lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Mgogoro wa serikali na wamasai unakuhusu nini wewe, waachie wamasai na viongozi wa serikali yako uliyo wachagua.
Sasa wote tukianza kushughulika na mgogoro huo, kazi ya viongozi tulio wachagua kufanya kazi zetu itakuwa ipi sasa,
Unacholazimisha tufanye nisawa na mtu amuajiri mtu wa kuchunga ng'ombe halafu bado aendelee kuchunga yeye huku akiendelea kumlipa mchunga ng'ombe huyo alie muajiri.
Kwahiyo mkuu Mwanafalsafa suala la wamasai lisikupe tabu kabisa. tumewaachia vibarua wetu kina mama samia, Waziri mkuu na mawaziri husika, DC, RC, watendaji wa kata na vijiji ambao tunawalipa kila mwezi kwa pesa za jasho letu, sisi tunasubiri matokeo tu, yakiwa yakipuuzi tutawachinja kwa vichinjio vyetu 2025.
Hivyo basi Acha tuendelee tu kudeal na hii operation kwa masilahi ya dunia na taifa letu pia, tunahitaji dunia yenye mataifa yanayojiamulia maamuzi yake menyewe pasipo kuathili taifa/mataifa mengine. nawenye uwezo wa kuleta hiyo balance of power kwasasa ni Russia na China tu (through millitary and economic power respectively) ndo maana unaona Tunasimama na Russia.
Nadhani nitakuwa nimeeleweka kwako na wenzio ambao bado hamuelewi kwanini tunasimama na Russia katika operation hii.
More than 50%! ... and that's whether you like it or not!Kati ya watumiaji wa YouTube billion 2.6 ni wangapi wanaomfagilia Putin?
-Soma historia , Urusi alipata kichapo cha mbwa koko Afghanistani. Kipigo walichotembeza Mujahadeen ndio moja ya chanzo cha kusambaratika Sovieti.Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.
USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?
Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)
My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
Wewe jamaa bana,yaani hata ukimchamba mtu unamchamba Kwa fact TU.Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.
USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?
Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)
My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
It's time they start to learn how to print oil, wheat, and homes! 😅Wanasema wana uchumi mkubwa kumbe printer zinawapa kiburi[emoji81][emoji81][emoji81]
Kweli kabisa,naunga mkono hoja.Operation hii iende taratibu ili yaliyofichika yapate kuonekana hadharani werevu wapate kujifunza mengi
Hahah! Ulichokisema ni sahihi mkuu, sema kuna wakati inatubidi tuielimishe jamii ambayo ipo tayari kujifunza na kuelewa kupitia hivyo vichwa maji vya akina MK254.☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?
Nimependa hyo sehem, mfano mzuri wa kitaalam zaidi unfortunately umeutoa kwa mtu ambae sio sahihi, itaingilia kushoto itokee kulia, hawapo kuelewa wapo kubishana na kufurahisha nafs zao! MTAKESHA nao!
Huh atabandikwa jina takatifu huyu, Pro-Russia... Na kwa kua Pro-Russia ni wenye akili wanajielewa its okay kwa Mzee huyu!
Sio kwenye uzi huu tu hata tu katika jukwaa la Kenya jamaa muda mwingi comments zake Ktk mijadala mizito huwa ni ugoro plus hadi kuna mdau humu kamuuliza' kwa akili zake jinsi zilivyo anawezaje vipi kuishi ?'Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.
USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?
Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)
My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana Babu anasisitiza silaha atakazotoa Moscow isidundwe!!!Kwa nchi yoyote kwa jinsi op hii ilipofikia kujiingiza kijeshi kinyume na Russia ni kujitoa "mhanga".
USA amalijua hilo,Uk amalijua hilo,Poland amalijua hilo na hata Ufaransa analijua hilo.
Uko hivi,
Nchi kama USA ikiingia kijeshi dhidi ya Urusi,vita itabadilika na haitakua kama hivi.
Silaha zitabadilika.
