Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapana acha upotoshaji na utoto. Majenerali wengi wa Russia wameuwawa vitani kwa sababu wanalazimika kwenda mstari wa mbele kwenda kuhamasisha wapiganaji ambao wengi hawaungi mkono uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine.
Huo ndio ukweli hayo mengine ni porojo tu.
 
ELIMU KUHUSU MLIPUKO WA NUCLEAR

Leo nataka kutoa elimu kidogo kuhusu matokea ya mlipuko utokanao na nuclear warhead.

Kwanza kabisa mlipuko unapotokea unazalia energy(Nishati). Nishati hiyo hupimwa kwa kipimo kinachoitwa TNT.
Sitaki kueleza zaidi kuhusu TNT maana yake lakini kirefu cha TNT ni Trinitrotoluene. Hapa ni elimu ya chemistry sitaki niongee zaidi.

Kishati hiyo hupimwa na kulinganishwa na vipimo vingine vya nishati.
1 TNT ni sawa na 1162 KwH. Yaani 1 TNT ni sawa na unit za umeme 1162.

Tukichukulia umeme wa nyumbani kwamba unatumia kwa siku unit 10 basi umeme unaozalishwa na 1TNT utaweza kutumia kwa siku 116.2

Lakini vipimo hivyo huwa vinapimwa kwa mega TNT maana yake ni 1000TNT.

Kwa mahesabu ni sawa na unit za umeme 1,162,000. Au tunaweza kusema kuwa kuwa ni 1,162 MW.

Kwa sasa nchi ya Tanzania inazalisha umeme usiozidi 1,800 MW. Sasa ukiwa na 2 megatons of TNT ni zaidi ya umeme unaozalishwa na TANESCO. Vilevile ni zaidi ya Umeme tunaotarajia kuzalisha bwawa la Nyerere.

Avangard missile ya Urusi
Hii ni silaha ya urusi yenye uwezo wa kubeba nuclear warhead. Uwezo wake ni 2 megatons of TNT. NI sawa na 2,325MW ukilinganisha na umeme. Yaani ni zaidi ya umeme unaotegemea kuzalishwa na bwawa la nyerere.

Kwa kutumia NUKEMAP simulation bomb hilo linaweza kuathili eneo lenye ukubwa wa eneo la duara 652km square. Hii ni thermal effect. Maana yake kunakuwa na joto kali vitu vilivyondani ya eneo hilo vinaungua.

Machester ukubwa wake ni 115.6 km². Kwahiyo one Bomb of Avangard inateketeza Machester yote.

RS-28 Sarmat ICBM
Hii kitu ni tishio kubwa sana hapa dunia maana inauwezo wa kubeba war head zaidi ya 20. Na ikiwa na uwezo wa kubeba Avangard 15.

Sasa piga hesabu Avangard moja ni sawa na umeme wa 2324MW ukichukua mara 15. Maana yake miji 15 inateketea kwa wakati mmoja.

Kama kwa hapa East Africa. Dar, Nairobi, Bujumbura, Kigali, kampala, Kishasa, Juba na miji mingine yote inateketea kwa one sarmat.

Ngoja niishie hapa kwa sasa.
 
Glory to Ukraine

Nimeikuta sehemu, [emoji116]
General wa kwanza alivyopotezwa

Name:
Andrey Sukhovetsky

Rank:
Major general

Position:
Deputy Commander of the 41st Army.

Date reported:
1st March

Status:
Confirmed

Kifo:

Alipigwa risasi na sniper wa Ukraine, hostomel tarehe 28 Februari 2022.

Hapo awali alikuwa amehusika katika uingiliaji wa kijeshi wa Urusi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria, na pia alihusika kunyakua kwa Urusi Crimea 2014.

Kifo chake kiliripotiwa na afisa mstaafu wa ujasusi wa Urusi kwenye Twitter tarehe 1 Machi[4] na jarida la mtandaoni la Urusi Pravda.ru mnamo tarehe 3 Machi 2022.

Fununu:

Maafisa wakuu wa Marekani walidai kuwa Marekani imetoa taarifa za kijasusi za kijeshi ambazo zimewaruhusu Waukraine kuwalenga na kuwaua majenerali wengi wa Urusi ambao wamefariki wakiwa kazini katika mzozo huo.

Vita alizopigana:
✓russo-georgian war
✓ syrian civil war
✓ annexation of crimea
✓ 2022 russian invasion of ukraine.

Awards:

Sukhovetsky was a highly decorated soldier, having been awarded 14 medals.

End.
View attachment 2254182
View attachment 2254229
 
Wewe una manufaa gani na huu mgogoro?
Unachanganyikiwa wewe. Una manufaa gani na huu mgogoro kuliko migogoro ya kwenu Africa.
My point inakuuma nini kuwa ni nchi ya kifalme ilihali unaoeashabikia ndiio wenye huo mfumo.
 
Tema nondo Mkuu Jesus Mlokozi
 
Makofi matatu kwako.👏👏👏
Nakushukuru kwa kutambua uwepo wangu.
Umenipa heshima kama mfano.👏👏👏
 
Ndio huyu tu mmoja ama kuna mwingine!?
 
Finland Wants to join NATO, but look at Finland's Military Swastika Flags!

They are Nazi flags,openly depicting and supporting Nazi ideology,Zionism,Ashkenazi Jews,and in essence Khazarian Mafia World conquest,something Russia is up against.So who should Russia denazify?It's the US,NATO and the entire West,something which Russia has vowed to do starting with Poland!This is a gigantic task,which Putin intends to do on behalf of humanity,let's support him.Let me make it clear,without eliminating the Khazarian Mafia and their affiliates,call them Nazis,Zionists, Ashkenazi Jews or whatever,the World will never know peace and the end game is complete annihilation of human race.

