Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tupo wengi ambao sio waislam ila tunatetea haki. Hatuwezi kuwa na mtu mmoja wa kuipangia Dunia nini cha kufanya. Ukraine ameingizwa chaka na Mmarekani na Mmarekani hana cha kumsaidia sasahivi
 
Mamamaaaaaae. .... Nimechekaaaaaaaa ..Hapo akitoka Mungu anafuata Putin..
 
Mkuu wewe unataka kuiteka DODOMA ili upate Zabibu?

Jirani mbabe anaanza kwa mikwara anasema anataka kuipindua Tanzania na kupachika viongozi awatakao, anampa rais wa hapo masaa kuondoka, ila huyo rais anakomaa na kushupaza, huyo jirani anaanza mashambulizi ya kuiteka Dodoma, anahusisha limasafara la kilomita 60.
Mambo yanabadlika, anapigwa za uso, limsafara linafyekwa, anaona isiwe tabu anageuza na kwenda kuparamia Katavi huko....ha ha ha!!
Mpaka leo huwa siamini ni hii hii Urusi ambayo tulitishiwa nyau siku zote ndio ilipewa za uso na kuitoroka Kyev, kwa kweli mimi nguvu zilikua zimeniishia ile siku niliona msafara, nilijua Ukraine kwsha habari yao, ila kwa namna walifyeka huo msafara, mpaka leo nahisi kama naumwa vile kwa furaha niliyo nayo.
Huto tumiji twa huko pembeni hatunipi tabu, na twenyewe tumemtesa Mrusi amepoteza majenerali kuliko mataifa yote duniani.
 
Tupo wengi ambao sio waislam ila tunatetea haki. Hatuwezi kuwa na mtu mmoja wa kuipangia Dunia nini cha kufanya. Ukraine ameingizwa chaka na Mmarekani na Mmarekani hana cha kumsaidia sasahivi

Wasio waislamu wapo kiaina wamegawanyika, ina maana wanatumia akili zao kutetea upande wautakao, hata ofisini tupo na Wakristo ambao wapo pande zote mbili tunabishana kwa hoja, lakini hawa wa dini mwarabu sijakutana hata na mmoja hivi ambaye yuko upande wa Ukraine, yaani hata mmoja tu, iwe mtaani, ofisini, vyuoni, mitandaoni n.k. Wote huwa wameshikiliwa akili na kusubiri kuelekezwa wapi au nani wa kuchukia.
 

😂smile daaa...
 
Maneno ya hisia bana unajifariji sana wacha nikakojoe mkuu
 
Mi najikita Hapo kwenye "KAZI ANAYOIFANYA URUSI NI KAZI YA MUNGU".
URAAAAAAA
 
Russia destroys all 3 bridges to Severodonetsk, thus making it impossible to deliver supplies to the City.

Dah, nimemsikia Bw. Dmitry Medvedev (Deputy Chairman of the Security Council of Russia) akisema "Just a question, Who said that in two years (to come) Ukraine will even exist on the world map? Nikajisemea moyoni hawa jamaa wamedhamiria!
 
HAKUNA CHA WAISLAMU AU WASIO WAISLAMU!!

KWA YEYOTE ALUEUMBWA KWA MFANO MWENYEZI MUNGU LAZIMA AWE UPANDE WA RUSSIA!!
 
Hawa Slav hawaku husika na biashara za utumwa pia sio wazungu wotewalijiusisha na biashara za utumwa na pia sio waafrika wote walijiusisha na biashara ya utumwa kwa kilaghai na kuteka ndugu,jamaa na marafiki zao. Tatizo tuna generalize kila mtu au kitu.
 
Wanatetemeka ndani kwa ndani Hawa viherehere.🤣🤣🤣🤣🤣asante Mungu kunipa uhai kushuhudia haya.
 
Hahahahah wa Poland ni wana Ifakara waliochangamka, wamegeuka watu wa msitu wanapishana na mizigo ya kuni[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari yaani usa na germany wanaagiza nishati bado urusi afu awa poland wanajifanya kugomea na kupiga mikwara? Usa na germany watamsaidia kama alivyofikiri? Ndio wananunua nishati toka germany kwa bei mara mbili ambapo germany ananunua toja russia! Kweli usa imewashika pabaya awa E,U
 
⚡️Briefing by Russian Defence Ministry

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision long-range Kalibr missiles near Zolochev, Lvov region, have destroyed a warehouse of ammunition for foreign weapons transferred to Ukraine by NATO countries, including 155-mm M777 howitzers.

💥High-precision air-based missiles in Nikolaev region have destroyed aircraft of the Ukrainian air force at Voznesensk military airfield.

▫️A large number of weapons and military equipment from the USA and European countries delivered to the Ukrainian grouping in Donbass have been destroyed near Dobropolye, Pokrovsk railway stations in Donetsk People's Republic and Orlovschina in Dnepropetrovsk region.

▫️The attacks have resulted in the destruction of 1 airspace radar station near Lisichansk in Lugansk People's Republic, 1 Buk-M1 anti-aircraft missile system near Soledar in Donetsk People's Republic, ammunition depots near Gorskoe and Verkhnekamensk in Lugansk People's Republic, and 2 AFU command posts and 1 communications centre near Pereezdnoe and Ivano-Dar'evka in Donetsk People's Republic.

✈️💥Operational-tactical, army and unmanned aviation have hit 24 areas of AFU manpower and military equipment concentration.

▫️The attacks have resulted in the elimination of more than 300 nationalists, 1electronic warfare station near Malinovka in Kharkov Region, 10 tanks and other armoured combat vehicles, 3 Grad multiple rocket launchers, 18 special vehicles, 3 mortars and 11 field artillery mounts, including 4 M777 155-mm howitzers.

💥Russian air defence means have shot down 1 Su-25 aircraft of the Ukrainian air force near Krasnopol'e in Donetsk People's Republic. Also, 6 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Donetsk city and Pavlovka in the Donetsk People's Republic, Balakleya, Malaya Kamyshevakha, Chervonyi Shakhter in Kharkov region, and Lisichansk in Lugansk People's Republic.

▫️In addition, 12 shells of Uragan multiple-launch rocket system have been intercepted near Donetsk city and Gorskoe and Vasil'evka in Lugansk People's Republic.

💥Missile troops and artillery have hit 313 areas of manpower and military equipment concentration, 43 command posts and 62 firing positions of AFU artillery units.

📊In total, 203 Ukrainian airplanes and 131 helicopters, 1,211 unmanned aerial vehicles, 339 anti-aircraft missile systems, 3,558 tanks and other armored combat vehicles, 524 multiple launch rocket systems, 1,958 field artillery and mortars, as well as 3,623 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
 
Poland atabinywa kende bila huruma wakati Marekani na Ujerumani wakimpa pole kwa mbali😀 mwache atafute sifa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…