Habari njema, watuuzie mafuta, tunataka kuyaona mameli makubwa ya mafuta bandari ya dsmView attachment 2258774
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Andrey Levonovish Avetsyan, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022. @venusnyota
Mkumbushe Nyerere (mkristo) alikata mahusiano ya kidiplomasia na israel kutokana na uonevu anaowafanya palestina na alitamka wazi waziMm mbona siyo muislamu hata nyerere na magufuli awakuwa waislamu tena kwa taarifa yako nyerere alikua adui mkubwa wa mabeberu ya nato na hata jpm, kuliko hata maraisi waislamu katika hii nchi yetu ...wewe unafikili JPM AU NYERERE WANGEKUWA HAI WANGEKUWA UPANDE WA NATO ?[emoji849][emoji849]
"anatamani hata Putin afe ghafla tu."😀😀😀😀😀 air defense za mrusi zitakuwa zina detect kwa gps kombora likifyatuka tu, nafikiri ni ile GLONASS ndani ya dkk 0 zinakuwa zimeshakulipua na wewe ni aidha uwe umesepa au umelipuka😀!!!
Haya ndio mambo yanamkosesha Usingizi Biden anatamani hata Putin afe ghafla tu.
Leta fact kwa kupangua point moja moja Pro natoNadharia zisizo na uthibitisho wowote.
Aiweke kwenye Wishlist tu Putin yupo sana kwa ajili ya kufuta wenge viherehere wote wa NATO"anatamani hata Putin afe ghafla tu."
Hio statement imenichekesha kinyama 😄😄
Tumekubali urusi alishindwa KievHiyo midogo midogo itashughulkiwa tu, kwanza inabidi tushangae tuliwezaje kumfukuza Mrusi Kyev, yaani Mrusi huyu mmoja ambaye ameogopowa siku zote, supapawa, yaani ambaye tegemezi la waarabu na dini yao na wafuasi wao wote duniani walimtegemea yeye, ndiye alionekana kama komesha la Marekani, humu nyuzi zilirindima za kututisha kwanza pale limsafara lilianza safari, ila kwa namna lilifyekwa...kha
Ni kama leo Liverpool waje kucheza dhidi ya Kagera sugar, wafunge mabao mawili, ila wadhitiwe hadi kurudi nyuma, mtaogopa hata kuwafuata huko kushambulia maana mamuamini macho yenu, mpaka mtakua muda wote mnaogopa labda wana kingine hawa.
Nadhani dunia umeijua miaka ya 90 na kulikuwa na empire na falme ambazo hazipigiki kulikuwa na ngome haziingiliki utapigwa utachakaa iko wapi Roman empire kiko wapi ottoman empire sometimes you have to agree with nature ujeruman yenye nguvu haipo Sasa, uingereza yenye makoloni haipo Sasa ugiriki yenye kuogopwa iko wapi unatuletea history wakati zama zinabadilikaVita ni gharama nami nijuacho Russia hii vita itamshinda sababu ni nyingi mno za Russia kushindwa, tusiangalie vita imeanzaje tuangalie vita inaishaje unaweza kukurupuka mwanzo na mbwembwe kumbe wenzio wanakuangalia kwanza yale mataifa ni mengi na ni tajiri, katika historia za alliance hawajawahi kushindwa vita.
Bye Bye NATO
Finland president Sauli Niinisto: We will not join NATO without Sweden.
#Erdogan : Will make sure Finland and Sweden are kept Out Of NATO
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] air defense za mrusi zitakuwa zina detect kwa gps kombora likifyatuka tu, nafikiri ni ile GLONASS ndani ya dkk 0 zinakuwa zimeshakulipua na wewe ni aidha uwe umesepa au umelipuka[emoji3]!!!
Haya ndio mambo yanamkosesha Usingizi Biden anatamani hata Putin afe ghafla tu.
