Yes lazima tupate viongozi incompetent kwa sababu shule tulizonazo waasisi n wao na zinatoa elimu erelevant na mazingira yetu.Huu ugonjwa wa kujidanganya na kuamini tumedumaa kimaendeleo kwa sababu ya US au EU ni janga lingine kubwa zaidi ya Corona barani Africa, madikteta na viongozi incompetent wa Africa yanaipenda sana hii CD kwa sababu inawasaidia kuepuka uwajibikaji na kushindwa kwao.
Huyu na ArTmarta sijui? Ila Britanica yupo compromised sijui na nini.Kwa hyo anatupiga Technical Questioniour!!!
Yapo baadhi mambo ni universal- au tuyaite universal truth or self evident truth. Moja ya kweli zisizo pingika ni haki ya mtu au jamii kujiamulia mwelekeo.Ukraine inayo haki ya kujichagulia washirika bila kuomba baraka za dikteta Putin. Issue siyo u pro NATO ,issue ni kusimama thabit na ukweli. Mungu ibariki Ukraine.Mie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?
Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?
Never!
Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?
Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?
Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...
Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!
It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.
Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....
Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...
Mkuu javelin ndio iliyomuhamisha Mrusi mji wa Kyiv ndio mana mpaka leo Kyiv heshima imetawala, US amesharudisha ubalozi wake na watoto wameanza kucheza na kupiga picha picha kwenye kwenye masalio ya vifaru vya russia vilivyochachagwa ni hiyo javeline na stingerKwa hiyo Putin Hana makombora Aina hiyo? Hata javelin mlipiga kelele hivi hivi!
Putini jana aliongea na Macron wa Ufaranza kwa dakika takriban 80 juu ya kumtaka asiisaidie Ukrane silaha za masafa ya mbali lakini inaonekana putini amepuuzwa vibaya sana sasa ngoma zitaenda kutua Moscow aonje asali na yeyeRasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.
Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.
Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.
______________
Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.
"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.
Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.
Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.
Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC
Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]View attachment 2243356
Mkuu usilete vitu ambavyo haviendani na mada plz, watanzania wengi walimchukia jiwe sio kwasbb walipenda wazungu sanaa hapana jiwe was a homicidal dictator, lakini katina development model yake hakuiweka wazi hata hivyo asinge kufa na natural death Wazingu wangemfanyia chochote aahindwe tu, US na EU sio wezio, wenyewe wanata tubaki na hi underdevelopment level,...... US hajawahi kutowa msaada wa $40bn kwa nchi yoyote Africa, lakini kwa hi Ukuraini ametoa zaidi ya hiyo ndani ya mda mfupi........kuepo kwa US na umoja wa Uleya sahau maendeleo ya Africa,Kwenye utawala wa Jiwe baadhi ya wenzako ambao mnaispoti wote Urusi humu ndani na kuinanga US walikuwa wanamuomba Pompeo aweke vikwazo, akate msaada na azuie viza za enablers wa utawala wa Jiwe.
Javelin zilikaanga zilivyo vifaru vya Mrusi. Javelin ndizo ndio ziliwaondoa Kyiv.Kwa hiyo Putin Hana makombora Aina hiyo? Hata javelin mlipiga kelele hivi hivi!
Mkuu usilete vitu ambavyo haviendani na mada plz, watanzania wengi walimchukia jiwe sio kwasbb walipenda wazungu sanaa hapana jiwe was a homicidal dictator, lakini katina development model yake hakuiweka wazi hata hivyo asinge kufa na natural death Wazingu wangemfanyia chochote aahindwe tu, US na EU sio wezio, wenyewe wanata tubaki na hi underdevelopment level,...... US hajawahi kutowa msaada wa $40bn kwa nchi yoyote Africa, lakini kwa hi Ukuraini ametoa zaidi ya hiyo ndani ya mda mfupi........kuepo kwa US na umoja wa Uleya sahau maendeleo ya Africa,
Ivi tulivyokua tunavamiwa watu wanachukuliwa utumwa izo baraka zilitoka wap?,tukatawaliwa toka kipindi iko hadi sasa izo baraka zinatoka wap?Yapo baadhi mambo ni universal- au tuyaite universal truth or self evident truth. Moja ya kweli zisizo pingika ni haki ya mtu au jamii kujiamulia mwelekeo.Ukraine inayo haki ya kujichagulia washirika bila kuomba baraka za dikteta Putin. Issue siyo u pro NATO ,issue ni kusimama thabit na ukweli. Mungu ibariki Ukraine.
Ukraine ipo kabla ya Urusinikichokuja kungamua ni kuwa yukrein kihistoria ni eneo la urus na hio nchi inayotwa ukran ni ya kubuni kuaminisha watu kuwa kuna nchi inaitwa hivo.ndio mana mpka leo mrusi anaiona kama sehem yake
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mkuu usilete vitu ambavyo haviendani na mada plz, watanzania wengi walimchukia jiwe sio kwasbb walipenda wazungu sanaa hapana jiwe was a homicidal dictator, lakini katina development model yake hakuiweka wazi hata hivyo asinge kufa na natural death Wazingu wangemfanyia chochote aahindwe tu, US na EU sio wezio, wenyewe wanata tubaki na hi underdevelopment level,...... US hajawahi kutowa msaada wa $40bn kwa nchi yoyote Africa, lakini kwa hi Ukuraini ametoa zaidi ya hiyo ndani ya mda mfupi........kuepo kwa US na umoja wa Uleya sahau maendeleo ya Africa,
Watu wanatafuta ugali wa watoto wao hawacheki na kima.We call it "Matunda ya democracy"
The United States continues to supply serious weapons to organizations in northern Syria that Turkey considers terrorist. This was stated by Erdogan.
Mind you, hawa ni chama moja ndani ya so called "defensive alliance", NATO.
Ivi tulivyokua tunavamiwa watu wanachukuliwa utumwa izo baraka zilitoka wap?,tukatawaliwa toka kipindi iko hadi sasa izo baraka zinatoka wap?
Haiwezekani...Iki ki nchi kilipaswa kifutwe haraka Sana[emoji34]
Wewe ndio hujui kabisa...nikichokuja kungamua ni kuwa yukrein kihistoria ni eneo la urus na hio nchi inayotwa ukran ni ya kubuni kuaminisha watu kuwa kuna nchi inaitwa hivo.ndio mana mpka leo mrusi anaiona kama sehem yake
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Pro Russia kuongelea demokrasia kama kitu cha maana ni ujuha na upumbavu wa kiwango cha lami.