Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naomba uelewe kitu kimoja kwamba nchi yoyote ilio fuata development model ya ussr ya 'economy self reliance' US na wa shikaji wake walianza kuishambulia, kwa kila njia zikiwemo kuanzisha vikundi vya waasi, assassination of key leaders na economic sabotage za kila aina, development model ya self reliance economy haikupewa mda kua tested but was the best, China India Eastern Europe zilipata mda ndo unaona matokeo ya uchumi zao.

US na his capitalist ally ndo adui wakubwa wa new development ya Africa, wemezuia Africa kubuni new development strategies kila nchi inalazimisha ku-implenent outdated SAp (structural adjustments policy)ambayo I.eshondikana kwa Africa, kwahiyo Russia ndo mkombozi wetu kwenye hizo nchi, tunaomba hiyo operation iendelee beyond Ukuraini tena Mungu aki tusaidia Nuke moja iende London mji mkuu wa wingereza mambo mengi ya tabadilika in Africa......
 
Mambo magumu! Mambo mazito!



Diplomats and officials are increasingly frustrated that the EU may have reached the limit of the short-term pain it can inflict on Russia.

Bloomberg writes about the EU's inability to impose the most important sanctions against Russia: aimed at oil and gas supplies.

"The EU states are not fulfilling their promises to hit President Vladimir Putin where it hurts: in the lucrative energy industry. The main focus is on Hungary's refusal to support sanctions, but other countries are also yielding to Putin's demands to pay for gas in rubles," the newspaper writes.
 
Ujue hawa parata wakishashiba kishumbi wanapata nguvu ya kuandika mashudu hapa.
Hawajiulizi kabla ya hao washetani kutuvamia tulikua kwenye hali ganii?kimazingira,kiafya,kiuchumi,kimaadili,kisiasa,kiteknolojia yaaani wanahisi tulikua gizani kama wanavyotupakazia huko kwako.
Hapana tulikuwa ni watu wenye maisha yetu yenye ustaarabu wa hali ya juu kulingana na maendelo ya kipindi hicho.
Hivyo hata wasingekuwepo tunaweza kusavive wataalamu wa madawa wapo,wakulima,wavuvi,wanasayansi,wasanii,wanasiasa kila kitu tunacho.
Pro Ukraine haya mambo ya kidunia n lazima uanzie A.D,BC,Zama zote,utumwa,ukoloni mpaka sasa ndio utakua na hoja ila ukianzia katikati utakubali utu wako kutwezwa na hao mabeberu.
 
Naunga mkono hoja,
Hata hivyo nimekua nikifanya kama usemavyo kitambo.
Naam ulifanya la maana sana mdau. Like hapa kuna mwingine kani'qoute na hatoona abadani nampa attention 😂, Ujue mdau hata porini Simba hawachanganyikani na Mbwa mwitu katika maisha yao kila siku japo wanaishi msitu mmoja.

Simba hawezi kumlazimisha Fisi aache kula vibudu kwani ile ni asili yake. Ama tembo amlazimishe chui ale manyasi kama yeye kwani ni kinyume na nature yake! Same na kwangu niko selective sana na watu wa kujadiliana nao.

Huu mgogoro wa kiitikadi between Capitalism and Socialism, Democracy and Communism haukuanza jana na wala hautaisha leo kila mtu ashike zake atulie.
 
"Self reliance" ni big hoax ya wakomunisti wajinga. Africa baada ya kupata uhuru na muda mrefu mpaka sasa haikuwa na teknolojia wala mtaji wa kujiendeleza kiviwanda. Teknolojia kubwa ya viwanda hadi miaka ya 90 ilikuwa inapatikana US, China na USSR. Bila uwekazaji wa viwanda Africa itaendelea kuwa nyuma.

Russia haijwahi kuwa na mchango wowote wa maana kiuchumi Africa na kwa matatizo iliyo nayo kwa sasa haitakiwa na mchango wowote kwa miaka 20 au 30 ijayo.
 
Rasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.

Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.

Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.

______________


Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.

"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.

Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.

Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.

Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC

Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]
 
Mkuu tatizo la Africa sio kukosa viwanda au kukosa mitaji, naomba ujue tatizo kubwa la Africa kufika hapa tulipo ni economic and political intervetion of US and EU, Africa inashindwa kuamuwa development model yake bila sobatage ya ulaya na policy yao ya divide and rule, US na Wingereza zikipolomoka leo, Africa itabadilika iwe kama tiger economy, Russia hana shida na Africa hana unafiki na hana unyonyoji........kwa hiyo kwa lolote linalo weza kushusha US na EU na lisapoti kwa 100% hata ziwe Nukus Baba Putin pinga tu, Africa tumechoka double standard capitalists
 
This is real T14 Armata i knew, i do respect you mwalim shida mimi kama pro Russia najua kuchanganua
Ukizidisha mahaba unaishusha heshma yako tupo wengi ambao tunapita kimya kimya ila Alhamdulillah tunauwelewa mkubwa wa kupambanua
 
Kwenye utawala wa Jiwe baadhi ya wenzako ambao mnaispoti wote Urusi humu ndani na kuinanga US walikuwa wanamuomba Pompeo aweke vikwazo, akate msaada na azuie viza za enablers wa utawala wa Jiwe.
 
Huyu Y ni Well trained propagandist. Tunajua wapi EU na US wakipigwa Africa tutapona. Haya mambo ya kuambuliwa kila pahala na wao yaishe aisee.
The Bear is back.
 

Habar kama hizi huwa nasoma huku napata glass ya wine pembeni[emoji28]
 
Huu ugonjwa wa kujidanganya na kuamini tumedumaa kimaendeleo kwa sababu ya US au EU ni janga lingine kubwa zaidi ya Corona barani Africa, madikteta na viongozi incompetent wa Africa yanaipenda sana hii CD kwa sababu inawasaidia kuepuka uwajibikaji na kushindwa kwao.
Huyu Y ni Well trained propagandist. Tunajua wapi EU na US wakipigwa Africa tutapona. Haya mambo ya kuambuliwa kila pahala na wao yaishe aisee.
The Bear is back.
 
Nimelipenda andiko hili...USA na West wote kwa ujumla ni wahuni tu na washenzi kwa ujumla wake...USA na wahuni wenzake wanazungumzia kile kinachoitwa demokrasia lakini wao wenyewe demokrasia hawaitekelezi...hovyo kabisa
Yaani ni Capitalism mwenye nguvu mpe. Na mdogo atafikiriwa. Hii dunia yafaa iwe reset turudi kwenye barter trade exchange of economic goods rather than monopoly of economic goods.
Assume leo Russia yake makumpuninya Gas na nk yangekuwa foreign?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…