Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio kwa haya madini nimeamini Pro_Russia ni wabobezi wa kuchambua kwa facts ,hili ni darasa tosha ukisoma comments za Pro_Nato utadhani teja kashika simu ndio anatype.
 
Hii vita mmepoteana mpaka mnaanza kuingiza maswala ya dini?πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Sikujua kuna udini hadi niliposhangaa kwamba hakuna hata mmoja mfuasi wa dini ya waarabu anayelaani mauaji au dhuluma zinazofanywa na Urusi, wafuasi wa dini zingine kidogo wako balanced, utaona wanalumbana kwa hoja wakiwa wapo wa pande zote mbili, ila hawa wa uarabuni hususan waliopo Bongo hawaambiwi kitu, akili zote zimehamia kwa Putin, wanamuona kama mtume.
 

Mapicha na video tulijaza humu kila siku nilikua napost jinsi msafara ulikua unaliwa shaba, leo uniambie nini, yaani nilikua nafurahi mpaka naumwa aki ya nani.
 
Wewe hayo umejuaje?Kwani humu jukwaani tunatambuana Kwa dini au makabila?Aisee
 
Nitampa kalamu yangu org Ni zile za zamani zinaitwa BIC Ina wino natural na hauishi,atafurahishwa.
 
Wewe hayo umejuaje?Kwani humu jukwaani tunatambuana Kwa dini au makabila?Aisee

Mbona wanajulikana virahisi, tatizo wewe labda umekomalia hoja za Urusi tu huku, ila hawa hawa tunakutana kwenye hoja zingine kwingine ambapo huko wanatambulisha dini zao kwa malumbano ya kidini...
 
Kiongozi shukrani kwa michango yako lakini rangi ya kijani unayotia inaumiza macho sana
 
Mapicha na video tulijaza humu kila siku nilikua napost jinsi msafara ulikua unaliwa shaba, leo uniambie nini, yaani nilikua nafurahi mpaka naumwa aki ya nani.
Ulihakikisha kwamba msafara wa km 60 ulifyekwa wote?Haya tuseme Kwa uchache,mitaa 100 ni magari vita matano,km 1 ni magari 50,km 60 ni magari 3000!Kweli hiyo namba inakuingia akilini?Kabisa?
Hayo maneno Yako ya mwisho yanadhihirisha namna gani hii vita imekuathiri afya Yako ya akili!
Relax,utateseka bure maana Ukraine hana nafasi ya kushinda dhidi ya malengo ya Russia!
Tuombe tu mambo yaishe Kwa mazungumzo,bila hivyo Ukraine will lose big time!
 
Mbona wanajulikana virahisi, tatizo wewe labda umekomalia hoja za Urusi tu huku, ila hawa hawa tunakutana kwenye hoja zingine kwingine ambapo huko wanatambulisha dini zao kwa malumbano ya kidini...
Kwahiyo hitimisho lako ni kwamba kila muislam anaunga mkono uvamizi wa Russia?Hizi kauli za jumla jumla zinamtoka mtu ambaye hajakomaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…