Tumekubaki urusi alishindea Kiev
Je vipi imekuwaje mmeshindwa kuwakomboa wanajeshi 2000 pale Azovstal kama mpo sawa na 20% ya ardhi imeondoka. Au ndio mbinu za kivita mtapiga counter attack?
Na unaweza kutoa uthibitisho juu ya majigambo ya Urusi kuwa supa pawa. Naomba ujibu hoja moja kwenda nyingine.
Hiyo midogo midogo itashughulkiwa tu, kwanza inabidi tushangae tuliwezaje kumfukuza Mrusi Kyev, yaani Mrusi huyu mmoja ambaye ameogopowa siku zote, supapawa, yaani ambaye tegemezi la waarabu na dini yao na wafuasi wao wote duniani walimtegemea yeye, ndiye alionekana kama komesha la Marekani, humu nyuzi zilirindima za kututisha kwanza pale limsafara lilianza safari, ila kwa namna lilifyekwa...kha
Ni kama leo Liverpool waje kucheza dhidi ya Kagera sugar, wafunge mabao mawili, ila wadhitiwe hadi kurudi nyuma, mtaogopa hata kuwafuata huko kushambulia maana mamuamini macho yenu, mpaka mtakua muda wote mnaogopa labda wana kingine hawa.
Hiyo midogo midogo itashughulkiwa tu, kwanza inabidi tushangae tuliwezaje kumfukuza Mrusi Kyev, yaani Mrusi huyu mmoja ambaye ameogopowa siku zote, supapawa, yaani ambaye tegemezi la waarabu na dini yao na wafuasi wao wote duniani walimtegemea yeye, ndiye alionekana kama komesha la Marekani, humu nyuzi zilirindima za kututisha kwanza pale limsafara lilianza safari, ila kwa namna lilifyekwa...kha
Ni kama leo Liverpool waje kucheza dhidi ya Kagera sugar, wafunge mabao mawili, ila wadhitiwe hadi kurudi nyuma, mtaogopa hata kuwafuata huko kushambulia maana mamuamini macho yenu, mpaka mtakua muda wote mnaogopa labda wana kingine hawa.
Mkuu wacha kumfokea kijana ameshaomba msamaha.Nadhani dunia umeijua miaka ya 90 na kulikuwa na empire na falme ambazo hazipigiki kulikuwa na ngome haziingiliki utapigwa utachakaa iko wapi Roman empire kiko wapi ottoman empire sometimes you have to agree with nature ujeruman yenye nguvu haipo Sasa, uingereza yenye makoloni haipo Sasa ugiriki yenye kuogopwa iko wapi unatuletea history wakati zama zinabadilika
Mkuu wacha kumfokea kijana kashaomba msamaha.Nadhani dunia umeijua miaka ya 90 na kulikuwa na empire na falme ambazo hazipigiki kulikuwa na ngome haziingiliki utapigwa utachakaa iko wapi Roman empire kiko wapi ottoman empire sometimes you have to agree with nature ujeruman yenye nguvu haipo Sasa, uingereza yenye makoloni haipo Sasa ugiriki yenye kuogopwa iko wapi unatuletea history wakati zama zinabadilika
Naona Sodoma na Gomora Mungu aliwatuma malaika kucheza nao mdundiko au sio.Urusi nini kimemtuma akaue watu Ukraine, mumejificha kwenye mgongo wa ushoga, kwani Ukraine ndio inaongoza kwa ushoga dunia hii, halafu kama kweli wewe Mkristo kama unavyojidai, hivi mafundisho ya Kikristo yanafundisha kuwaua mashoga?
Jibu nilichoandika. Point zako mara msafara km 70, kiev imekimbiwa ., siku tatu mara inajifanya supapawa. Jibu hapo kwa nini mmeshindwa kukomboa mateka wenu 5000 na Donbas na Luhansk mpaka sasa wanachukua passport za Russia.Soma nilichoandika, urudie kama mara tano hivi utaelewa......
😁😁😁😁[emoji23]
Ila me simoooo... Kuna mtu alikuwa anatumia sim yangu hapa [emoji23]