Hao watumwa wako walipelekwa Oman,Saudia,Brunei au Iran? waarabu/machifu walikua madalali wa wazungu na hiyo fursa wazungu ndio waliointroduse kwa ajili ya kwenda kulima mashamba yao huko America na kutumikishwa viwandani na ushahidi upo Black americans huko USA kama mfano.
Bora mkuu ulivyowaambia,Russia kwenyewe ukomunisti upo kwenye makaratasi tu lakini maisha na mfumo wa serikali vyote vinaendeshwa kibepari,wanachotakiwa kujua awa pro Russia hakuna nchi dunian itakayo apply ukomunisti kuwa kama sera na mfumo wa maendeleo yake ikawa na uchumi imaraDunia haitakaa irudi kwenye barter trade, Hata huyo Russia unayemshangilia ni bepari wa kutupwa na mfumo wake wa ubepari ni Oligarchs hao ambao unasikia boti zao za kifahari na pesa kwenye benki za Ulaya zimekamatwa baada ya vikwazo.
Mfano wa Oligarchs mkubwa wa Russia ni Roman Abromovich aliyepoteza timu ya mpira ya Chelsea.
Nimekuelewa sanaaa.. aya ndio majibu watu wanatakiwa watambueHakuna tena mgogoro kati ya Capitalism na Communism au Socialism. Mfumo wa Ujamaa ulikufa ilipoanguka USSR na hautarudi tena. Russia ya leo ni capitalism, China nayo ni Capitalism yenye mkono mrefu wa serikali.
Mgogoro mkubwa uliobaki duniani ni kati ya Democracy na Dictatorship/Autocracy na huu utadumu muda mrefu sana kwa sababu kuna mataifa ya kidemokrasia yanaangukia kwenye udikteta na mataifa ya kidekteta yanaoingia kwenye demokrasia.
Can you really universalize that principle.Yapo baadhi mambo ni universal- au tuyaite universal truth or self evident truth. Moja ya kweli zisizo pingika ni haki ya mtu au jamii kujiamulia mwelekeo.Ukraine inayo haki ya kujichagulia washirika bila kuomba baraka za dikteta Putin. Issue siyo u pro NATO ,issue ni kusimama thabit na ukweli. Mungu ibariki Ukraine.
Can you really universalize that principle.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema hata freedom na democracy lazima iangalie maslahi mapana ya watu. If one person/nation becomes absolutely free then another must become absolutely slave!
Hata katika mwili wako viungo vyako vipo free ila kulingana na maslahi mapana ya mwili wako. Ndio maana logic ya ushoga na umalaya inafeli hapo. Sio sahihi viungo vya ashiki vikajiamulia kula raha tu bila kipimo bila kujali afya ya mwili, ngozi wala kibofu. Uhuru una mipaka. Majirani wawe huru kufanya mambo ambayo hayahatarishi majirani zao.
Mbona zisitumike kurudisha majimbo yanayotekwa kila siku? Au zinafanya kazi Kiev Tu?Javelin zilikaanga zilivyo vifaru vya Mrusi. Javelin ndizo ndio ziliwaondoa Kyiv.
So Anachofanya Russia ni sawa kabisa. Na atàkachofanyiwa Europe wakati wa baradi sawa kabisa.Dunia haina usawa,toka enzi na enzi ndio fomular ya maisha mpaka nowdays ukiwa mnyonge, utaendelea kuwa mnyonge mpaka kifo
Vizazi vyenu havitaendelea kwa kuzichukia US au EU na kuwakumbatia madikteta kama Putin. Vizazi vyenu vitaendelea kwa kuweka madarakani viongozi competent, kuwapa raia uhuru mkubwa wa kutoa mawazo na kufanya ubunifu na kushirikiana na mataifa yenye akili yaliyopiga hatua kubwa za maendeleo mkitambua wao wana maslahi yao na nyie mna maslahi yenu na kila mmoja lazima anufaike na biashara ya dunia.Mbona unawaza kupewapewa tu kila kitu, kwa nini unataka kutufanya waafrika wanyonge sana, hivi hiki ndo tunawarithisha watoto wetu kuwa wajiandae kupewa na kuomba, hao wazungu unawasujudu...wao hivo vitu waliumbwa navyo...kwa hiyo fikra zako zimefungwa kabisa kwenye ukoloni mamboleo na unaamini hamna njia out....kweli???Mbona waafrika tunashangaza sana..
Badala ya kujengea vizazi vyetu vijitambue kuwa vina uwezo wa kujikwamua....badala yake unasujudu hiyo misaada ambayo inatugharimu uhuru na utu wetu..seriously....??