Now much ado has been made in Scandinavian politics of late that Finland and Sweden seek to join NATO after Russia began its' Special Military Operation to demilitarize and denazify Ukraine.
As we look closer into Finland, we see SWASTIKA Flags of their military units, just like in Ukraine!This is not an exception,the West has been conquered by the Khazarian Mafia,Ashkenazi Jews or if you wish Nazis!The images below tell the story far better than can be written. This is the Finland Military of today.

So what's with the Swastika and why would NATO even consider accepting Finland given its current, official, endorsement of literal Nazi ideology?

HAL TURNER EDITORIAL OPINION highlights it better👇
I thought Nazis were the bad guys. I thought tens of millions of people DIED fighting the Nazis in World War 2.Yet here we are, in the year 2022, and what do we see in Ukraine and now, in Finland? Nazis and Western governments are supporting them.I am at a loss here!
From at least 2014 through 2022, we watched the AZOV Regiment of the Ukraine Armed Forces, wearing Waffen SS lightning logos(which depict satanism at it's highest form) on their government issued uniforms, wearing helmets with Swastikas emblazoned on them, and doing so much harm and damage, that Russia realized the need to enter Ukraine to protect Russian-Speaking people in Luhansk and Donetsk, from these Nazi units in Ukraine.
Once Russia entered Ukraine, what did the west do? We sided with Ukraine. An odd thing to do given that government embraces Nazi ideology and symbolism in its army, in its police and in its government officials.
Then, Finland and Sweden got spooked by Russia entering Ukraine, and both Finland and Sweden want to join NATO.
Now, we see that in Finland too, their official military units openly march with Swastika flags, openly supporting Nazi ideology!
Again, I thought Nazis were the bad guys. What am I missing here?
Was World War 2 not dispositive of Nazis? Was that war, which killed 90-100 Million people, merely a battle in some kind of never-ending war?
Because as I sit here on June 7, 2022, what I see is the rise of Nazi ideology, embraced by sitting governments, and marching under Nazi symbols in public. First in Ukraine, now in Finland.
If Nazis are the bad guys, why are we associating with them? Why would we even consider bringing Finland or Ukraine into NATO if their army is openly Nazi?
 
Mpuuzi mwenyewe unayeshabikia vita.Wewe unafurahia wenzio kufa (iwe Russia au Ukraine) watu kama nyie ndio mnaroho ya kisadist huwa mnakufa na magonjwa mengi sana msipojikagua kwa sabbu most of time baadala ya kufikiria amani mnachelkelea ugomvi.
We unashabikia makalio?
 
Amani ipi? Kwa hiyo ile ya hiroshima ilikuwa amani?
Kwani Hiroshima Ukraine ndio walitupa bomu.Yaani watanzania kwa ku compare vitu hawajambo simama na kitu kilichopo.Maprofessor na wasomi wamebaki na references mpaka hawawezi kuwa innovative
 
Ukraine is preparing a new anti-Russian provocation - blowing up tanks with more than 100 tons of saltpeter and nitric acid.

Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova said that nationalists had mined containers with chemicals at the Azot plant in Severodonetsk (LPR), and more than 1,000 people were being held in its basements:

“Russia is supposed to be blamed for the man-made disaster with human casualties.

It is sad that the Kyiv regime fabricates such fakes at the cost of the lives of its own citizens. But we saw what they did in the city of Bucha, and we saw what they did in Kramatorsk.”

 
Kwani Hiroshima Ukraine ndio walitupa bomu.Yaani watanzania kwa ku compare vitu hawajambo simama na kitu kilichopo.Maprofessor na wasomi wamebaki na references mpaka hawawezi kuwa innovative
Kilichopo ni kuwa Ukraine anatiwa adabu kwa kujipendekeza kwa NAZI na kushadadia zile itikadi.
Kuhusu amani muulize huyo anayetoa usd 40 billion kuwa za nini?.
 
Hivi lengo la Russia kushika shika miji hivi ya Ukraine nin mwisho wake? Anakamata mji mmoja baada ya mwingine hadi nchi nzima? au anakamata baadhi tu ili aikalie na kuinyonya kiuchumi baaas?
Nin lengo lake hasa
Rusia anarudisha majimbo yake ya zamani kabla ya vita ya kwanza ya dunia majimbo yote ya mashariki MWA Ukrein na kusini pamoja na bahari ya Azov zote zilikuwa za Rusia Ila watawala WA Rusia Kwa kipindi tofauti walizitoa Kwa Ukrein sababu walikuwa kama ndugu na ili kuboresha mahusiano Yao walikuwa wanaichukulia Ukrein kama ndugu kwao Ila Ukrein naona pembe zimeota wanasahau historia Yao ya kale na uhusiano wao wa tangu kale ndyo manaa Urusi kaona liwalo na liwe ayarudishe kinguvu
 
Ukraine ilikuwepo kabla ya Russia
 
Hivi lengo la Russia kushika shika miji hivi ya Ukraine nin mwisho wake? Anakamata mji mmoja baada ya mwingine hadi nchi nzima? au anakamata baadhi tu ili aikalie na kuinyonya kiuchumi baaas?
Nin lengo lake hasa
ana rudisha majimbo ya donbass (Luhansk na Donetsk) hapo kuna watu wa asili ya Urusi na wanataka kujitenga na ukraine toka zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…