Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na jinai yote hii 👆 hawa wahafidhina bado wanaiunga mkono Urusi lee van cliff Jesus Mlokozi 1954 ngaboru wa kupuliza Sikirimimimasikini mohamedidrisa789 Yericko Nyerere na wengineo...oneni aibu.
Mkuu unateseka nini?!

Hata kama ni kweli hiyo ni jinai ya Russia, kwani Ukraine imefanya jinai ngapi dhidi ya raia wake kwenye maeneo ya Luhansk, Donetsk n.k.?

Marekani na NATO vipi hawana jinai zozote ktk kuua watu wasio na hatia huko Iraq, Libya, Syria n.k.?!

Vp bomu la nyuklia lililopigwa na Marekani huko Hiroshima na Nagasaki na kusababisha maafa makubwa kwa binadamu hiyo sio jinai!

Siku nyingi usini-tag katika mambo ya kipumbavu yasiyo na mashiko
 
Hata kama ni kweli hiyo ni jinai ya Russia, kwani Ukraine imefanya jinai ngapi dhidi ya raia wake kwenye maeneo ya Luhansk, Donetsk n.k.?

Marekani na NATO vipi hawana jinai
Kwa hiyo ni jukumu la Urusi kuihukumu Ukraine ?

Marekani na NATO vipi hawana jinai zozote?!
Kwa hiyo jinai zao zinahalalisha jinai za Urusi ?

bomu la nyuklia lililopigwa na Marekani huko Hiroshima na Nagasaki na kusababisha maafa makubwa kwa binadamu hiyo sio jinai!
Ile ilikuwa mara ya kwanza hilo bomu kutumika hivyo hakuna aliyejua madhara yake
 
Jinai gani hapo?! Vipi mauaji ya USA huko Libya, Syria, Iraq, Vietnam, Serbia na kwingineko kwingineko?! Watoto wengi wanakufa huko Kongo na nchi nyingi kutokana na uovu wa West..
Mali mfano hai. Au Francfone financial system inayolazimisha pesa yote ikae Pariii.
Congo na cobalt na madini ya kutengenezea chip ambayo Telaviv ana monopoly.
Eruption ya magonjwa ya ajabu na behind the scene za biolabs.
Assassinations za akina Lumumba etc. Behind Savimbi and Diamond . Sierra Leone and Diamond.
Kwa tuliokubali kiana tunamezea wabebe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…