Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nakupa ndege inayoweza kufanya hayo nilivyokuambia inatwa black jack kwa jina la NATO.
Poa Kuna kombora la kupiga satellite za nchi yoyote ya NATO.
Kama ungekua unajua hayo machache tungeelewana.
Hakuna Cha kahawa wala tangawizi.
Mimi ni mvuvu wa kuandika.
Tafuta habari za black jack.
TU 190
 
Urusi alisema nchi itakayoingilia kuisaidia Ukraine.
Ishu ya kutoa silaha sio kitisho kwa Urusi wewe mwenyewe ni shahidi si unaona lakini anavyozichoma?

Urusi alikua anamaanisha nchi yoyote ikiwa na nchi moja au kikundi kama NATO.
Maana anajua USA au NATO wanaweza fanya kama walivyofanya Yugoslavia/Kosovo,Kuwait/Iraq,Libya, Afghanistan.
Kwamba wakiingiaza majeshi TU watarajie kupigwa vita ambayo haijawahi pigwa happ kabla.
Je Kuna nchi imeingiza majeshi kama huko Iraq, Afhanistan au Libya?
 
Hapana mwamba, Hii sio mara ya kwanza nakumbuka mwanzo mwanzo thread bado mbichi mlisema hivi. Malcom Yule anaonekana mtu mzima sana. Bora mie huyo Ask-Q ndio kabisa bado chalii sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mnachukulia mambo tofauti hamjafananishwa kiumri na MALCOM LUMUMBA ila material thing.
Yawezekana pia n agement mwenzenu iz social network ukijulishwa na wakubwa zako mapema sanaa unajiunga kama umependa.
 
Hichi kizee si kitulie mbona kina mapepe sana
 
Akili yako kwenye kuchanganua kitu bado Sana jitahidi jitahidi utakuwa vizuri nakuombea mungu uwe vizuri
Nyie mnajiona mnajua kuchanganua vitu kwa story zenu za vijiweni,

Marekani anakuonesha kile anachotaka wewe uone, ndio maana una details nyingi za Russia kuliko za marekani..

Nchi ambayo Ina spend over 800bil us dollars, ufananishe na ambayo inatumia 60bil kwa mwaka 2021.

We umekaa tu huko mmeshiba viazi mna ichukulia poa US! [emoji16]
 
Mdogo mdogo tu litakuja kunuka sehemu salama Kwa wao kuishi itakuwa afrika 🀣🀣🀣🀣🀣 naombea Putin akaze zaidi
Putin amesema hakuna NWO itakayorejea tena kamwe. Wasijidanganye hapa ni spana mwanzo mwisho kila taifa liishi kwa uhuru sio kuamuliwa mambo na watu flani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ina spend hela za Photocopy halafu unaisifu? Dollar 60B ya dhahabu ina thamani kuliko 800bil ya kuchapwa na mashine ya EPSON hapo Washington.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baiskeli tu anaanguka hivyo,siku akikutana na huyu mwamba kwny Judo huko Inabidi avae Pampus za kutosha.La sivyo ajiandae kisaikolojia.View attachment 2265294
Huyu mzee ni kiboko yani kila kona yupo imara...Ukimfata kwa mkono anakufumua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukija Ikulu anakunyoosha yani ni hatari na nusu
 
Wakimaliza Autumn tu wataita maji Mma [emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona Putin anavyofunga koki za Gas ili wapuuzi wa EU wagombanie kuni.

Kuanzia December 22 mpaka March 2023 kitaumana[emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikiri ni kwanini hafungi? [emoji16]
 
Nikushukuru pia Mkuu lee van cliff, nashikwa kigugumizi kuandika kujibu ulichokiandika. Lakini Ujue nini mwamba, tunajifunza wote Jomba. Nikushukuru kwa mara nyingine kwa kutambua mchango wangu. Shukran mucho!

Ima kuhusu Lumumba, niwe mkweli. Simfaham kiivo, huku JF sie wageni. Nilianza mie kisha nikamuita dogo Ask-Q mjadala ulivokolea. Ni issue ya Ukraine vs Russia ndio iliyopelekea mie kufungua account JF πŸ˜‚.

So ile mara ya kwanza kunifananisha nae huyo Lumumba ikanibidi ni 'Search member mwenye jina hilo. Nikampata nikaangalia juu juu anachokipost haraka haraka. Mbali na hapo hapana.

Kingine hapa JF sipo kiiivyo mwamba, hata ukiangalia mijadala niliyoshiriki out of hizi text 1,500+ nilizoandika hapa JF zaidi ya asilimia 95 zipo kwenye huu uzi.

Huwa naingia hapa naangalia kilichojiri kisha natoka. Mara chache sana upande mwingine.

Mwisho nirudie kile kile, nishukuru kwa wote mliouona mchangu wangu. Kama mnavyojifunza kupitia kwetu ndivyo tunavyojifunza vile vile kupitia nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…