Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yes NOTHING.......
Urrrrrraaaaaaaa
 
Huyu Mathanzua ni extremist conspiracist katika kambi ya Pro Russia, wengine wengi ni moderates conspiracists.
 
Hata saa mbovu husema ukweli angalau mara mbili kwa siku.
 
Da maneno ya kibabe na nguvu sana haya.
Haya ni maneno ya kikakamavu.
Nchi moja jeshi moja dhidi ya nchi zaidi ya 35 zenye uchumi imara kabisa hapa chini ya Jua.
Lkn kaziyumbisha kijeshi na kiuchumi.
Yes kaka Urusi sio dhaifu kama wengine wanavodhani baada ya kuona kama vile operesheni inadileii, hao wanawapiga ukreini kiakili sana

Jana nimesoma habari al Jazeera, mayor wa severodonetsk sijui anasema urusi imebadiri tactics za kupigana, kiufupi Urusi hatabiriki.
 
Sijataka kuiquote yote, hikinkipande kinawakilisha tu.

Hata mimi mtiririko wa kucheza series kama rais then kuwa rais ulishanitia mashaka sana. Kuna uwezekano mass ya watunikashikiwa akili kutokana na hizi tunazochukulia burudani.

Sema inaweza kutumika vizuri pia. Mfano nahisi wahindi wamejenga uzalendo wakisaidiwa na muvi zao, hata wamarekani pia. Ndo maana N. Korea na Uarabuni wako makini na videovideos.

Bora ufahamu machache ya ukweli kuliko uongouongo kweli maana uongo kichwani unakuwaga mithili ya virus, ni virus huwa unacorrupt hadi mafaili yalokuwa mazuri. Ulikuwa na akili unajikuta umepumbaa.nAndiko moja matata sana👊
 
Huyu Mathanzua ni extremist conspiracist katika kambi ya Pro Russia, wengine wengi ni moderates conspiracists.
I agree with part A of your story, hiyo sehemu ya pili sina data utawaita conspiracist wao watakuita [i mean tutakuita]propagandist, sijui kama linafit.

Kikubwa tuendelee kupambanisha hoja na data tu
 
Kipindi Russia anasogeza majeshi yake mpakan mwa Ukraine, nilimshangaa sana Zele kukataa kukaa mezani na jirani yake wayamalize mezani, Taifa la Ukraine litamkumbuka kama rais wa ovyo ambaye kairudisha nchi miaka 50 nyuma
Viongoz wa nchi huwa wanaongoza kupitia washaur wao,na washaur hata uchague vp lazima utajikuta umeangukia kwa wawakilish wa masponsa,na ikitokea umeenda kinyume na washaur kwa kujifanya hushaurik kuna uwezekano mkubwa masponsa wakakutema na safar ikaishia njian ref;BWANA YULE.


Kwa hiyo Zelenscky tukimlaumu tunamuonea tu,wakulaumiwa ni sponsa wake ambae amemuhakikishia usalama wa mke,watoto na wote awapendao endapo km atatimiza kile anachopaswa kufanya ipasavyo.
 
Mawazo ya kipuuzi kabisa haya.Mtu anayepanga kuku-ua hawezi kuwa na jema kwako,he will always sabotage you.Kwa ujinga ulio nao unaweza unadhani ni mwema kwako,lakini it will be an I lousion.Nyoka ni Nyoka tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa wakuchukua huo mji wa Viwanda sindio itakuwa wameshikilia hatma ya uchumi wa Ukraine, [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kipindi Russia anasogeza majeshi yake mpakan mwa Ukraine, nilimshangaa sana Zele kukataa kukaa mezani na jirani yake wayamalize mezani, Taifa la Ukraine litamkumbuka kama rais wa ovyo ambaye kairudisha nchi miaka 50 nyuma
Fala sana huyu jamaa , kasababisha watu kufa na kuwa homeless
 
Yeye alikuwa na nafasi ya kuchanga karata zake vyema na sio kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…