Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sidhanii kama wengi walidhania hvyo MKUU
Binafsi mie sikujua kama upo upande gani ila nlikua napingana na mtazamo wako juu yayanayoendelea
Yaani ulikua ama mpaka sasa unataka OP imalizike ndani ya dakika kadhaa kama vile watu wanafanya maonesho flani
Hapo ndio tunatofautiana mie nawewe kuna uzi ule mmoja ukasema kwamba RUSSIA hajateka hata mji mmoja at the end ukanikataa mpaka kutaka kuniita MJINGA
Shida yenu nikwamba munatamani kutotaka kuegemea upande ila munashindwa kubalance
Hata wengine kina mimi sio kwamba hatujui kama RUSSIA anachofanya anakosea hapana tunajua sana kama jamaa anakosea pakubwa ila tumekuja kuungana nae baada yakuona walofanya kama yale nawanaoendelea kufanya yale yale wanaungana dhidi yamwenzao anaefanya kama wao (sisi tupo kumi nyie tisa mnaungana kuiba ila mmoja akijitenga kuiba mnamkataa) hapa ndio tukaona kuna sababu nyuma yapazia
RUSSIA acha aendelee kutoa dozi mpaka kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali si nzuri kwa sasa ukrain hata inaonekana anga la ukrain kuwa na tahadhariView attachment 2119387
Ukiachana na mambo ya vita nimeipenda hii picha.Nataka waione abiria wa ndege za kimataifa na wale ambao hawajawahi kusafiri.Hivyo ndivyo anga la maeneo mengi ya dunia linavyokuwa.Ndege kama utitiri na hizo ni zile ambazo ziko 10,000 ft na kuendelea .Ama zile za ndani ya nchi kama za kutoka Dar/Mwanza na miji mingine hazijuumuishwi kwenye picha hiyo. Nawapongeza sana marubani na waongoza ndege.Kwa kweli ni kazi ya kitaalamu sana ukizingatia kwamba ajali za ndege ni matokea machache kulingana na wingi wa safari.
Marubani na waongoza ndege na rada huwa hawaingizi uzalendo wala siasa katika kazi zao.Rubani akielekezwa usikatishe anga hili huwa hana mjadala.Anatii papo hapo.
Hiyo picha inayoonekana hapo ni katika maeneo ambayo hayana msongamano mkubwa wa ndege na katika wakati ambapo safari za kimataifa zimepungua sana kutokana na maradhi na vita.
 
Vyombo vyahabari hata huko west wamevipiga marufuku seuze RUSSIA
Endeleeni kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wewe nakufahamu humu jukwaani,Ni kondoo mfuata mkumbo kwahiyo sihangaiki na wewe kabisa.

Hivi ukisoma post yangu bila Kilevi,unaweza kunionesha wapi nimemshambulia mleta maada? Zaidi ya kurekebisha alichokisema? Angelikuja yeye kudai Chanzo Cha habari angelipewa,badala Yake umekuja kikondoo.
 
Acha porojo with all due respect Malkia ceremonial head, power ipo number 10 downing street, kwa PM Boris Johnson.
Hamuupendi ukweli ila ndio mtaambiwa vumilieni
Kama wao wameamua ceremonial lida awe dikteta
Wenzao wameamua mwanasiasa awe dikteta
Kama mmezoea kupangiwa namna yakuishi nikwenu huko AFRIKA ASIA nakwengineko ila sio kwa RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahahahah mrusi atawafurahisha
 
Ok kwa hiyo bado NATO hawajakata tamaa,wanaendelea kuchangishana viji silaha.
Aisee hii ndio NATO tuliokua tunaijia au hii ni NATO B.
NATO wajanja sana , nakumbuka enz za Kutolewa Ghadaf walisema hawaiungi mkono serikali ya Ghadaf ila hawatojihusisha ktk kumtoa madarakani ila nyuma ya pazia Gaid Ghadaf alitolewa na West waliwasaidia wapiganaji waliolenga kumtoa Ghadaf madarakani
 
Jina Carifonia ila akili ipo Moscow , hz ndo pipo tunategemea ziikomboe Afrika
 
Mungu kama Wewe upo Tunaomba kisasi kikali kwa Russian federation pamoja na Putin. Amen
 
HIVYO VIKOSI VIKO WAPI SASA MBONA UKRAINE INATEKETEA
 
Le generali himself! keshatupa kyule!
 
Mimi point yangu ni kwamba hakuna kifaru kinachoweza kutoka salama mbele ya kombora zito.kama kipo niambie ni kifaru gani.vyote ni hatarishi tu wala hakuna afadhari
 
Jioni ya leo utashangaa kitu kimeshalipuliwa na Russia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…