Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe hayo maoni yako hayana umuhimu pale msafara ulishindwa kuiteka Kyev, uligeuzwa chuma chakavu.
Mrusi amewafeli waarabu na dini yao maana walimtegemea sana.
Waarabu na dini yao? Hi statement Ni Tata Sana lakini pia mwandishi anaonekana Bado anaishi kwenye cold war ambapo Soviet Russia ilikuwa na Marafiki was kweli ( allies) was kiarabu Misri, Saudia,Qatar, Libya, Iraq na wengine wengi ambapo kiukweli nchi hizi waislam Ni 99% kasoro Lebanon na Syria zenye idadai kubwa kabisa ya wasiokuwa waislam yaani wakristo na wasio wakristo.
Lakini kabla na baada ya Vita baridi hasa baada ya Yom Kippur war aliies was kiarabu wa Soviet Russia wote walihamia kuwa marafiki wa US. Mfano Misri iliingia mkataba was amani na Israel chini ya Us hivyo Misri ikawajaa chini ya US kiushawishi.
Vivyo hivyo kwa Saudia nk. Ni Saudia aliyetoa fedha za kugharamia Vita dhidi y Soviet Russia katika Afghanistan 1979-1988 kuonyesha Kwamba Yuko side ya Marekani.
Kwahiyo basi ukiitoa Syria na Lebanon kidogo Hakuna nchi ya kiarabu ambayo Ni rafiki wa kufa na kuzikana.
Nchi zote za kiarabu mfanowe Qatar,Oman, Saudia nk Sasa Ni marafiki wakubwa was US na Kuna makambi kibao ya kijeshi.
Ni ajabu unapotuaminisha Kwamba Kuna Urusi na Marafiki zake waarabu na dini yao!
 
Kwahyo ni haki za kibinadamu na demokrasia ya kuvunja mikataba inayozuia nchi zilizo nato,zikiongozwa na baba yao marekani kujisogeza base zao kuelekea east na kusettle Ukraine karibu na mipaka ya adui yao urusi sindio.
Jielemishe kwanza kabla hujaanza kueneza propaganda za Warusi, fahamu kuwa Latvia, Lithuania na Estonia wote ni majirani wa Urusi na ni wanachama wa NATO, tafuteni kigezo kingine. Kila taifa lipo huru kujiunga kwenye muungano wowote kwa maslahi ya watu wake na usalama wake, leo hii Zanzibar ikiachika na Tanganyika, watakua huru hata kuungana na Oman bila kusumbuliwa na JWTZ.
 

Hamnaa, kwa muda mrefu waarabu na dini yao na pia waajemi na hata wafuasi wa hiyo dini ya waarabu kote ikiwemo Bongo, wote wamekua wakiitegemea Urusi kama komesha la Marekani, ila kwa aibu hii, wamemshangaa sana na ndio maana humu wafuasi wa waarabu hamkomi nyuzi za kumsifia na kumuabudu Putin.
 
