๐๐๐๐Wapambe wao washenzi wanawapa msaada ila wajipambanie jinsi ya kuvitumia mbele kwa mbele time is money.
Urusi haikupigwa huko Afhanistan nakataa.-Soma historia , Urusi alipata kichapo cha mbwa koko Afghanistani. Kipigo walichotembeza Mujahadeen ndio moja ya chanzo cha kusambaratika Sovieti.
-historia itajirudia ,vita yva Ukraine vitasambaratisha Urusi ya dikteta Putin.
-Aibu kubwa Urusi inamiliki kwa taabu vijimiji vipo mpakani kwake uso na pua. Superpower feki kweli.
We demu kacheze taarabu hamna unachokijuaKuna wa pumbafu wanafikiri this battle gonna be easy..dadadeq..
Uchumi wa Dunia hรฌi hauwezi kuruhusu Urusi ku dominate...
Ata ukikutana nao mzigoni ni tia maji tia maji hamna kitu wamebaki na ngeli pori tuu.Sio kwenye uzi huu tu hata tu katika jukwaa la Kenya jamaa muda mwingi comments zake Ktk mijadala mizito huwa ni ugoro plus hadi kuna mdau humu kamuuliza' kwa akili zake jinsi zilivyo anawezaje vipi kuishi ?'
Kuna siku niliandika hapa nikasema "Kusubiri USA atume makombora ya masafa marefu Ukraine nisawa na kusubiri kuokota parachichi kwenye mkungu wa ndizi".Hivi ile mizinga yenu imeshafika ama bado
Watajua tu Russia siyo ZimbabwePutin awakejeli mabeberu wa nchi za Marekani, Uingereza na NATO kwa ujumla kwa kuita inflations zao kwa jina lake (Putin's price hike)...
Awaambia wanajitesa wao wenyewe. Ukizuia nchi yako kununua mafuta ya Russia, lazima bei ya mafuta nchini mwako iongezeke. Ukizuia kununua mbolea toka Russia moja kwa moja, lazima bei ya bidhaa hiyo iongezeke nchini mwako...
View attachment 2257074
Naomba kujia yapi yalikuwa majibu ya seneta baada ya kupigwa spana na huyo mzalendoHizo ndio wanaziita Controlled Conflicts, Kitu kinasukwa kuanzia A hadi Z. Hizo 8 trillions dola kwa miaka 20 ni wastani wa dola Bil 160 kwa mwaka.
Sasa tizama hii Graph kisha fikirisha akili yako ela nyingi za defense budget zilikuwa zinaenda wapi. Hadi wanafikia hatua ya kutoa majeshi yao huko hali tete... View attachment 2252385
Ukumbuke pia Afghanistan ni land locked country... View attachment 2252397
Kuna njia za aina mbili za kufanya malipo, either Cash mkononi ama kupitia banking system.
Ukifatilia wanadai waliwatoa wataleban madarakani toka 2001, ina maana control ya nini kinaingia na kutoka ilikuwa kwao. So option ya banking system unaitoa.
Njoo kwe option ya pili angalia hizo nchi zinazoizunguka Afghanistan bila kusahau sheria zao zilivo kali. Jiulize iliwezekana vipi kwa kikundi cha wachunga mbuzi kuambaa na US pa1 na kundi lake miaka 20 yote na hivi sasa wako madarakani.
Nje ya topic Kama kumbukumbu zangu ziko sawa wakati Putin wanapambana na hao ISIS, alisema wazi japo kwa mtindo wa swali, Mnajua nani amewatengeneza hawa ISIS? akaishia hapo.
Yes bro! Kuna huyu mzee aliwaambia kabla na baada juu ya Iraqi, na walichomfanya the Almighty anawaona... Msikilize namna anavyoongea kwa uchungu!
View attachment 2252403
Huyo mzee sio mwarabu wala Mrusi bali muingereza Pure, alikuwa MP.
๐๐๐
Hivyo vyombo vyao vinasubiri kifaru kilipuke.
Katika Western MSM ambao wamechange mwelekeo kurudi kwenye professional zao mojawapo ni Bloomberg, wamepunguza Bias waliyokua nayo mwanzo. Kuna taarifa wanazitoa hadi unashtuka, unajiuliza ni wao kweli au ๐ค
Maana wamezoeleka kudanganya mfano kama hii,
View attachment 2252406
Taarifa ambayo BBC hata uwaogeshe maji ya "mchele" hawawezi thubutu kuizungumzia.
Ni jambo jema kama umeelewa NATO wanavyoiogopa Russia na kuwapa tahadhari wamuwahi kabla hajafyatua nukes zake japo ni imagination ambayo haiwezekani.Kwanza sio lazima ujibiwe unavyotaka maana humu huna uwezo wa kushikilia akili za yeyote, unaonyesha uwezoI wako wa kutumia ubongo unatoshana na kuku.
