Marekani anakusaidia hadi kufundisha mbwa wa kunusa dawa za kulevya msiwe mateja wote. Pia anakupa na msaada wa kutahiri magovi ili kasi ya Ukimwi ipungue. Sehemu nyingine anakujengea na vyoo.
Unaweza elezea historia ya demokrasi Africa mfano ukiwa Tanzania.
Anza kabla ya ukoloni ' wakati wa kudai uhuru' baada ya uhuru na baada ya Soviet Collapse.
Ile mode ya struggle wakati wa Uhuru ilikuwa ni tishio kwa maslahi yao kwani zile fikra za akina EFL na Gadafi zilikuwa kikwazo.
Demokrasia yafaa izalishwe ndani sio itoke nje ikiwa na maana mkubaliane jinsi ya kujiongoza sio kuambiwa.
Sijaona Nchi ina kiherehere kama hii Poland..UK na US...Yaani hasa Poland sijajua kwanini KGB hawajaingia Pale Wamnyandue huyu mtu mjinga Waziri Mkuu
Iki ki nchi kilipaswa kifutwe haraka Sana[emoji34]
Russia ina wanajeshi zaidi ya 1m,hao ni wachache
Ni kweli mkuu,ila tulipiga kelele,watu wasichanje,lakini hatukueleweka!I can see some light in the tunnel,ila the damage has already been done,it's too late to help those who are jabbed,it's a matter of time.
Mkuu jazia nyama hapa ili wale wanaopenda kupokea cha mzungu kama kilivyo wajione
Anasaidia au tunalipia? Jiongeze weweMarekani anakusaidia hadi kufundisha mbwa wa kunusa dawa za kulevya msiwe mateja wote. Pia anakupa na msaada wa kutahiri magovi ili kasi ya Ukimwi ipungue. Sehemu nyingine anakujengea na vyoo.
The European Commission is looking for a Russian-speaking consultant who will "fight disinformation" and "strengthen relations" with the Russian-speaking audience in Estonia.
According to the job description seen by RT, most of the work time the employee will track "threats" in the Estonian accounts of the EC and monitor the "mood of the online audience on various topics." The rest of the time is spent creating content.
The most important topics are "digital and economic recovery", "solidarity with Ukraine", vaccination and ecology.View attachment 2243067
WHO wamesema wapi?Both,WHO and Kirillov.
Kwan nini ilikuwa sababu ya Putin kuipiga Ukraine?Sawa Putin na urusi wameshinda sasa wamepata nini Ukraine .Naomba washabiki wa Putin waniambie kwanza
Akili kama hizi ni hatari sana, historia ya dunia imekuwepo miaka mingi sana kama ya uwepo wa hiyo Marekani, kuna mataifa kibao ambayo yamekuwepo kabla ya hiyo Marekani unayoitukuza na kuiabudu....Marekani yenyewe imekuwa hivyo ilivyo sababu ya watu wa Ulaya..na mataifa mengine ambao walihamia huko, ujuzi ulioko Marekani ameutoa kwa mataifa mengine...Hapo ulipo tayari umejaa chanjo za mzungu mwili mzima, sio ajabu unapita kwenye barabara iliyojengwa kwa msaada wao na mke wako mjamzito amepewa chandarua au dawa za Malaria zenye ufadhili wao wasije wakafa kwa Malaria.
Punguza hasira Mzee, mbona kama utapoteza ajira Ukreine kushindwa hii Vita. You are being too personal chief .Pro Russia kuongelea demokrasia kama kitu cha maana ni ujuha na upumbavu wa kiwango cha lami.
nikichokuja kungamua ni kuwa yukrein kihistoria ni eneo la urus na hio nchi inayotwa ukran ni ya kubuni kuaminisha watu kuwa kuna nchi inaitwa hivo.ndio mana mpka leo mrusi anaiona kama sehem yake
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
US, NATO AND EU ARE OVER RATED.
Kabla ya tarehe Feb 24th kila mtu aliaminishwa na viombo vya habari vya magharibi, kwamba hi dunia ina mbabe moja na washikaji wake.
Tangu kuisha kwa vita baridi (cold War) btn the communist bloc led by Ussr na Western bloc led by US, tuli amanishwa kwamba US is the police man of the world, na Britain ana navy supremancy is the shark of the sea, kwamba wote wakiungana wana uwezo wa kufanya dunia hi chochote wanacho taka iwe economically au miliatarily walio bisha wakawa wanapewa mfano wa Zibabwe alivo dhoifishwa na vikwazo vya US na EU.
Special Oparation ya Urusi dhidi ya Ukrain eme expose utupu wa Marikani na EU, kwamba ni super power za media propaganda kama wa chezaji wa uingereza wanavo kua over rated na media ila uwajani hamna kitu.
Baada ya disintegration of USSR miaka ya 90s Nato elipata mwanya wa kuingilia Russia kupitia majimbo yake yalio jitenga kwa kuwa wezesha zaidi kicheshi na kiuchumi ziwe springboard ya kushambulia Urusi na atimaye kuangusha utawala wa ki-socialist haraka ili western democrancy itawale ulimwengu hu, Ukuraini ikawa case study yao kwa azima lao hilo.
kwa miaka 30 ilio pita walipeleka wanajeshi wa Ukuraini kwa special training ya kijeshi na ideological preparedness or indoctrination kwa miaka 8 wame train zaidi ya wanajeshi 100k, Ukuraini akawa na large standing and professional army in Western Europe kupambana na Russia kwa niaba ya Western powers ila cha kushangaza ni siku 90 tu za operation ya Urusi zinaenda sababisha total collapse of Ukuraniani Army ilio andaliwa na Nato kwa miaka 8 intensively with all kind of sofiscated western military arsenal, kweli Nato/na US ni Superpower visa-vie Russia?
Kama really US na EU are the fathers of democracy human rights freedom of press and free-trade kulikua hamna haja ya kuzuia RF na other Russia media ku-oparate in western countries, hiyo ndo hypocrisy ya hizo nchi kujifisha kwenye democracy wakati wana hidden military na eçonomic agandas, kupora mali za oligarch wa Russia bila ushahidi ni wizi mtupu na wivu, ilionyesha jinsi hizo nchi zilivo bado primitive.
Mytake:
Nina wakika Russia ana uwezo wa kuendesha hi vita kwa minimum ya mika mitano, kwasbb tangu miaka ya 90s alijianda sana na kitu kama hiki kutokea, naomba iendelee na oparation zake tena aipanue zaidi, kama mwa Africa tunahitaji tupata new world balance of power, tumechoka unafiki na udikiteta wa US na EU kwa nchi zetu, naona tayari nchi za ulaya ziko hoi hata kabla ya vita ya moja kwa moja kwao, naomba Putin eingage Poland baada ya Ukuraini, hata kama kutakua na haja ya kutumia silaha za nukes naona ni poa tu ili sisi Africa tuamuke na tupate maendeleo mapya bile EU na US intervention.