Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yote hayo yalishajibiwa sina muda wa kurudiarudia yaliyozungumza da mwaju.
 
Waarabu pia. Na warusi mbona ni wazungu? Wazungu ni Caucasian wote.
 
#Update 5/27/22
Another appeal from the 46th battalion of the Armed Forces of #Ukraine, this time the 3rd platoon. Everything is as usual - they were thrown to the front line without normal weapons and supplies. They retreated from their positions under massive fire and will now be recorded as deserters.
#ukrainewar

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbegu kama ilivyo mbegu za mahindi ila hawa wanavuna heka gunia kumi wanasafirisha mbegu gunia saba.
Tumelaaaniwa sio bure.
😂😂😂😂😂😂
Ukiwa wazungumza na huyo mtoto, unakikumbuka nilichokua nakisema jana? 😎😎😎

Uwe na kikosi cha namna hiyo unaanzaje kutoboa sasa? Mindset ambayo kama ni kuku basi Broiler, ukltoa kwenye banda limekufa 😂
 
Russia ukiondoa yale machuma chuma yao yenye kutu wanayoyamiliki ni kama msumbiji tu

Oya wee pro Russia mwenzangu, acha ukuda wa kuongeza "h" mahali isipostahili.
"Asipoacha " wewe unaandika "hasipoacha"
"Asipoilinda" wewe unaandika "hasipoilinda" au "Asipohilinda"

Acha uandishi wa kishoga shoga mwanaume mzima
 
Oya wee pro Russia mwenzangu, acha ukuda wa kuongeza "h" mahali isipostahili.
"Asipoacha " wewe unaandika "hasipoacha"
"Asipoilinda" wewe unaandika "hasipoilinda" au "Asipohilinda"

Acha uandishi wa kishoga shoga mwanaume mzima
Au hana alama kwenye mkono wake wa kulia began.
 
Majeshi ya Russia yamekamata kituo cha kurushia matangazo na mawasiliano (Radio, TV, na simu za mkononi) cha jeshi la Ukraine kwenye jiji la Svetlodarsk. Majeshi hayo yamesimika bendera ya Russia kwenye kituo hicho na kisha kukata matangazo ya radio, TV na mawasiliano ya simu Ukraine yaliyokuwa yakifanyika kupitia kituo hicho.

 
🇷🇺🇳🇬Russia Ministry of Defense published photos as evidence of existence of bio-laboratories in Nigerira(they have released more material we hope to have time to translate it for you),related to monkey smallpox spreading,currently there are 4 🇺🇸biolabs in 🇳🇬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…