Urusi ni taifa lenye zana za nyuklia hivyo hauwezi ukaanza kumpiga kiholela, ameonyesha udhaifu mkubwa kivita na alichosalia nacho ni hayo manyuklia ndio kajilinda nazo.
Sema akikosea njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO, atapigwa tu pamoja na hayo manyuklia yake, ila itabidi awahiwe kabla hajayafyatua.
Kuna siku niliandika hapa nikasema "Kusubiri USA atume makombora ya masafa marefu Ukraine nisawa na kusubiri kuokota parachichi kwenye mkungu wa ndizi".
Mpaka kesho hata mwezi ujao USA hawezi kutuma makombora hayo Ukraine.
Kwanini nasema hivi? Ukijaribu kuunganisha dot kutoka kwa USA ndo utaona hilo suala ni propaganda pro-max. Jaribu kuanganisha dot juu ya hizi kauli kutoka USA;
โUSA ipo inaangalia uwezekano wa kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu (mwezi uliopita mwanzoni)
โUSA yaidhinisha kutuma makombora ya masafa marefu Ukraine(Mwezi uliopita katikati)
โRais wa USA j. Biden akataa taifa lake haliwezi kutuma makombora ya masafa marefu Ukraine(Mwishon mwa mwezi wa tano)
โUSA ipo tayari kutuma makombora ya masafa marefu endapo tu kyiv ikiihakikisha kuwa haitatumia makombora hayo kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi(wiki mbili zilizopita)
โUSA haitatoa makombora ya masafa marefu kwa Ukraine kabla haijatoa mafunzo kwa jeshi la Ukraine namna ya kuyatumia(wiki hii juzi)
Sasa hebu tujiulize kwenye hii dot, hayo mafunzo USA atayatolea wapi? Na kwa muda gani?[emoji23][emoji23] (Mimi sijui)
Je wakati anaipatia Ukraine Javelin na drones alianza kutoa mafunzo kwanza namna ya kutumia hizo dhana za teknolojia yake.
Mzee mkwele aliwahi kusema
"ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKWAKO"
Niliwahi kuta ubishi sehemu fulani,wakishania eti chai nayo ni tunda.,
Hoja kuu ya wanaodai chai ni tunda ni kuwa sifa ya tunda lina MAJI na SUKARI. ''je chai haina maji na sukari?''
Wabishani wale hawatofautiani na wewe na nahisi ulikuwepo pale.
Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.
USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
โAu hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
โna Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
โPia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
โna nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?
Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)
My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
Mkuu nadhani ungejibu kwa kutoa sababu za kwanini Rais J. Biden hakubaliki USA(kwa mjibu wa data hizo) na ushawishi wake unaendelea kushuka ndani na nje ya marekani?. Ingekuwa bora zaidi kuliko kukimbia main fact na kujificha kwenye fact ambayo ni nje ya mada.
Ombi langu kwako; Naomba utueleze sababu zinazo fanya wamerekani wasimkubali Rais wao kiasi hicho achana na ya Warusi kwanza,
Ni jambo jema kama umeelewa NATO wanavyoiogopa Russia na kuwapa tahadhari wamuwahi kabla hajafyatua nukes zake japo ni imagination ambayo haiwezekani.
Safi sana tutaendelea kuwapiga msasa watu wenye akili za kutu kama zako mpaka muelewe uwezo na nguvu ya Russia [emoji635].
Well said mdau!Hahah! Ulichokisema ni sahihi mkuu, sema kuna wakati inatubidi tuielimishe jamii ambayo ipo tayari kujifunza na kuelewa kupitia hivyo vichwa maji vya akina MK254.
Naamini kupitia bandiko hilo wengi ambao walikuwa hawajajua umhimu wa hiyo miji ya Ukraine iliyo chini ya Urusi watakuwa wamejua vizuri na tutaenda nao sawa katika mijadala inayoendelea.
Naomba Ubadili, huu uzi hauruhusu ID fake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Habari za hapa. Tumeshashinda? Maana Nimepitwa na mengi wiki hizi tatu sijui kinachoendelea. Ngoja nitulie taratibu nione updates[emoji3]
[emoji23]Tutajua unaigiza au unaigiza TU.
Tutajua unaigiza kwa sababu wewe ni msema kweli,msema kweli ni mtu haki.sasa upande ule ni uongo na dhulma.
Tutajua unaingiza Pato kwa siku.
Na haitokuja siku uiskie mtaishia tu huko kwenye tumiji twa mipakani, kwa kifupi Mrusi ameshindwa, ile tu kwamba siku zimeingia zaidi ya 100 na hajaifunika Ukraine, hana lolote huyo ambaye ametegemewa na waarabu na dini yao miaka yote.
Leo hii hata akiua Wa-Ukraine milioni moja, kwangu mimi haijalishi, aliposhindwa kuiteka hiyo "Kyev" ndani ya siku chache tayari udhaifu wake ulidhihirika alivyo wa hovyo.