Huruma wanazojifanya wanazo Western Governments runs hollow,ni unafiki mtupu,they shouldn't have allowed this to happen in the first place,kwa kuwa walikuwa na uwezo wote wa kufanya vita hii isitokee.The West is just too hipocritical and evil beyond comprehension.Mambo ni magumu mno, vita uisikie tu upo hata Tanzania nyuma ya Keyboard - wa-Ukraine wanapitia wakati mgumu mno.
Na jana kalipa equivalent ya 2bln USD in Rubles ili mwanaanga wake apewe lift kwenye chombo ya fundi wetu mahiri toka Kremlin, Moscow!Hahaha. Huo mstari wa mwisho ndo unaowauma kuliko chochote asee.
Hahahahah wa Poland ni wana Ifakara waliochangamka, wamegeuka watu wa msitu wanapishana na mizigo ya kuni😂😂😂Too bad, USA ameamua kuifanya Europe koloni Lake, sasa wanaanza kutumia kuni kama sisi wa matombo.
Wamemuachia msala wake....Ukikaa chini utagundua ile misifa ya kupeleka silaha kwa Ukraine imepungua hivi
😁😁😁😁😁😁
Hahahaha in other words a painful death....Russia imeamua kuiteka ardhi yote yenye bahari ya Ukraine, bahari ndiyo engine ya uchumi wa Ukraine. Hii kwa kizungu naiita death by a thousand cuts.
Hahaha the language is now changing fast...before it was we will teach Putin a lesson, the Russian army is nothing but a collection of untrained bunch of thugs, Russia is not a superpower....But, now...Russia is killing...it is a language of pleading for clemency....Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.
Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
Hawachelewi kukwambia nilianza kutunza manyoya sasa ana Fuga kuku zaidi ya elfu Moja.....Motivational speakers bana.
Dishi limecheza hilo.... Unajisumbua ....Unanitamanisha nikujibu.
Upo sawa tuweze kujadili!?
Wamemuachia msala wake....
The Devil is a lie siku zoteUkitaka ujue America ni wanafiki ni hapa.wamewatia ubabe wenzao ambao hawana kisha wao wamekaa pembeni.putin ww fumuwa hakuna namna
👆👆👆👆👆👆
Maoni ya wabongo huko bbc 👊👊👊👊👊👏👏
Ndio wataelewa Kwa Nini SAUL aliamua kuitwa Paul Baada ya kupigwa upofu kama Hawa MaProNato ... Lugha inavyobadilika kuanzia Kwa mabwana zao mpaka nao humu wanabadilika .... Wokovu upo jirani.Hahaha the language is now changing fast...before it was we will teach Putin a lesson, the Russian army is noting but a collection of untrained bunch of thugs, Russia is not a superpower....But, now...Russia is killing...it is a language of pleading for clemency....
Putin ndiyo jogoo wa Sasa wa dunia, wengine wote na hasa NATO, USA na West yote ni matetea tu...
[emoji3][emoji3][emoji3]tulia dozi iingie wewe, acha janja janja.
[emoji28][emoji28][emoji28] una mwa-nasheria!?Ukweli sisi pro-USA na NATO & Ukrein tunajihisi vibaya Sana katika Vita hii.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wakati nilipokuwa nafanya mabishano ya kidini ambayo SIKUONA TIJA tulijifunza kupigania kwenye uwanja wao i.e Kitabu chao ndio utumie zaidi. Hii ndio Marekani hutumia.
Mbinu hizi ndio unajaribu kutumia kwa kuhamisha mada ya Ukraine vs Russian kwa kuingiza UDINI
Umeshitukiwa ACHA. Itoshe tu Ukraine ANAPIGIKA VIBAYA. Kama unahasira JIUUE
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sisi watu wa Russia hatuwezagi kuandika IMRA kama hiyo fanya hivi mkuu pata kahawa kwanza ili akili ichangamkeMwanzo sikujua mpo kidini kwenye huu ugomvi wa Urusi, ila nikaanza kuona kila mfuasi wa hiyo dini yenu ya waarabu anatokwa povu kwa kutetea Urusi, nikawa nashangaa wapi na wapi maana Urusi ni "makafir" kama ambavyo huwa mnaita asiye wa dini yenu
Sio mtaani, sio kwenye mitandao ya kijamii, sio maofisini, nyote mnafoka kimoja..... ndio nikakumbuka huwa mna kauadui fulani mlishajiwekea dhidi ya Marekani, nikaunganisha dots kwa vile Ukraine anapata support ya Marekani ndio nikajua kwanini mnatamani kuona Ukraine ikifutwa duniani.
Huwa mnajifanya kuichukia Marekani ila wengi wenu hupatamani sana pale. Hata waarabu wenyewe wenye dini yao huenda sana Marekani kujimwayimwayi, ni nyie tu hapo kwa Mtongole mliokaririshwa chuki.
Sisi watu wa Russia hatuwezagi kuandika IMRA kama hiyo fanya hivi mkuu pata kahawa kwanza ili akili ichangamke
Mkuu wewe unataka kuiteka DODOMA ili upate Zabibu?Niko freshi sana fulu mzuka, yaani tangu mshindwe kuiteka Kyev huwa nina raha kishenzi yaani.