelele huku kila siku wakila maandazi ya ngano ya Urusi.
View attachment 2240196
Russia remains the number one wheat exporter in the world.
This was stated by Russian President Vladimir Putin.
“We have become absolutely competitive at the global level, in world markets. Russia remains, if we talk about the agricultural sector, the largest exporter of wheat in the world, number one,” the president said at a meeting of the Eurasian Economic Forum.
Kwahii kauli nachelea kusema nisuala la muda tuu kabla UKRAINE yotr haijarejeshwa kwa URUSIView attachment 2240210
State Duma Vice Speaker Pyotr Tolstoy: Historically, it seems to me that both Ukraine and Ukrainians will return home, to Russia, to Great Russia. And accordingly, both Little Russia and New Russia will join us together with Belarus. Here is such a program.
Poleni sana MKUUBREAKING: The US government is set to approve sending Ukraine long-range missile systems that were requested by officials in Kyiv
Msichukue hii vita ni ya muda mrefu
Jamhuri ya kidemokradia KONGO gari la askari wakulinda amani waumoja wamataifa MONUSCO kama sijakosea jina laoLini, wapi umeibiwa dhahabu za trillion badala yake ukapewa vyandarua? Toa reference. Ni rahisi kusema maneno yanayo sound nice masikioni lakini kumbe hayana ukweli wowote.
Kama msaada hamtaki si muache kuchukua? Kisebusebu na kihoro papo. Assuming unachosema ni kweli, matendo ya mtu/kikundi cha watu binafsi huwezi ku-institutionalize. Ni sawasawa na ustaadh aliyewalawiti watoto juzi juzi useme ndio tabia za ma ustaadh. Ni uovu wake binafsi.Jamhuri ya kidemokradia KONGO gari la askari wakulinda amani waumoja wamataifa MONUSCO kama sijakosea jina lao
Gari lilipinduka badala yakuanguka silaha zikaanguka dhahabu na madini mengineyo chungu nzima
Endeleeni kushangilia mamisaada ila wanaowaelewa hao waizi tuliishatoka huko MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
@proved watu wanaposema kwamba US inapoteza ushawishi hua wanamaana kama hizi hapa MKUUDUNIA INABADILIKA KWA KASI SANA
[emoji635][emoji1210][emoji1033] Saudi Arabia and Argentina have expressed interest in joining the BRICS group (Brazil, Russia, India, China, and South Africa), Russian Foreign Minister Sergey Lavrov says.
Pro Russia nyie acheni kuota ndoto za mchana yani saudi arabia aachane na USA ,usalama wa utawala wa familia na ukoo wote wa saudi arabia USA ndio anaoulinda ili usitolewe..trust me narudia maneno ya trump endapo marekani ikiacha kuhulinda utawala wao atamwezi auchukui unaangushwa@proved watu wanaposema kwamba US inapoteza ushawishi hua wanamaana kama hizi hapa MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Source Russian foreign minister🙂 Haya tuone kama Saudi Arabia na Argentina watajiunga na hiyo BRICS.@proved watu wanaposema kwamba US inapoteza ushawishi hua wanamaana kama hizi hapa MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Pro russia wengi hawana akili na short minded.Nikajua unakuja na refference ya kueleweka kumbe unatuletea ya kina mluma serious? watu waliosema kila mtanzania atapata Noah na chai ya maziwa na mkate ile ilikuwa ni professional rubbish according to wataalamu wenyewe awa si ndio walitaka kutuingiza kwenye guiness book ya maajabu kwa kudai faini ya Tirioni 400 mara 2 ya bajeti yote ya ulinzi wa marekani ile ripoti ilikuwa ya kubumba
Hahaa wajamaa wanajifariji na ndoto za mchana.Source Russian foreign minister🙂 Haya tuone kama Saudi Arabia na Argentina watajiunga na hiyo BRICS.
Kumbe hata RUSSIA hataki hii OP imalizike haraka[emoji298]️ Kremlin on Zelensky's statement about readiness to resume talks: 'This contradicts with fact that negotiations were frozen by Kiev'
Negotiations with Ukraine have been "on a low profile" for some time, but this format has not yet been terminated, Slutsky, a member of the Russian negotiating delegation, said.
He added that denazification in Ukraine is a process that cannot be reversed.
Kama bado atakuepo madarakani sidhanii kwakweli !!!!!ZELENSKY UCHUMI WAKE, ARDHI YAKE, WATU WAKE NA MIUNDOMBINU YAKE NDIO INAYO CHAKAZWA, MWISHO WA SIKU ATAHITAJIKA KYIJENGA UPYA NCHI YAKE
Bwana twawashobokea kweliWashenzi sanaaaa
Na ni wabaguzi sanaaaa sanaaaa.
Yaani kiufupi hawana shobo na sisi kama sisi tunavyowatukuza.
Huyo nadhani hajui kuwa wazungu n binadamu kama yy alivyo.Embu acha ukilaza wako hapa JF bajeti ya ulinzi wa marekani ni $800billion change to Tshs unapata kiasi gani??. Embu kawadanganye rainbow wenzako huko
Kwamba tusiuseme ukweli!!?Kama msaada hamtaki si muache kuchukua? Kisebusebu na kihoro papo. Assuming unachosema ni kweli, matendo ya mtu/kikundi cha watu binafsi huwezi ku-institutionalize. Ni sawasawa na ustaadh aliyewalawiti watoto juzi juzi useme ndio tabia za ma ustaadh. Ni uovu wake binafsi.
RUSSIA ipo itawalindaPro Russia nyie acheni kuota ndoto za mchana yani saudi arabia aachane na USA ,usalama wa utawala wa familia na ukoo wote wa saudi arabia USA ndio anaoulinda ili usitolewe..trust me narudia maneno ya trump endapo marekani ikiacha kuhulinda utawala wao atamwezi auchukui unaangushwa
Wapiwamesema watajiunga MKUU!!?Source Russian foreign minister🙂 Haya tuone kama Saudi Arabia na Argentina watajiunga na hiyo BRICS.
Russia ukiondoa yale machuma chuma yao yenye kutu wanayoyamiliki ni kama msumbiji tu
Hao akina Mruma na Kabudi unaowaita Rubbish wamesoma huko kwa ProNato wenzako ujue 🤣🤣kwa kipi sasa apo anatuletea ripoti za kina kabudi na prof Mruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787] serious na wewe ulivyo empty eti umeona kaandika cha mahana[emoji16][emoji16]