Mengi sana.
I don't like hizo value zenu mnazohubiri [emoji304] ndio zimewatia ukichaa mnaona ndio ubinadamu kuliko maangamizi yenu Iraq Libya, Syria Na kwingineko.
Destruction ya family values .etc
Mwisho hii italeta adabu duniani sio kuwa na mbabe anayejali pesa tu bila utu.
😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳 naona kama unaongea kinyume: Kumbuka kuwa mapaka mtu afike kwenye u jenerali atakuwa amehudumu muda mrefu, huwezi kumuweka mzee front line haiwagi hivyo. Huu ni mfumo wa kizembeKwaiyo ukiona jenerali kauwawa frontline jua hilo jeshi si la mchezo maana halifugi majenerali wa kutoa amri
Huu ndio ukweliHapana acha upotoshaji na utoto. Majenerali wengi wa Russia wameuwawa vitani kwa sababu wanalazimika kwenda mstari wa mbele kwenda kuhamasisha wapiganaji ambao wengi hawaungi mkono uvamizi wa nchi yao dhidi ya Ukraine.
Huo ndio ukweli hayo mengine ni porojo tu.
Hii comment ya kibabe sana Mrusi mwenzangu 🇷🇺🇷🇺🇷🇺Hao ni wengi sana huko Russia sio wa kuhesabika kama mataifa yetu madogo. Tanzania vs Uganda tulienda na majenerali wachache sana hawakuzidi watano lakini tuliporudi ndio tukapandisha idadi. Kwaiyo ukiona jenerali kauwawa frontline jua hilo jeshi si la mchezo maana halifugi majenerali wa kutoa amri wakiwa mbali na uwanja wa vita . Sasa hao Ukraine hajafa jenerali wala kanali wala askari yeyote wanakufa raia tu na maeneo yanatekwa
Kwao vita zinzpiganwa kwa viwango, mfano - muda maalum wa kukaa front, kiwango kiasi na ubora wa chakula, vifaa vya kukinga mwili dhidi ya adverse weather and climate. Kutokana na na ukraine kuwa na ,mbinu bora, askari wa urusi walio mbele hawawezi kuwa replaced na ni vigumu kupata supplies mara kwa maraMwanajeshi analalama anapigana vita katika mazingira magumu?
Kwani vita inapiganwa katika mazingira gani
urusi ilikuwa wapi wakati huo? au ilikuwa angani inaelea!!!
Hoja imeungwa mkonosasa hii habari ya Russia kupoteza majenerali kila leo ni ishara Putin hana technic ya vita anabutwa butwa ovyo ovyo sana
Taja mji uliopotea acha propaganda ndugu achaBasi mbona maeneo ya Ukraine yanazidi kuchukuliwa ..hizo hasara anazopata urusi si angeacha huo ni uongo ... Miji inapotea na bado mnalalamika mnataka vifaa vya nini sasa kama mnawaweza
Kihistoria Ukraine ni threat kuliko hao wengine kwa kuwa kuna mahusiano ya karibu. Ni Kama ndugu yako kumukaribisha adui kwako ambaye unajua anaweza kukuchoma.
Kuhusu EPL hili litaisha tu once hii operesheni ikikoma. Kilichopo EU hawana say kwa US lazima agenda waikubali. Hivi unajua madeni ya ww2 wamemaliza lini kuilipa , na Germany na Japan wana mkatababa gani na US kuhusu majeshi ?.
Kwa fikra zako unadhani Haki za [emoji304] ni za maana kuliko kuweka mabango au matangazo ya kupungiza hunger, poverty, uhaba wa maji salama pia kukondemn vita zinazoendelea mfano Congo, Ethiopia , Yemen etc.
Hicho unachopenda Amani hata huyo unayempenda hakitaki maana kinamuingizia pesa. Katengeneza mkopo wa zaidi ya Usd 50 billion utakaolipwa na Ukraine kwa miongo pia ataweza kumcontrol.
Still believe the NWO Elite aren't crazy?Those who want you to own nothing and be happy?Those who have started the Ukraine-Russia War so that they may destroy the food chain and starve you to death?Yes,in their effort to slowly phase out meat consumption because animals contribute to Global Warming through Methane and Carbon dioxide Emmision,they have initiated the selling of "Insect Protein" Bars in Latvia so as to achieve their crazy "Net Zero Carbon Emmision Strategy," which is purely based on bad science,evil goals and fantasy.Read this[emoji116]!
Many people know the so-called "Elite" want us to "own nothing and be happy." Apparently, they also want us to eat bugs instead of, you know, meat.
In Latvia, stores have begun selling the "Better Bar"
On the label, prominently displayed, is one ingredient: INSECT PROTEIN.
So still think the so-called "Elite" aren't crazy?
These people have to be stopped,Scorned and rejected. If need be, coerced.
Their agenda is mentally sick. I will not partake.