Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
putin must be terminated!Mrusi anabomoa majengo, mitaro ya maji safi na taka... huu si ubinadamu. Vita imegeuka ya kuharibu miundombinu na majengo, this is not acceptable; kimataifa Putin kachemka vibaya sana.
Propaganda za watu walioshindwa!putin must be terminated!
View attachment 2261188
🤩🤩🤩Kusoma kitabu sio kufata matakwa au maudhui yake.
Kuna msemo maarufu wa mzee wetu unasema za kuambiwa changanya na zako.
Kitabu kinafungua uelewa wako yaani unakua na maarifa mapana zaidi.
Icho kitabu ulichokizungumzia binafsi sikijui licha ya kukisoma ila game of throne nimeangalia kama nakumbuka ulikihusika hicho kitabu na hiyo series,kwa mfano kupitia pale unajifunza jinsi ya kuishi ukiwa kama mtawala trust no body,kua mdadisi,usikurupuke,andaa kesho yako n.k
Na haya ndio makusudi makuu ya fasihi andishi(vitabu)
1-kuelimisha
2-kuburudisha
Hata kama wameandika propaganda nyingi kiasi gani kwa mtu mwenye maarifa atatoka na elimu au burudani.
Hakuna kitu cha kuofia kwenye vitabu.
Kweli shangazi, nimekupata vyedi kaabisa!Na ambatanisha na comments yako kama mfano wa rejea.
Nikimaanisha kwamba wewe apo kusoma quran kitabu kitakatifu cha imani yako, sio kua ndio umefungiwa kwenye box ilo kwamba ukisoma biblia utakua mtumishi au kihindu uwe baniani hapana uliitaji kujua na upande wa pili wa shilingi na wala haukubadili msimamo wa imani yako.
Na ndivyo inavyopasa kuwa pindi unaposoma vitabu vya maudhui tofauti tofauti .
1-elimu,2-burudani.
Umeelewa kilichosemwa?Marekani cheap way out of embarassment ni kuanza kum blame Zelenzisky, walivyokuwa wanampelekea mavifaa?????? did they warn him that too?
Ukraine wanajificha kwenye residential areas sasa unategemea nini lazma hayo majengo yatashambuliwa tuMrusi anabomoa majengo, mitaro ya maji safi na taka... huu si ubinadamu. Vita imegeuka ya kuharibu miundombinu na majengo, this is not acceptable; kimataifa Putin kachemka vibaya sana.
"To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal", [emoji1787][emoji38][emoji38][emoji23]Marekani cheap way out of embarassment ni kuanza kum blame Zelenzisky, walivyokuwa wanampelekea mavifaa?????? did they warn him that too?
Nikuulize wewe1Umeelewa kilichosemwa?
Sawa tumekubali MKUU ilaHilo kwa waislam haliwezekani,kauli mbiu yenu ya kudai waislam wote ni ndugu ni ujinga uliopindukia.Hata uwe jambazi,muongo,mnafiki wewe ni ndugu yao, we vaa baraghasia,kanzu,kilemba na salam alleykhum nyingi basi uko salama.Wakristo hatuna ujinga huo.
Hawa jamaa maskini wakutupwa[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russia has earned $98 billion in energy exports in the last 100 days[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Wastan wa $1 billion kwa siku.
$1billion ni sawa na Tsh 2.3 Trillions.
Pesa ya Siku moja ya Russia kutokana na energy tunajenga SGR kutoka Dar mpaka Moshi.
NATO mnangojea nn KUMZUIA[emoji23][emoji16][emoji3]Mrusi ameshaimega Ukraine kwa kisingizo cha majimbo mawili yapate uhuru wake - Donetsk and Luhansk.
Ila inavyoonekana anawinda kumega sehemu yote ya hiki kipande chekundu - aweke himaya yake.
View attachment 2260248
Daaah hata chizi hawezi kufanya ujinga huu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa kwanini wanamlaumu mjerumani Kwa kusema hawezi toa silaha yeye mwenyewe hazimtoshi????Uchaguzi ujao wananchi wa poland wanapaswa wamchague mchezaji robert lewandowski awe rais wao. Raisi wa poland amewaomba nchi washirika wamsaidie silaha baada ya silaha zake kuwapa ukraine. Sijui mmenielewa
A calculated move indeed on the part of the Chancellor.This however shows how important Russia has become in the eyes of the West.The war in Ukraine has uplifted Russia to a superstar status.Well done Russia.🇩🇪🇷🇺German Economy Minister Robert Habeck advocated the complete nationalization of the former German division of Gazprom, Gazprom Germania GmbH, but Chancellor Olaf Scholz rejected the idea because he was concerned it could anger Russian President Vladimir Putin, Bloomberg reported, citing sources.
🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Kweli shangazi, nimekupata vyedi kaabisa!
A luta continua 👊
Good morning all.[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Good morning.
Russia kapeleka nchi ganiThanks
Wametafuta kisingizio wameshaona kabisa hawawezi mziki wa Russia, Kwa asilimia kubwa ya nchi za EU wanaombea Vita iishe wanaumia Sana kiuchumi, na kitendo cha urusi kupeleka majeshi karibu na marekani kimezidi kuwatisha NATO na kuona ukubwa wa urusi
Haiwezi tokea hiyoIkifika tarehe 24June watakapo tangazwa kuwa ukrain ni member wa NATO hali utabadilika,wataingia wazima wazima,leopard cha ujerumani kitaingia kazini.