Ahahsh,acha wafe
 
Wakenya cjui akili zenu huwa mmemuazima marekani,hivi kati ya mie nawew nani anatakiwa kujielimisha.Hizo nchi za latvia,Lithuania na Estonia wote hawakutakiwa kujiunga kabisa na nato,hii nikutokana na mikataba na makubaliano walioingia urusi na nchi za magharibi wakiongozwa na marekani.Lakin kutokana na viburi vyao walimdharau sana marehemu rais Boris yeltisin,napia nikipindi ambacho uchumi wa urusi hakua sawa,ambapo nato wakatumia mwanya huo na sababu ya kipumbavu ety kila nchi ina uhuru wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa.Yaan unageuka makubaliano kwa sababu ya kipumbavu isiyo na mashiko.Aiya hapo ukumbuke putin alishawahi kumwambia rais wa zamani wa marekani bill clinton kuhusu urusi kujiunga nato.Jamaa akamchomolea kabisa kwa akili ya haraka hapa alinasa kwenye mtego wa putin vizury mno.akimanisha nato ipo kwa lengo la kuikabili urusi kijeshi na mbinu za ziada ili kuisambaratisha,mfano zile maabara za siri Ukraine zilizokua zinasimamiwa nawa marekani kwa siri wafikiri target ni nany?kama sio njia mojawapo ya kutishia usalama wa urusi,sasa basi putin alivyoingia madarakani karekebisha tatizo la uchumi la urusi nakupunguza deni la taifa. Pia alijitahidi sana kujaribu kushirikiana na nchi za umoja wa ulaya,lakin marekani hataki kusikia hilo kabisa tena akishirikiana na uingereza kufanikisha jambo ile halitakaa liende vizury.Hapo usisahau ushawishi wa kuisusia gesi ya urusi na bomba la nord stream 1 and 2 kwenda ujerumani.Pia kujaribu kumpindua rais halali kabisa wa syria Bashar al Assad,ili kuweka kibaraka syria ili wapitishe bomba la gesi kutoka Qatar,kwenda Europe ili kuuwa soko la gesi ya urusi ambayo nitegemezi kama nishati muhimu kwa uchumi wa nchi za ulaya.Kumbuka rais assad alikataa hili dili nakutaka bomba la irani ndio lipite kwenda ulaya mbona marekani n washirika wake walitaka kumg’oa wakati syria ilikua na uhuru kama usemavyo wew wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na mtu yoyote.Ni kwasababu irani ni adui mkubwa wa marekani hivyo gesi yake ingenda ulaya lazma angekubaliana na putin ili isijeleta madhara kwa uchumi wa urusi pia pande zote tatu yaan iran,syria na urusi wangepata faida wote bila kuwepo madhara kati yao.hapo ukumbuke marekani asingekua na maamuzi ya kuikontrol gesi hiyo.Ndio maana akachukia nakutaka kumua nakumpindua rais halali wa nchi ya syria.Mpaka hapo inaonesha putin(urusi)wamejitahid kuwa wa pole lakin bado wanatishiwa kiusalama na kiuchumi ulitaka putin akae kimya mpaka lini tena kwa dharau kubwa wakataka nato ikae Ukraine.Ndio putin akaona hapana lakin bado akaomba guarantee ya usalama wa taifa lake wakamdharau na kuanza kusuply weapon ukraine.Huku wakimsapoti puppet wa zelensky kwamba usiogope putin akivamia tutamwadhibu aiya kavamia kweli sasa kiko wapi?ulitak putin awapigie magoti na kuwalilia.kaamua kuchukua hatua mkononi mwake kulinusulu taifa lake ukiacha unafiki hata kama ungekuwa wew mkuu au marekani angefanya hivyohivy.Bado usisahau marekani na washirika wake wa nchi za ulaya kwa kutumia media zao kusambaza uongo,walihusika katika kumuondoa madarakani rais halali wa Ukraine victor yanukovich kisa alikataa mkopo wao na kuingiza Ukraine umoja wa ulaya.Nakuendeleza ushirikiano mkubwa na nchi ya urusi huu ni uhuru halali nayeye ni mkuu wanchi mbona waliweka uongo kwa wa ukraine na kuchochea maandamano yaliyotaka atoke madarakani tena almanusra auwawe ndipo akapewa hifadhi na putin nchini urusi.Umeona jinsi marekani na washirika wake wanavyomchukia na kutaka kuisambaratisha urusi,yaan wanatangaza amani,uhuru na blablah kibao huku wameficha mapanga.kabla ujazungumzia taifa langu la Tanzania kuvunjika muungano,kwanin usizungumzi chama cha Mombasa Republic Council (MRC)kilichokuwa kinataka kwa njia ya halali kabisa kujitenga na serikali ya Nairobi hapo mwaka 2011/2012.Na kilikuwa kinapata sapoti kutoka nchi za magharibi,tena kwa njia ya halali mbona serikali yenu ilikibatiza jina la Ugaidi na kumkamata rais wa chama hicho Omari muanazzi.kwa kupitia polisi wa kenya waliompa kipigo kidogo wamue,kama nyie na yule boya wenu huko umoja wa mataifa aliyemnyoshea kidole na kumsema putin, baada ya kuanza kuishughulikia ukraine.kwamba anataka alete vita vya dunia pia hataki kueshimu maamuzi ya uhuru wa ukraine.Huyo boya c aliteuliwa na serikali ya raisi kenyata.sasa mbona yeye,wew mkuu na serikali yenu hamkuunga na kueshimu uhuru wa Mombasa kujitenga chini ya chama cha mombasa republic council(mrc)na kuwa nchi huru ebu nionyeshe mkuu wapi ulipinga swala la baadhi ya raia wenzako wa kenya kuitwa magaidi baada ya kuomba uhuru wa kujitenga na mombasa yao kuwa nchi huru.Mkuu acha unafiki napia punguza mahaba ya kijinga.
 

Hili liinsha lote unamuandikia nani, hata haujui namna ya kupanga maneno, limeshikana lote haujagawa kwenye paragraphs, sijui uliishia la ngapi kielimu, limenichosha sijalisoma, kimsingi pointi yangu ni ile ile, hakuna nchi ya kumpangia mwenzake, hao Latvia leo Urusi hawezi kuwagusa maana ni wanachama wa NATO licha ya kwamba ni jirani zake.
 
Nilijua hapo hutoki,hizo blahblah zako means nonsense napia ni kutafuta sababu ya kujitetea tu pathetic.
 
===
NATO wenyewe wameishaelekea kukubali matokeo. Mkuu, Wewe nani
Upinge?
====
 

Daah inabidi uwe na mbio za Usain Bolt[emoji1787][emoji1787]. Marekani anapeleka silaha za mchongo.
 
Wanajeshi 14 Wa Kikosi Maalum Cha Jeshi La Urusi Wauwawa katika na UKRAINE 🤔
 
Hukulijua hilo, ile tu kwamba Urusi alishindwa kuteka "Kyev" na kuishia kupambana na tumiji twa huko mipakani.

Kama mliweza kuulinda Mji Mkuu (Kyev) kwa nini sasa mruhusu miji midogo midogo kutekwa?

If you have muscles to defend capital city why it has become easy to lose small towns! Is Russia weak or Ukraine weak?
 
Your browser is not able to display this video.


The Russian military showed captured weapons, which were abandoned by Ukrainian nationalists during the retreat.

There are not only machine guns here, but also imported American Javelin anti-tank systems and Swedish-British NLAW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…