Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani yametambulika kisheria ,in a long run yatarudi tu kwa wenyewe ndio maana mwenyewe umetamka majimbo ya mexico na sio ya US.
Yani wewe ni Upopo kweli lakini sina maana mbaya!!

Hujui kama hakuna legitimacy ya legal status kwenye matumizi ya nguvu? Vita ni matumizi ya nguvu, hakuna cha sheria ni kuchapana mpaka mshindi apatikane
 
Hili siyo darasa la LUGHA, ila siyo ikipikana ni ikipigana. Hujui chochote lala tu. NATO watoe silaha na mifumo ya vita alafu unasema hwapigani vita? Unasubiri wakuletee terminology mpya kuwa sasa NATO tunapigana vita? Ng'amua mambo
Kiswahili tu shughuli je kuchambua habari si kasheshe duuuu Tuna safari ndefu
 
Kiswahili tu shughuli je kuchambua habari si kasheshe duuuu Tuna safari ndefu
Tatizo litakua Afya yako ya akili. Sasa jumlisha na mahaba yako ya NATO inayo chakazwa vibaya, lazima unaumia na kulopoka tu!!

Unachambua nini wewe ambae hata unasema NATO hawashiriki vita! Nasema tena lala tu, acha ubishi mtupu
 
The EU has captured some $7bn in Russian-owned art ,boats and property. American has held about $1bn in vessels and aircraft. Add in Russia's central bank foreign reserves that are under sanctions and about $400bn of assets have been blocked. Total economic damage to Ukraine so far could amount to as much as $600bn according to the Kyiv School of Economics. To many ,therefore ,the idea of seizing Russia assets ,selling them and using the proceeds to compensate the victims of Putin's aggressions seems irresistible(Source: theeconomist).
 
Dawa ni kumpa Ukraine makombora ya 300Km plus aibomoe Moscow muone kama hawatatafutana.

Urusi amekuwa overhyped na bora angebakia na ile mikwara yake watu wakamuogopa sasa hivi wameshamjua udhaifu wake, ana infantry ya kipuuzi sana.
Sasa wanangojea nn
RUSSIA inaogopewa na hao wapuuzi kuliko kufa yaani !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo litakua Afya yako ya akili. Sasa jumlisha na mahaba yako ya NATO inayo chakazwa vibaya, lazima unaumia na kulopoka tu!!

Unachambua nini wewe ambae hata unasema NATO hawashiriki vita! Nasema tena lala tu, acha ubishi mtupu
Duu unahasira na huku umesema umeshida ,wewe ndio unashida.Kajifunze kwanza kiswahili lugha yako uweze kusoma ya NATO,US na RUSSIA.
 
Mpuuzi mwenyewe unayeshabikia vita.Wewe unafurahia wenzio kufa (iwe Russia au Ukraine) watu kama nyie ndio mnaroho ya kisadist huwa mnakufa na magonjwa mengi sana msipojikagua kwa sabbu most of time baadala ya kufikiria amani mnachelkelea ugomvi.
Ningejua na kuona mapema kuwa umeanza kulopoka kitambo kwa nonsense hivi, hata nisinge jaribu kukuelimisha, maana u-mtupu kabisa.
 
Ikifika miezi sita utafte tena miezi mipya yakuja kutupanga nayo
RUSSIA anahali ngumu ya KIUCHUMI ila chakushangaza EU wanalia lia kwamfumuko wabei
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi mwenyewe unayeshabikia vita.Wewe unafurahia wenzio kufa (iwe Russia au Ukraine) watu kama nyie ndio mnaroho ya kisadist huwa mnakufa na magonjwa mengi sana msipojikagua kwa sabbu most of time baadala ya kufikiria amani mnachelkelea ugomvi.
Mnamaliza nguvu zenu kutukanana kusiko na sababu ya msingi...watu mnajazba sana....
Hii dunia inamatatizo chungu nzima, kama ukifanya unapresha na mihemko si utakufa na kuiacha dunia ipo tu....Isitoshe hivo vita au operation ya kijeshi inayoendelea Ukraine..sio vita peke yake ibayopiganwa...Ndugu zetu waafrika wanakufa sehemu mbalimbali kutokana na vita, magonjwa etc.....Juzi tu hapa Ethiopia moto umewaka, Congo, Somalia,Nigeria huko, Cameroon, Libya hapo..ndugu zetu waafrika wanakufa...Na hatuoni hizo hasira zenu kwa hao wote...LEO wazungu wanatandikana huko..watu mnataka kutoana roho...ENYI WAAFRIKA NI NANI AKIYETULOGA???....Acheni wafu wazike wafu wao....Afrika bila shaka tunapaswa kuwa na agenda za kwetu za kutufanya tupigane na ukoloni mamboleo.....Waziri wa mambo ya nje ya India...kasema juzi..WAZUNGU WANSTAKA WAFANYE MATATIZO YAO NI YA DUNIA...na MATATIZO YA WENGINE HAYAWAHUSU....

Afrika ukoloni umebaki kichwani mpaka sasa...Wakifa wazungu watu mnatoana roho, wakifa waafrika, waarabu etc..walaa kama tunaangalia movie tu...

Shamee
 
[emoji1][emoji1]
 
Dawa ni kumpa Ukraine makombora ya 300Km plus aibomoe Moscow muone kama hawatatafutana.

Urusi amekuwa overhyped na bora angebakia na ile mikwara yake watu wakamuogopa sasa hivi wameshamjua udhaifu wake, ana infantry ya kipuuzi sana.
Una hasira Mangi 😃😃😃😃
Waulize Us wanaosema hawataki direct conflict na RUSSIA ndio wanajua mziki wao.
Wewe apo endelea kushindia mihogoo ya kuchoma.
 
Mpuuzi mwenyewe unayeshabikia vita.Wewe unafurahia wenzio kufa (iwe Russia au Ukraine) watu kama nyie ndio mnaroho ya kisadist huwa mnakufa na magonjwa mengi sana msipojikagua kwa sabbu most of time baadala ya kufikiria amani mnachelkelea ugomvi.
Amani ipi? Kwa hiyo ile ya hiroshima ilikuwa amani?
 
Huyo prostitute mbona Kama Ni punga hivi na sio mwanamke.
 
Tulia punguza jazba suala sio kua tunashabikia au tunasimpasize big NO.
Wanaokufa kwa maradhi majanga ya asili Mungu awarehemu ila wanaofia vitani n sehemu ya majukumu yao.
Vita vya wazungu (Ukraine vs RUSSIA)ni jambo jema kwetu tena vichachamae haswaa walipatana wakagaiana bara la africa kama sles za keki(ukoloni)
Kupitia OP hii Urusi kaonyesha interest na bara la Africa ilhali washindani wake wako hapa ni nn kitatokea ni mapinduzi ya bara la Africa(kisiasa,kiuchumi,kitechnolojia,kitamaduni n.k)
Mimi na wewe tunaweza tusiyashuhudie haya ila yajayo yanafurahisha.
Amandla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…