Duh! sikumuunga mkono na aina ya demokrasia aliyoisema.Huyo jamaa yako aliyesema democracy ni zero-sum game ni mjinga na mfano ulioutoa kumuunga mkono pia ni wa kijinga.
NATO C pelekeni wale makomandoo wa jwtz wakatoe mafunzo.Ok kwa hiyo bado NATO hawajakata tamaa,wanaendelea kuchangishana viji silaha.
Aisee hii ndio NATO tuliokua tunaijia au hii ni NATO B.
We unaona ndio lengo la hao jamaa wa West eti mkae meza moja kuwe na win win situation?. Kifupi tunapumbazwa kuwa dunia ni ya usawa na demokrasia ndio suluhisho.Vizazi vyenu havitaendelea kwa kuzichukia US au EU na kuwakumbatia madikteta kama Putin. Vizazi vyenu vitaendelea kwa kuweka madarakani viongozi competent, kuwapa raia uhuru mkubwa wa kutoa mawazo na kufanya ubunifu na kushirikiana na mataifa yenye akili yaliyopiga hatua kubwa za maendeleo mkitambua wao wana maslahi yao na nyie mna maslahi yenu na kila mmoja lazima anufaike na biashara ya dunia.
We unaona ndio lengo la hao jamaa wa West eti mkae meza moja kuwe na win win situation?. Kifupi tunapumbazwa kuwa dunia ni ya usawa na demokrasia ndio suluhisho.
Resource za dunia zipo scarce na hii ndio shida kubwa na kubwa zaidi kuna jamaa wana monopoly nazo hata kama hawazimiliki.
Ebu soma ulichoandikaBiashara ya waarabu ya utumwa ilipoanza barani hapa hayo maeneo ndipo walipopelekwa babu zenu kuwa ma houseboys, baadaye wazungu walipofika na kujiingiza kwenye hii biashara ilionekana inalipa zaidi kuwazuia wazungu badala ya kuwapeleka mashariki ya kati na Uarabuni.
Utumwa wa ndani kati ya makabila Africa umekuwepo karne na karne. Tangu karne ya 7 biashara ya utumwa wa njea ilikuwa inafanywa na waarabu barani Africa, wazungu walikuja kujiunga nayo karne ya 16.
Fafanua udikteta wa Putin tukuelewe,maana yawezekana Una uelewa wa zaidi tunavyoelewa wengine,elimu ni muhimu,tuelimishe. Maana watu wengi wanafikiria hii vita chanzo ni Putin.Hata Putin ni homicidal dictator.
Ni ujuha mkubwa kumshangilia Putin huku unamnanga Jiwe. Akili za watu wa aina hiyo ziko tenge.
Unaurudia sana "development model', Unaelewa hata development model ni nini au umekariri tu?
Ebu soma ulichoandika
Acha kutufanya sisi mazuzu hii biashara ilikua inafanyika kwa kila race ila africans wakaonekana n strong na wanahimili maradhi,njaa compared to other races ivyo watu wakachukuliwa mamia kwa maelfu kwenda kwenye mashamba,viwanda,simple office work,house boy/girl huko ulaya na america hadi mapinduzi ya viwanda yalipofanyika wakaona hakuna haja ya utumwa tena ivyo wabaki kuzalisha raw material kwa cheap price alafu zipelekwe europe then zirudishwe huku kwa bei GHALI..
Pia ni ujuha mkubwa kujifanya una ichukia Urusi kwa kuivamia Ukraine wakati huo unashangilia na kuihusudu Marekani na washirika wake ambao ni vinara wa uvamizi ulimwenguni.Hata Putin ni homicidal dictator.
Ni ujuha mkubwa kumshangilia Putin huku unamnanga Jiwe. Akili za watu wa aina hiyo ziko tenge.
Unaurudia sana "development model', Unaelewa hata development model ni nini au umekariri tu?
Kama kawaida slowly but surelyJion ya leo kuna majimbo mawili ya ukraine yamechukuliwa na Urusi. Habari zisizo rasimi ni kuwa ayo maeneo yamekutwa yapo wazi wanajesh wameshakimbia.
Pia ni ujuha mkubwa kujifanya una ichukia Urusi kwa kuivamia Ukraine wakati huo unashangilia na kuihusudu Marekani na washirika wake ambao ni vinara wa uvamizi ulimwenguni.
Tuanzia na Cuba crisis ile ya base ya Russia hebu tutoe tongotongo. Why it was an issue iwapo Cuba a sovereign state alikuwa anaweza kumchagua yeyote awe mshirika wake kama leo Ukraine anavyotaka kuingia NATO na Europe?Hayo maneno na tuhuma za jumla havina mashiko, leta mfano mmoja mmoja tuuchambue na tuone kama unafanana na hata unakaribiana na uvamizi wa Russia kwa majirani zake kama Ukraine.