Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Suala gani nyeti la Wazungu Ukraine ambalo lina maslahi na wewe Mmatumbi wa Buza?

Mambo gani ambayo yakifunikwa au yakufunuliwa Ukraine yatakuwa na athari zozote kwako mtu ambaye maji ya bomba ni shida, na ajira za kutegemea ni bodaboda na umachinga?
 

Afadhali jamaa anatoa alichonacho tunajifunza ni elimu gani mpaka sasa umeitoa humu ndani tukajifunza??
 
Mchina ni mbinafsi sana kutumia hela yake kwa vita..si wa kuamininhata kidogo...

same kwa Mrusi helyqkake yote ni kujijenga kijeshi hajawahi kusaidia mia kwa Africa...Leo anataka eti tumsupport - akwendee !!
Wakati unaanza darasa la kwanza Waziri wa Elimu aliitwa nani?
Tuanzie hapo. Msije mkawa vijana wa juzi ambao hata Nyerere hamumujui maana? alipokuja na sera ya Ujamaa na Kujitegemea ham kuwepo. Hakuna mtu mwenye akili timamu anapenda kusaidiwa na jirani kulisha familia yake. Ni hatari na mwisho wa siku utalea watoto sio wako. Shauri yako.
 
Hata idumu miaka 100 KREMLIN walishatangaza malengo lazima yafikiwe haijalishi itachukua muda gani
Endeleeni kujipatia faraja[emoji3][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaza wa pseudoscience huyo.
 
Vimji vidogo[emoji23][emoji16][emoji3]
Taja mikoa mitatu mikubwa ya UKRAINE halaf uje useme inapatikana upande gani kama hujui nenda hata google

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kuwepo wakati wa Nyerere kufahamu ujamaa na matokeo yake kwa Taifa hili.

Ujamaa wa Nyerere ulishindwa vibaya sana ndio maana ulizikwa kwenye kaburi la Historia mwisho wa utawala wake na Mwinyi akaja na sera mpya za soko huria.
 
[emoji23]

Nimekupata sasa mwanzo ulinipiga chenga!
 
Nchi zote ambazo hazina rasilimali ni watoa mikopo sana. Nchi zenye Mali ni watoa misaada isiyo na masharti. Nchi ambazo watu wengi ni wakawaida sana ni wapokea misaada mizuri sana. Kifupi America yenye maskini wanaoishi mitaani , inawaonea huruma nyinyi tena bure tu..kifupi hiyo unayoita misaada ni njia za kutengeneza ajira , kuweka mazingira ya kuwekeza kirahisi, kuweza kuwaamulia sera zenu za poverty reduction, soko la bidhaa zao namna ya kuingia sokoni ( huwezi kwepa kununua mashine kwake kutekeleza mradi).
Mwisho asilimia zaidi ya 60 ya misaada hurudi kwao kama manunuzi ya bidhaa au kulipia consultant. Jifunze upate maarifa . TUNAWEKA TAARIFA KWA USAHIHI WATOTO WA 2000 WASIPOTOKE.
 
Professorial Rubbish
 
Mrusi ana wakati mgumu mno..anapigana vita karibia 3 kwa wakati mmoja.
Kuna mda huwa mnafanya factory restore kwenye bongo zenu eeh [emoji23]

Kumbe mnajua anapigana vita karibia tatu na hicho kijiji cha Big Boys bado na bado anawakalisha anaendelea na Operation yake?

Babeki mtasema ukweli tu na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh kazi ipo [emoji848]
 
*Katika uoshaji wako bila kutumia maji ya moto nadhani wajua hali ya sufuria au bakuli itakavyokua.... Kwamba yale mafuta huwa hayatoki.

Sasa hali hiyo unakutana nayo baada ya kujipaka mafuta ukifika wakati wa kula. Most katika sie hasa tunaopaka mafuta mazito kisha tunanawa maji ya baridi huwa tunabaki na yale mafuta mkononi*

Nani alikuambia bila kutumia maji ya moto mafuta ya nyama au mafuta mengine yoyote ya kupikia hayatoki kwenye chombo??

Halafu kuna mtu anakusisitiza uandikie kitabu huu utopolo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu ni wendawazimu
 
UKRAINE hajaanza kuomba leo wala jana hizo silaha
Nabado mafanikio kila leo ya RUSSIA yanaonekana
Njia pekee yakutofikisha malengo ya RUSSIA sio kuchelewesha kuofikisha malengo ya RUSSIA nikuingia kwa NATO hakuna zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shombo iko wapi!!?
Kremlin walisema malengo lázma yafikiwe kwakauli hii ulielewa nn!?
Wewe ndio uje na fact MKUU sio makasiriko yasio maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri Urusi ana uchumi upi kama hafanyi biashata na US, EU, UK, G7 na mataifa mengime ya ulaya.

Ni ujinga uliopitiliza kufikiri kwamba Putin can run this war for 6 months or a year bila bila kufanya biashata na watu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…