Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Donbass ni muunganiko wa majimbo mawili hambayo ni luhansk na Donetsk, kati ya majimbo hayo mawili dikiteta Putin hajaweza kuchukua hata Jimbo Moja kikamilifu,yupo anakazana na jimbo la luhansk tu ,
Waambie ProPutin maana wanamsifia wakati bado hata nusu jimbo ajaweza kuchukua anacheza makida makida vita sio mchezo
 
Waambie ProPutin maana wanamsifia wakati bado hata nusu jimbo ajaweza kuchukua anacheza makida makida vita sio mchezo
Hawa jamaa kwa upotoshaji hawajambo,na Kwa vile wapo wengi hapa jamvini basi wanapotosha wanavyotaka..,eti " urusi ameshachukua Donbass" wakati hata Jimbo Moja la Donbass bado!
 
Rais wa Argentina, aomba nchi yake iunganishwe kwenye jumuiya ya BRICS. https://t.co/WgQ28w7hSmView attachment 2271476
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Kwa Nini Sasa?
Kwa Nini kaomba kipindi hiki amabcho memba mmoja wa BRICS katengwa na "duniani nzima"?
Kwa Nini kipindi hiki memba mmoja wa BRICS kawekewa vikwazo vyote kabisa hapa duniani?
Kwa nini kipindi hiki memba mmoja wa BRICS Yuko vitani?

Majibu ni kwamba Argentina hana wasiwasi na memba huyo,
Ana Imani na memba huyo,
Anajua membo huyo keshashinda vita zake,za kijeshi na kiuchumi.
Argentina kaona Kuna haki huko,Kuna manufaa huko.
Kwa kitendo hicho,Argentina ameipaisha pakubwa sana BRICS.
Maana yake ni Nini?
Maana yake ni kuwa mabadiliko makubwa sana ya kimfumo yanaenda kutokea duniani.
Hii pia ni mwanzo wa kuhama kwa nguvu kutoka west kwenda east.
Shift of power is on the way.
 
Anachofanya,anawatumia salamu maadui zake "siwataki"
 
Russia alikuwa na plan ya kubadili utawala na kuweka kibaraka wake huko kyvi, lakini wanaume wamemndindishia
Bora ipi ya kuweka kibaraka na kuchukua kabisa, mi naona nafuu kwao ni kuweka kibara hii ya kuchukua na kubadirisha vitu kama urai, post code kuwa vya kirusi ni pigo zaidi ya kuweka kibaraka.
 
Urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Ukraine ndani ya saa 72 [emoji12], akatumia askari wa parachute na kuweka jitihada za kila namna lakini aligonga mwamba,anachofanya urusi kwa Sasa na kujifutafuta aibu tu,baada ya plani yake kudhibitiwa
 
Ha ha haaa,
Aisee ingawa ni kweli ameyasema hayo lakini umechambua vizuri na umeongeza vionjo ambavyo kwa kweli vimenifanya nicheke.
Umenichekesha hapa
⬇️
Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia.
 
Bora ipi ya kuweka kibaraka na kuchukua kabisa, mi naona nafuu kwao ni kuweka kibara hii ya kuchukua na kubadirisha vitu kama urai, post code kuwa vya kirusi ni pigo zaidi ya kuweka kibaraka.
Hakika mkuu, Russia atajikaribishia maadui wa ndani
 
[emoji95] Updates!!!

Reports of strong explosions in the Kiev region...



The Russian Aerospace Forces are launching missile strikes from Belarus, explosions are thundering in Kiev, the affected targets are burning in the Rivne region.
 
Weka ushahidi wa saa 72 ww dada !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…