Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nenda ubalozi wa US ukaone foleni ya kuomba visa za kuingia Marekani. Hata hawa Pro Russia wenzako mnaodanganya nao hapa wengine wanasubiria majibu yao ya visa za US na wengine wana bet kila siku kwenye Green Card lottery.
Nilijua wanapelekwa bure kumbe wanatumia pesa zao
Haiondoi ukweli nauhalisia kwamba linchi la hovyo hovyo lile ambalo halijastaarabika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ubalozi wa US ukaone foleni ya kuomba visa za kuingia Marekani. Hata hawa Pro Russia wenzako mnaodanganya nao hapa wengine wanasubiria majibu yao ya visa za US na wengine wana bet kila siku kwenye Green Card lottery.
Nilijua wanapelekwa bure kumbe wanatumia pesa zao
Haiondoi ukweli nauhalisia kwamba linchi la hovyo hovyo lile ambalo halijastaarabika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demilitarization and denazification operation inaendelea!!

Putin, anasema kutengeneza noti nyingi sana za dollar ya US kwa miaka miwili iliyopita wakitegemea zitamezwa nasoko na uchumi wa dunia ndicho kimefanya inflation kuwa kubwa US. Akaongeza Tena kuwa, sera muono wa Karibu za EU juu ya nishati ndicho kinawatesa Ulaya!!

Inavyoonekena Russia inawajua vizuri sana US na EU kuliko EU na US wanavyojijua.
 
Kabisa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango imefel
 

Twambie kuhusu mikataba ya symbion
 

Ukimkuta mtu ambae unamtilia mashaka KUWA huwenda ni mpumbavu amekaa sehemu ametulia na yuko kimya, utabaki tu kumtilia mashaka "HUWENDA HUYU MTU NI MPUMBAVU".
Ni pale tu atakapoanza kuongea ndipo utajihakikishia kuwa "HUYU MTU KUMBE NI MPUMBAVU KWELI"
 
Al shabaab sio nchi, ni vijana wanaongozwa na mzuka wa dini lenu na kujilipua mabomu, ila Ukraine ni kataifa kadogo ukilinganisha na Urusi na kameshindikana, licha ya kuwa kapo mpakani hapo, kamefyeka misafara ya Urusi.
Kwahiyo ndugu MK254 nitakuwa sahihi nikisema kikundi cha vijana wa al shabaab kilitembeza kipigo cha mbwa mwitu dhidi ya majeshi ya marekani nchini somalia mpaka USA akaamua kukimbia somalia.

Na nitakua sahihi nikisema Urusi anatembeza kichapo dhidi ya jeshi la nchi ya pili kwa ukubwa barani ulaya(Ukraine) chini ya msaada wa NATO+EU+G7+USA, kuliko USA aliekimbia kipigo cha kundi la "vijana wa al shabaab wanaongozwa na mzuka wa dini"MK254.

Mh. Jaji ni hayo tu, naomba MK254 aje ajibu ni sahihi au siyo sahihi.
 
Inflation rate ya US ni 8%, ya Russia ni 17%
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo in mrai uliobuniwa na wamarekani kwa ajili ya askari wao waliotoka vitani irak na ulikuwa chini ya mama clinton ulihusu energy, haukujali maslahi ya nchi husika bali maslahi yao nimeeleza kwa kifupi ila ni long story
 

Haupo sahihi maana Marekani hajawahi kupigana na Alshabaab, soma historia ya Somalia vizuri.
Haupo sahihi maana huyo Urusi mnayemshabikia kwenye dini yenu hiyo ameshindwa kutembeza kichapo dhidi ya kainchi jirani yake, kamemtoza makamasi, alishindwa kuteka Kyev akakimbia.
 
Dadeki T14 anachbua T72. Na nyamizi wapi sikuizi
 
Inflation rate ya US ni 8%, ya Russia ni 17%
My friend, hili jambo Russia Central Bank wameishalishugulikia Toka 27 May 2022. Wamepunguza basis point 300 na kushusha key rate mpaka 11%. Inakadiriwa kuwa kufika 2023, rate itakuwa inasoma kati ya 5-7% na itastabilize kwenye 4% kufika 2024.

Tupe strategies za US kudeal na skyrocketing inflation huko US!

Source:. https://www.cbr.ru/eng/press/keypr/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…