USA ana makombora ya kuweza kupiga moja kwa moja Hadi Moscow Hali kadharika Urusi Ina makombora ya kuweza kupiga moja kwa moja Hadi New York.
Kwa hiyo,kwa hiyo,kwa hiyo hakuna nchi itakayotaka kuremba hapa.
Kila nchi itataka kumaliza vita haraka ili isije kuwahiwa na mwenzake.
Na ndio maana tunasema vita ya miamba hii miwili ni vita ya nyukilia TU. Kwa sababu ya kuepuka kuwahiwa.
Poa hakuna nchi ktk Europe Iko tayari miji yake kubakia magofu kama Syria hakuna.
Ndio maana nakuambia kuingia vitani na Urusi ni kujitoa muhanga.
Kwa Nini Urusi haibahatishi Urusi inajua maeneo yote muhimu ya kupiga kwa nchi zote za NATO.
Na inauwezo wa kufikisha makombora yake ya maangamizi mahala popote Duniani Tena bila kikwazo. Aaaaahaa.!!!
Chechen ni Jimbo ndani ya russiaKazi ipo, Chechnya jeshi kubwa, ina maana majeshi ya Russia waliotumika ni asilimia ndogo sana, waliopo wapo standby
Mwezi wa nne huu bendera za urusi zinapepea UkraineMwezi wa 4, bado Russia anahangaishwa na comedian.
👏👏👏👏👏👏Ona ulivyopanic hadi unachanganya Urusi na Ukraine najua ulidhamilia kusema; "Hawawez kuingia moja kwa moja maana hawana mkataba na Ukraine"MK254 na siyo Urusi kama ulivyoandika.
Maswali
☆Wakati Urusi anapeleka majeshi yake Venezuela na Syria kwenda kupambana dhidi ya majeshi ya NATO+Waasi kulikuwa na mkataba ulioiruhusu Urusi kuingilia hiyo mission ya USA&NATO+Waasi?
☆Wakati NATO wanaivamia Yugoslavia kulikuwa na mkataba unao usema wewe?
☆Wakati NATO inaingiza vikosi vyake Libya kumung'oa Gaddaf kulikuwa na huo mkataba wako?
☆Je kwenye nchi zote tajwa hapo juu kuna hata ni mwanachama wa NATO hadi NATO wapeleke majeshi yao?
☆kama Urusi alishaingilia operation za NATO zaidi ya mara moja kwanini NATO wanaogopa kuingilia operation ya Urusi nchini Ukraine?
NOTE; kabla hujanijibu jitahidi ufikrie kama binadam na siyo kama mnyama anaeishi, maana huchelewi kuwa na akili za Nyumbu wewe.
Mkuu nadhani ungejibu kwa kutoa sababu za kwanini Rais J. Biden hakubaliki USA(kwa mjibu wa data hizo) na ushawishi wake unaendelea kushuka ndani na nje ya marekani?. Ingekuwa bora zaidi kuliko kukimbia main fact na kujificha kwenye fact ambayo ni nje ya mada.Kwenye nchi yenye kiongozi wa kidikteta kura za maoni ni sawa na kujitekenya kisha kucheka mwenyewe.
Yeah ni kwa sababu Russia tayari.imeshachora mstari mwekundu kuhusu silaha wanazompa Ukraine.Kumbe ndio maana Babu anasisitiza silaha atakazotoa Moscow isidundwe!!!
Huyu mwamba nmemshooshea mikono kwenye statement zake shikamoo lavrovRussia is ready to interact with the West, but “you need to dance the tango together, but for now our Western partners are doing breakdancing alone” - Lavrov.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2256459
Hahaha. Naona Pro Puttin bado kuna kauvimbe, Ngoja kwanza nisome updates nijue kilichojiri ndo nitoe majibu.PRo NATO wanafungua vi thread vyao huko bhs wanafarijiana[emoji3][emoji3] huko unawakuta hadi akina nyambizo. Wakija huku wanakutana na SPANA [emoji3]