Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

lee van cliff pitia hapa πŸ‘†
Da mbona unadanganyika kirahisi?
Nimeshaeleza huko juu,
Urusi ilishiriki kikamilifu na kwa nguvu sana kwa kutumia jeshi la ardhini,angani na majini.

Nimetoa Hadi kisa Cha Askari mmoja wa Urusi aliekuabanapigana peke yake dhidi ya ISIS Waka wengi yeye peke yake.
Alipoona amezingirwa akaomba msaada wa ndege.
Akaiamuru ndege ipige pale alipokua ili afe yeye pamoja na ISIS.
Ndege ikapiga,wakafa maadui wengi sana pamoja na yeye.
Huyo dogo huko Urusi anakumbukwa kama shujaa.
Huyo alikua askari wa miguu sio Navy wala airforce.
 
Jinai gani hapo?! Vipi mauaji ya USA huko Libya, Syria, Iraq, Vietnam, Serbia na kwingineko kwingineko?! Watoto wengi wanakufa huko Kongo na nchi nyingi kutokana na uovu wa West..
Yaani Hawa wenzetu Huwa hawataki kabisa kusikia USA inahukumiwa.US inafanya maafa makubwa sana kwa nchi nyingine lakini haiguswi na ukiwakumbusha Mashabiki wanaishia kusema "makosa ya USA hayaipi uhalali Urusi kufanya makosa."

Yaani wao USA kwao ni msafi TU hatakiwi kukosolewa.
Ukisikia waabudu USA ndio Hawa.
 
Hahahahahah huwa nashangazwa sana na hilo swala...
 
waache wajaribu anga la urusi lifungwe kisha kila mmoja atupiwe ICBM ikulu kwake🀣
 
Save the date hatima ya putin inaenda kuamuliwa hii siku..pro russia wote mpeni putini salamu zenu za mwishoView attachment 2241374
Kwamba hiko kikao ndio kitazuia kichapo cha Zelensky? Russia atamimina dozi tu na msifikirie North Korea atamuacha Marekani bila kumsahau mchina kumdungua US. Hawajasahau fitna za kuuliwa kwa Huawei hapo US!
 
Kwa hiyo ni jukumu la Urusi kuihukumu Ukraine ?


Kwa hiyo jinai zao zinahalalisha jinai za Urusi ?


Ile ilikuwa mara ya kwanza hilo bomu kutumika hivyo hakuna aliyejua madhara yake
Kwa akili hizi siwezi shangaa kama utamshikia panga mmbongo mwenzio akikugongea mkeo ila utachukulia freshi tu endapo mzungu akimgonga mkeo kwa kuwa ni mmarekani 🀣🀣🀣
 
Hahahahahah huwa nashangazwa sana na hilo swala...
Yaani wenzetu Hawa hawakubali kabisa USA ikemewe.
USA walitengeneza uongo TU kua Iraq inamiliki silaha za maangamizi ya halaiki.

Wakasema inabidi Iraq inyang'anywe silaha hizo kijeshi,
Nchi nyingi zikapinga,nchi zikapinga kura UN ,UN ikaikatalia USA kutumia nguvu dhidi ya Iraq.
Lakini haikuiheahimu UN.USA na UK zikaivamia Iraq,watu wakafa na hakuna hata tone la silaha ya maangamizi lililokamatwa.

Pro US ukiwakumbusha au ukiwaambia haya hawataki.
 

Ukoo wenu mzima mpaka mababu ukijumlisha na hao NATO bado hawafikii akili ya mzee mzima PUTIN
 

Pro US Mahaba yamezidi wamekua mazezeta sasa.
 
Kama unaamini hamuwezi kuwa na katiba itakayochochea ukuaji wa democracy nchini mwenu mpaka mtegemee wazungu waje wawafundishe jinsi ya kupractice democracy bado uko na utumwa wa kifikra.
 
Marekani yasema kuwa Iran imekamata meli mbili za mafuta za Ugiriki. Iran imetoa kauli kuwa imelipiza kisasi kwa kitendo cha Ugiriki kukamata meli moja ya mafuta mwezi uliopita baada ya Ugiriki kuombwa na Marekani kufanya hivyo.

Hawa Wa-Iran kawaida yao ukikamata meli yao moja, ujue wao watakamata meli zako mbili kwa mpigo.

 

Usimpangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…