Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Democracy inapigiwa chapuo mbaka kwenye cartoon watoto zenu uhuru mwanana wa bila mipaka...

View attachment 2244918

Maoni ya huyo jomba yazingatiwe,
Dah jamaa yupo sahihi leo kuna muda wakati nipo ndani
Vijana wakawa wanacheki katon nikaona bendera zao zile wanapitisha
Hawa majamaa wabaya sana ujue niwakupigwa vita
Muafrika ukimuona anawatetea hawa watu lazma umtazame mara sabaa sabaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hawaelewi Hawa watu?
Mbona Wana vichwa vizito?

Ilishanenwa humu ndani,Russia sio Afghanistan.!!!!
 

Nacheka kama Mazuri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dah!😯
 
Dah!😯.
Kusema kweli Mkuu,hii vita imetufumbua macho watu wengi.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kwaiyo no flying zone ni silaha?
Haijaweza kufahamika kama kweli hufahamu,au unafanya utani TU.
Ndio maana uliemuuliza hajakujibu ipasavyo.huwa Hana dharau angeshakujibu mapema TU.
Nadhani yeye anaamini unafahamu ila unafanya masihala TU,hata Mimi naamini unafahamu pia.
Ila kwa manufaa ya wengine ntaeleza kwa kifupi sana.

No fly zone.
Maana yake ni kuhakikisha kifaa chochote Cha Adui hakiruki katika anga Fulani.
Mara nyingi no fly zone hulenga ndegevita.pengime na makombora lkn Sina uhakika.

Sasa no fly zone haiwezi kutekelezwa kwa maneno TU,Bali kwa vifaa vya Ulinzi wa anga.Kwa maana hiyo ni silaha kwa ajili ya kutungua ndege au makombora.

Kwa hiyo no fly zone ni kuweka (mitambo) Yani silaha za kuweza kufanya kazi hiyo ya kuzipiga ndege za Adui ama kudungua makombora ya Adui.
Kwa sentensi moja ni kwamba Zelensky aliomba silaha za kupiga ndege za Urusi.

NATO waliogopa sana ombi hili.
Kwa sababu nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…